Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama jambazi anakuwa anarudia rudia kuja kukunyang'anya mali zako dawa ni kupambana nawe ukiendelea kumchekea na kuwa muungwana kwake ipo siku atakuoa kabisa.
 
US haombi msaada NATO, yeye ndio kiongozi na core ya NATO. Hakuna NATO bila US.
Mbona USA

Waliomba msaada kwa NATO kumvamia Gadafi hapo Libya kwa nini asiende peke yake kama alivopeleka pua Vietnam akapigwa ngumi moja ya ndoige akatii amri?
 
🤔🤔🤔 ngoma bado nzito
 
[emoji1255] Kiev is preparing for a total evacuation in case of a complete power outage - New York Times

"We could lose our entire power supply system," said the Ukrainian director of the municipal security department.

The day before, Ukrenergo reported that for a stable energy supply to Ukraine, hourly shutdowns are no longer enough.

Hawa c waliristoo haya maenro [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ondoa upimbi wako hapa na historia za kuungaunga, Zelenskyy ni Rais wa Ukraine tangu mwaka 2019 na alichaguliwa na rai wa Ukraine, rudi Google katafute nani alikuwa rais wa Ukraine mwaka 2014 ili uje kutema tena pumba zako hapa.
 
Wewe kilaza ujamaa gani wa Russia unaoungolea??
Unafahamu utajiri binafsi alio nao Putin na Oligarchs wake kama kina Roman Abromovich, Vladimir Lisini, Vladimir Potanin?

Hiyo 98 mbele ya jina lako huenda inawakilisha mwaka uliozaliwa hivyo inawezekana tunajadiliana na mtoto mwenye harufu maziwa.
 
Kuna Makombora yoyote ya US au NATO yaliyoukuwepo Ukraine hadi inavamiwa?
Unafahamu kuna nchi tatu za NATO zinazopakana na Russia ? Mbona hizo hazijavamiwa??
Mbona Finland imeomba kujiunga NATO na haijavamiwa??
Mbona Amerika iliogopa wakati Cuba ilipokuwa karibu na Russia na Russia kuweka makombora yake ya nuclear?
Unadhani ni kwa nini?

Vipi kama Russia akiweka makombora yake ya nuclear Mexico unadhani Amerika itakuwa tayari kuvumilia hilo?
 

Mkuu, umejieleza vizuri mbona - tatizo lililopo kwenye JM ni members wachache watakuelewa - wengine wanapinga tu for the sake ya kupinga tu lakini haweleti maoni mbadala yenye mshiko, some are seasoned sadists per excellence, arrogant and plain stupid hana chochote cha maana anacho contribute zaidi ya kujaribu ku-water down maoni ya members wenzao bila ya wao kuleta maoni mbadala members wakawasikiliza wakachambua mchele kutoka kwenye pumba.
 
Labda mbinu Yao mpya ya kivita, lakini umeme walisha rekebisha kila kitu na Kiev ilikuwa inawaka taa na kama sijakosea Yale makombora yote na drone za urusi zilidakwa na air defence Matata ya Ukraine 😂😂😂😂
 
Asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…