Kwamba England kujiingiza kwenye maswala ya Ukraine siyo sahihi bali Russia inayo haki ya kuvamia na kuichukuwa kabisa Ukraine si ndiyo?. Hiyo sababu mnayoiona inampa uhalali Russia kuingia Ukraine kwanini iwanyime uhalali wengine kuingilia?. russia aache "kudeka"/ kulalamika anapolalamikia si pakeeee, ni Ukraine na Ukraine si Russia. Russia akiweza kuwahujumu " maadui zake afanye lkn akumbuke kuwa nayehana kinga ya kutokuhujumiwa. Vita kaanzisha mwenyewe arudi Moscow.Niliwahi kusema kwamba Uingereza inajihusisha sana na suala hili la Ukraine, nikaongezea kwa kusema kwamba niwajuavyo Waingereza wataleta maafisa wao wa kikosi chao cha makomandoo wa SAS kufundisha kikosi maalumu cha Ukraine katika masuala ya kufanya hujuma behind enemy lines ie partsians - Waingereza ni mabingwa sana kwenye nyanja hizo, lakini wakumbuke kwamba na Warusi si mchezo watawafatilia nyenendo zao na kuwashugulikia ipasavyo, juzi hapa makao makuu yao nchini Ukraine ilitiwa kiberiti na high precision missile ya Urusi sijui kama kuna mtu aliye nusurika.
Kama vipi na Warusi nao wafanye mpango wa kuwapatia silaha na mafunzo kwa mara nyingine tena wapigania uhuru wa I.R.A ili wafufue harakati zao za miaka ya 1970/80s, na ikiwezekana wawa instigate raia wa Scotland nao wajitenge na England kwa nguvu i.e kwa mtutu wa bunduki, tuonena hilo Serikali ya White Hall watalichukulia vipi?
Binafsi,kwa maoni yangu naona Urusi ikitaka kumaliza tatizo hili la Wamerikani na Waingereza kuitumia Ukraine kuihujumu Urusi, mchezo huu utaendelezwa indefinitly hivyo ili kumaliza tatizo hilo Warusi wafanye mpangowa kui-annex Ukraine kiujumla, hata kama itawalazimu kupigana na NATO/US moja kwa moja -hawana jinsi.
Ukiwa vitani kuomba msaada au kusaidiwa ni kitu kibaya au ni kigeni? Russia yeye hapewi msaada?Haumii ila anautahadharisha umma kuwa anapigana na wengi
Hiyo ni vita kwa hiyo zipo propaganda na ukweli
Sisi tunachambua kama Michele tu
Mkuu hakuna nchi isiyoomba msaada duniani hata usa aliomba allied kumshambulia Iraq ila hili la kupandishiwa na Biden ni tofauti kabisa Rais kumkaripia Rais au wewe umeona ni sawa tu hiloKwani Russia hajaomba misaada? Hajawahi kusaidiwa ktk hii vita?
Balozi wa uingereza nchini Urusi aliitwa wizara ya mambo ya nje ya urusi na kukabidhiwa ushahidi wa jinsi Uingereza ilivyohusika kwenye jaribio la kushambulia kituo kikubwa cha meli za kiviuta cha Urusi kilichoko Crimea!! Hadi leo Uingereza imekaa kimya imeshindwa hata kukanusha kama ilivyokuwa inakanusha kabla ya kukabidhiwa ushahidi!!Huu mkeka wa hawa Majasusi Upo Mezani. Ndo maana jana Kremlin walisema wana ushahidi kuwa UK wapo deep in Ukraine.
Hii imevujishwa makusudi kuwapa alert MI5 wachange plan au kuwithdraw au litawakuta zito kupitia Air Strikes mahali walipo wakiamini pameshajulikana.
Wamechanganishwa hapo!
Kumbe kuna muda unawekaga unazi pembeni na kutema facts, ongera comrade.Tatizo mkuu linakuja hao Nato wana majeshi katika nchi 8 zilizo kwenye mzunguko wa black sea ambayo ni close to Russia
Mwanzo waliweka troops kama 4,500 katika nchi nne na patrol za meli za kivita baharini
Ndio maana Russia akaamua kuikamata Crimea maana bila Black sea hana pa kutokea
Hapo NATO wakaamua kuondoa meli zao za kivita na badala yake kupeleka vikosi vya miguu katika nchi jirani ambao ni wanachama wa NATO
NATO wana nguvu x4 ya Russia lakini mikataba inawafunga kufanya lolote kwenye bahari Nyeusi na nguvu kubwa anayo Mrusi hapo
Kwa sisi tunashabikia Putin atandikwe lakini wao wanaangalia maslahi mapana zaidi
Hawa watu wanategemeana sana ndio maana wanamuwekea vikwazo tu badala ya kumtandika
Acha tunywe chai tu
Hivi unafahamu kwa nini mpaka leo Israel haijaungana na mataifa ya Israel kutoa silaha kwa Ukraine au kusapoti vikwazo dhidi ya Urusi? Uliza uambiwe!! Zelensyky amneililia sana Israel impe defense system yake lakini ikamtolea nje!! Kwa habari ya Urusi na Israel Urusi ameshika kwenye mpini na Israel kwenye makali katika uwanja wa vita kwenye anga la Syria!!Dawa ya putin ni MOSSAD tu lazima hawa jamaa wataja ruka nae tu! Uchaguzi kule ushafanyika
Asante mkuuKumbe kuna muda unawekaga unazi pembeni na kutema facts, ongera comrade.
Urussi anafanya kaujinga fulani ka kutoa vitisho na kutaja nchi anazozituhumu bila kujua kwamba kwa kufanya hivyo anajiongezea maadui.Kale kwa uk kanazamishwa nusu saa
Anatumia Ile kanuni mnapoingia uwanjani,mchezaji msumbufu anapunguzwa nguvu kwa kupigwa visigino chini kwa chini.Leta maoni yako mbadala - mnapo kosa hoja za maana mnaishia kutukana watu kwamba wana akili za matope mara oh unazungumza pumba mambo ya kitoto toto tu - mtu mwenye elimu nzuri na uelewa wa kutosha hawezi ku-stoop so low na kuanza kuwatukana members wenzake out of the blue, tabia hizo zinadhilisha kitu kimoja nacho ni kwamba kumbe you're still mentally immature-ndicho ninacho kiona mimi!!
Kama kwenye ufafanuzi wangu kuna kitu ambacho hukukielewa vizuri ungeniuliza ili ni clarify zaidi, mfano: nilizungumzia suala la Scotland - wewe kwa akili zako ulifikiri ninacho kisema ni kama ndoto za mchana au, si ajabu huna hata habari kwamba watu wa Scotland wanazungumza lugha yao tofauti ambayo si kiingereza wana tamaduni zao tofauti kabisa na tamaduni za England, wanataka kujitenga na England wawe na Serikari yao na Bunge lao, visima vya mafuta na gesi vya North Sea wanataka viwe mali yao na madai mengine chungu mzima, je wewe hayo unayajua au unapinga tu hutaki members wengine walete maoni mbadala ili members ambao wako interested wajifunze kitu.
Samahani mkuu mbona unaongea kama yule reporter wa ITV nchini DRCtume la nyuklia la UM
Au ile kanuni ya wakili msomi ya kutoa hoja tata na maswali ya kukukasirisha na usipousoma mchezo huo mapema na kuwa makini, unajikuta unashindwa kuzipanga hoja/point zako.Anatumia Ile kanuni mnapoingia uwanjani,mchezaji msumbufu anapunguzwa nguvu kwa kupigwa visigino chini kwa chini.
Ukilitambua hili lisikusumbue,mbaya zaidi anapinga tu kitoto hana maelezo.
Endelea kutupa elimu.
Huyu naye yupo upande gani?Serikali ya Moscow inatimiza maagizo matakatifu ya Muumba wa ulimwengu.
LGBTQ wao wanatimiza maagizo ya yule aliyekwisha kushindwa tayari... Vita kubwa inapiganwa rohoni sisi huku tunachokiona pale Ukraine ni cheche tu
Huyu naye yupo upande gani?Serikali ya Moscow inatimiza maagizo matakatifu ya Muumba wa ulimwengu.
LGBTQ wao wanatimiza maagizo ya yule aliyekwisha kushindwa tayari... Vita kubwa inapiganwa rohoni sisi huku tunachokiona pale Ukraine ni cheche tu
Kwani kuna empire iliyodumu milele ndugu...walianza wamisri wababiloni maya waotoman waroma wote walikuja wakaondoka na hata hao waUSA na NATO wataondoka tu mda si mrefuRussia alishindwa kuilinda Soviet isianguke,Leo hii ayaweze ya mbali huko uingereza?
Masihara haya
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwani Sadam alivovamiwa na USA si waliwaita waIraq ni magaidi mbona hukuja kucoment kama sasa mkuuyaan kuna watu ni vichaa , warus watakuja kutafuna ndog iyoo , unaezaj waita watu waliovamiww nchini mwao ni magaidi ?km sio upimb ni nin ?
Aisee na mm nilikua na shangaa kwann wamemfumbia macho mpaka leo ilakwa series ya game inavyo enda huyu jamaa wata mfuta kimya kimya kwa kifupi urusi inahitaji raisi mwingine sio putin ana akili mbovuTatizo mkuu linakuja hao Nato wana majeshi katika nchi 8 zilizo kwenye mzunguko wa black sea ambayo ni close to Russia
Mwanzo waliweka troops kama 4,500 katika nchi nne na patrol za meli za kivita baharini
Ndio maana Russia akaamua kuikamata Crimea maana bila Black sea hana pa kutokea
Hapo NATO wakaamua kuondoa meli zao za kivita na badala yake kupeleka vikosi vya miguu katika nchi jirani ambao ni wanachama wa NATO
NATO wana nguvu x4 ya Russia lakini mikataba inawafunga kufanya lolote kwenye bahari Nyeusi na nguvu kubwa anayo Mrusi hapo
Kwa sisi tunashabikia Putin atandikwe lakini wao wanaangalia maslahi mapana zaidi
Hawa watu wanategemeana sana ndio maana wanamuwekea vikwazo tu badala ya kumtandika
Acha tunywe chai tu
Russia mwenyewe anapokea misaada ya kivita zile kamikaze drones kazitoa wapi!!? Na mara ya kwanza mu'iran alikataa kua ni zake ila baada ya muda alikuja kukubali na kusema "waliingia mkataba na mteja wao wa silaha za kivita na mzigo wamesha deliver na bado kuna stock ambazo mteja wao hazijamfikia na wapo kwenye taratibu za kumfikishia silaha zingine kulingana na mkataba wao ila HAWAHUSIKI NA MATUMIZI YA SILAHA HIZO kua wao ishu yao ni kuuza silaha, zinatumikaje WAO HAIWAHUSU " Unaweza kuona urusi anavyopokea silaha ila anazopokea ukrain yeye ndio anaziona ila sio anazopewa yeyeUkiwa vitani kuomba msaada au kusaidiwa ni kitu kibaya au ni kigeni? Russia yeye hapewi msaada?
Ndugu kufanya assasination ya kiongozi wa nchi sio rahisi. Tena kiongozi wa taifa kubwa kama Urusi.Aisee na mm nilikua na shangaa kwann wamemfumbia macho mpaka leo ilakwa series ya game inavyo enda huyu jamaa wata mfuta kimya kimya kwa kifupi urusi inahitaji raisi mwingine sio putin ana akili mbovu
Israeli ana play_dead mjanja sana kitachokuja kumtoa putin ni kivuli asijue kama ni m'israel kamtoaHivi unafahamu kwa nini mpaka leo Israel haijaungana na mataifa ya Israel kutoa silaha kwa Ukraine au kusapoti vikwazo dhidi ya Urusi? Uliza uambiwe!! Zelensyky amneililia sana Israel impe defense system yake lakini ikamtolea nje!! Kwa habari ya Urusi na Israel Urusi ameshika kwenye mpini na Israel kwenye makali katika uwanja wa vita kwenye anga la Syria!!
Hamna vita inayopiganwa peke yako.Russia mwenyewe anapokea misaada ya kivita zile kamikaze drones kazitoa wapi!!? Na mara ya kwanza mu'iran alikataa kua ni zake ila baada ya muda alikuja kukubali na kusema "waliingia mkataba na mteja wao wa silaha za kivita na mzigo wamesha deliver na bado kuna stock ambazo mteja wao hazijamfikia na wapo kwenye taratibu za kumfikishia silaha zingine kulingana na mkataba wao ila HAWAHUSIKI NA MATUMIZI YA SILAHA HIZO kua wao ishu yao ni kuuza silaha, zinatumikaje WAO HAIWAHUSU " Unaweza kuona urusi anavyopokea silaha ila anazopokea ukrain yeye ndio anaziona ila sio anazopewa yeye
Yap! Russia inahitaji rais mwingine. Akili za Putin hazikumwezesha kujua kwamba ukila na kipofu usimguse mkono. Mrussi Alijitwalia mikoa 4 kiulaini na Zele akajinyamazia tu-kapotezea lakini sasa Mruss akajisahau na kukiuka ule msemo "Ukipewa shubiri Usichukue pima" na akataka kujiongezea mikoa mingine akidhani kwamba jamaa(Zele) ataendelea kukaa kimya au kupotezea kama mwanzo. Dah! Kumbe hapo ndipo alibugi step. Sasa Inakula kwake Mrussi. Hakuna rangi ataacha kuona.Aisee na mm nilikua na shangaa kwann wamemfumbia macho mpaka leo ilakwa series ya game inavyo enda huyu jamaa wata mfuta kimya kimya kwa kifupi urusi inahitaji raisi mwingine sio putin ana akili mbovu