Kuipiga London hiyo ni kesi nzito mno ambayo Russia anapaswa abane makalio aikimbie kwa nguvu zake zote.Mkuu that’s a pipe dream. Hivi sasa Putin anasota kuikamata Ukraine kinyume na alivyotarajia katika mipango yake ya awali. US wanafanya yao kumkamua taratibu. Kwenye battle front imekuwa taabu. Angalau tumaini liko kwenye kuharibu civilian infrastructure kwa makombora na drones. Aendelee hivyo hivyo labda atavunja nguvu za Ukraine hadi waombe negotiations.
Yeye ajue ameingia kwenye safari ndefu ya vita ya maumivu isiyo na mwisho. Wanaoumia sana ni ndugu zake raia wa Ukraine. Hawa wamejitoa mhanga. Bila shaka hata Warusi wanazidi kuteseka kimwili na kisaikolojia. Yeye Putin anajua hatma yake imeshafungwa na vita hii. Ukitaka ashinde basi mshauri ateremshe nuclear tu kuanzisha armageddon. Hawezi kupigana na US/NATO kwa silaha za kawaida kama kwa Ukraine tu kashindwa vibaya kwenye battle front. Akijidai kurusha makombora ya kawaida London, Kremlin inageuzwa chapati within hours.
Kwanza ashukuru sana kwamba ana uhuru wa kushambulia makazi na infrastructure ya kiraia huko Ukraine kama anavyotaka ilhali Ukraine wamebanwa kutorusha makombora ndani ya Urusi. Wao ni kujilinda na kumng’oa adui toka kwenye radhi yao basi.
Sasa nani kawazui kuwamaliza? Mbona wanataka huruma tenaUwezo wanao sio wa kushambulia Tu Bali kuwaangamiza kabisa waingereza
Aah! Achana na Mrussi ambaye kila kukicha ni vitisho tu. Si apige?? Nini kinamzuia halafu anaanza kupiga kelele kama kuku anayetaka kutaga.Kama wana uhakika na uwezo basi waishambulie UK?
Mabosi wote wa Russia kwa sasa hawana haja ya putin, pesa zao zinazidi kudidimia.Hujui kuwa 25% ya millionaires wa Russia ni Wayahudi?
Sasa watampigaje wakati wamewekeza sana huko miaka mingi tangu holocaust?
Waingie basi hapo Ukraine waziwazi Kama Syria. Waanzishe na kambi Kama Al Tanfu Syria.ile midege ya F35 plus manowar znakaa bara jingine znashambulia sebule ya adui wa bara jingine sjazungumzia nyambizi na mabomber ya ajabu na mabomu ya kishetani walio nayo.
wee NATO khabar nyingine shekhe.
Muda ukifika patapigwa vizuri tuKama wana uhakika na uwezo basi waishambulie UK?
Wanakojoa kwanza.Si wawaangamize basi wanasubiri nini sasa.
Anasema UK ya Ukerewe.Yaani Russia iishambulie UK?
Na siku Mrussi atakapojaribu kufanya kama ulivyobainisha katika maoni yako 👆 👆 binafsi para ya mwisho hapo juu ndio utakuwa ni mwisho wa uwepo wa nchi inayoitwa Russia katika ramani ya dunia. Kwa nini? Nchi hiyo itagawiwa kwa kunyofolewa vipande vipande kuunda nchi ndogo-ndogo kwa majina tofauti na jina la Russia.Niliwahi kusema kwamba Uingereza inajihusisha sana na suala hili la Ukraine, nikaongezea kwa kusema kwamba niwajuavyo Waingereza wataleta maafisa wao wa kikosi chao cha makomandoo wa SAS kufundisha kikosi maalumu cha Ukraine katika masuala ya kufanya hujuma behind enemy lines ie partsians - Waingereza ni mabingwa sana kwenye nyanja hizo, lakini wakumbuke kwamba na Warusi si mchezo watawafatilia nyenendo zao na kuwashugulikia ipasavyo, juzi hapa makao makuu yao nchini Ukraine ilitiwa kiberiti na high precision missile ya Urusi sijui kama kuna mtu aliye nusurika.
Kama vipi na Warusi nao wafanye mpango wa kuwapatia silaha na mafunzo kwa mara nyingine tena wapigania uhuru wa I.R.A ili wafufue harakati zao za miaka ya 1970/80s, na ikiwezekana wawa instigate raia wa Scotland nao wajitenge na England kwa nguvu i.e kwa mtutu wa bunduki, tuonena hilo Serikali ya White Hall watalichukulia vipi?
Binafsi,kwa maoni yangu naona Urusi ikitaka kumaliza tatizo hili la Wamerikani na Waingereza kuitumia Ukraine kuihujumu Urusi, mchezo huu utaendelezwa indefinitly hivyo ili kumaliza tatizo hilo Warusi wafanye mpangowa kui-annex Ukraine kiujumla, hata kama itawalazimu kupigana na NATO/US moja kwa moja -hawana jinsi.
Unawajua au unawasikia! Hao matajiri tu wenyewe wenye asili ya mrusi hawakubaliani na putin na wengine putin katumia ubabe kuwanyamazisha na wengine kuwa taka watoe support kwa nguvu kama nanihii alivyo kua anafanya sembuse hao wayahudi wageni!!!? Huyo wanaruka nae mapema tu kwanza ana hatarisha maslahi yao pasipo sababu za msingi pia anahatarisha dunia nzima kwa sababu za kijinga yeye ana ardhi kiasi gani mpaka atishie nyuklia dunia nzima kwa kipande cha ardhi ambacho hata mimi fukara nikipambana nakinunuaHujui kuwa 25% ya millionaires wa Russia ni Wayahudi?
Sasa watampigaje wakati wamewekeza sana huko miaka mingi tangu holocaust?
Mmhh! Matusi na hoja ni vitu viwili tofauti kiongozi hata hao waliofikia kupigana na wanatoa roho za watu huko ukrain sizani kama umesikia wakitukanana lakini vita inaendelea sasa ww na matusi sijui umetokea wapi! Jiheshimu kiongozi mambo hayaendi hivyoMbumbumbu wewe ,wayahudi wanamshukuru mrusi kwa kumtoa hitla
[emoji2962][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anasema UK ya Ukerewe.
Ha ha ha hapo sawa mkuuAnasema UK ya Ukerewe.
Saf kabisaaaProperty of Ukrainian oligarchs nationalized in Crimea, including Stroiindustriya plant and Zaliv shipyard, head of Crimean parliament
Brainwashed na wa IsraelDawa ya putin ni MOSSAD tu lazima hawa jamaa wataja ruka nae tu! Uchaguzi kule ushafanyika
2035 au 3035?Biden: General Motors going "all electric by 3035"