Mkuu mbona unaanza kufoka? Nani alipiga vigeregere??? Tafadhali lete nukuu!!! (kama huna - mbinu huu tunajua. Unapenda kupinga maneno ambayo hakuna aliyeyasema...)Kwambaaaaa kutumia watu waliotoka gerezani ni sawa naaaaa!!!?? Unajisikiliza kweli ulichoandika!!?? Ukraine alipoachia wafungwa na kuwaingiza kwenye mapigano si mlipiga vigeregere na mbinja hapa!!?? Au ilikuwa bado unakula mihogo na matobolwa!!? Au haujui kwamba Zele hakufanya hilo!!???
Huna chochote cha kuthibitisha propaganda hiyo. Hata kidogo!Ukraine aliwakaribisha waharibifu wa uhai nchini mwake. Waharibifu hao wakawa wanafanya majaribio ya kuua raia wa Ukraine wenye asili ya Russia katika maabara za kibaiolojia karibu kumi na moja zilikuwa kuwa zimejengwa kwenye maeneo yenye raia wengi wa asili ya Russia.
Waharibifu hawa wa uhai(US, German na wenzao) hawakuwa na simile. Kwa taarifa zilizopo ni kuwa walifanya majaribio Hata kwa askari wa Ukraine. Hawakuishia hapo, inasemwa pia walipandikiza vimelea vya magonjwa likiwemo gojwa la korona kwenye mijusi, ndege ambao uhama kutoka Ukraine kwenda Russia kutokana na mabadiliko ya Hali ya hewa na msimu. Lengo la waharibifu ni kuua Kizazi cha Russia.
Kwa sababu hizi, Russia angejizuia vipi kutekeleza agizo takatifu la kulinda uhai kwa kwenda kufanya operation ya demilitarization and denazification ndani ya Ukraine??
Ila we jamaaa Kwa kuhamisha magoli tu.... Upo vizuriSijamaanisha kaishiwa kabisa soma vizur utanielewa kiongoz
Ndio nimeshangaa platoon Gani Ina wanajeshi 500+Na nyinyi mnaona habari hizi niza kweli? Hata maelezo yenyewe ni highly flawed - mtu aliyewahi kupitia jeshini anajua platoon ina wanajeshi wangapi - eti Ukraine iliwapiga na mizinga kwenye matrech karibu wote wakafa lakini yeye kapona kimiujiza na kufanikiwa kuja kusimulia the tale the morning after - na stori anayo simulia inahusu wanajeshi wa Urusi wanavyo uwawa kama nzinge na wasivyo kuwa na ujasiri ni waoga, sijui kaja kupewa AK47 sijui na mfadhili gani mtoa stori hii anajifanya ni mwanajeshi wa Urusi, hii wapi na wapi.
Yaani stori nzima inaonekana wazi wazi kuwa imetungwa na vyombo vya propaganda vya Serikali/jeshi la Ukraine, lakini kwa bahati mbaya baadhi ya members wala hilo hawalioni kabisaa!!
Mkuu andiko lako ni maridadi sana,wazungu kwa kweli hapa Ukraine tumewajua na ninaamini tukijiongeza tutawajua vizuri zaidi.Hakuna raise ana kichwa kopo Kama huyo zelewisky ,kwani wenzake wanazidi kumuingiza Chaka nalo linakubali tu, huyu ndiye aliyetuvumbua waafrica kuwa Kuna wazungu wajinga kuliko wanavyotuaminisha
Wamebanwa na nani mkuu,ungekuwa wewe ungekubali kubanwa.VITA HII INA MAMBO MENGI NA POROJO NYINGI SANA.Mkuu that’s a pipe dream. Hivi sasa Putin anasota kuikamata Ukraine kinyume na alivyotarajia katika mipango yake ya awali. US wanafanya yao kumkamua taratibu. Kwenye battle front imekuwa taabu. Angalau tumaini liko kwenye kuharibu civilian infrastructure kwa makombora na drones. Aendelee hivyo hivyo labda atavunja nguvu za Ukraine hadi waombe negotiations.
Yeye ajue ameingia kwenye safari ndefu ya vita ya maumivu isiyo na mwisho. Wanaoumia sana ni ndugu zake raia wa Ukraine. Hawa wamejitoa mhanga. Bila shaka hata Warusi wanazidi kuteseka kimwili na kisaikolojia. Yeye Putin anajua hatma yake imeshafungwa na vita hii. Ukitaka ashinde basi mshauri ateremshe nuclear tu kuanzisha armageddon. Hawezi kupigana na US/NATO kwa silaha za kawaida kama kwa Ukraine tu kashindwa vibaya kwenye battle front. Akijidai kurusha makombora ya kawaida London, Kremlin inageuzwa chapati within hours.
Kwanza ashukuru sana kwamba ana uhuru wa kushambulia makazi na infrastructure ya kiraia huko Ukraine kama anavyotaka ilhali Ukraine wamebanwa kutorusha makombora ndani ya Urusi. Wao ni kujilinda na kumng’oa adui toka kwenye radhi yao basi.
Natamani nione maoni ya yule Mzee wa " kheson itakuwa ya Russia milele"..,passioner unaitwa huku,Kuna mtu anakuchezea sharubu [emoji16][emoji16][emoji298]️Russian TV channels have disappeared and Ukrainian radio has returned in temporarily occupied Kherson, – the spokesman of Operational Command "South".
[emoji117] Follow
@Flash_news_ua
Ukibisha kitu ambacho kina ushahidi usiotiliwa mashaka, basi ujue unajiingiza kwenye kundi lenye jina lisilopendeza. Mchana Mwema.Huu uongo hata Warusi wenyewe hawauamini.
Ukibisha kitu chenye ushahidi usiotiliwa mashaka ni kukubali kujiingizia kwenye kundi lenye jina lisilofaa wala kupendeza.Huna chochote cha kuthibitisha propaganda hiyo. Hata kidogo!
Ile ya kutumia ndege kusambaza korona ukilenga watu maalum ni kichekesho ambacho sijawahi kusikia, asante kwa kunifurahisha!!!
Hawana uwezo wa kufanya chochote Kwa sababu kama ni sanctions wameshaziweka Sana na pia hawawezi kudhubutu kuishambulia urusi.Onyo jipya kwa Putin..... Ukitumia nyuklia utakiona cha matema kuni.
Moscow would face “severe consequences” if it uses any chemical, biological or nuclear weapons in its war with Ukraine, the Group of Seven (G7) industrialised nations warned on Friday.
As long as hatatumia of course hawatafanya kitu.Hawana uwezo wa kufanya chochote Kwa sababu kama ni sanctions wameshaziweka Sana na pia hawawezi kudhubutu kuishambulia urusi.
Member mmoja wa G7 alishajitoa kwenye hiyo "mikwala"Onyo jipya kwa Putin..... Ukitumia nyuklia utakiona cha matema kuni.
Moscow would face “severe consequences” if it uses any chemical, biological or nuclear weapons in its war with Ukraine, the Group of Seven (G7) industrialised nations warned on Friday.
Anaweza atumie na wasifanye lolote hata France walisema hivyo Kwa sababu Russia ana ma nuclear hatari yapo tayari Kwa matumizi alafu kumuwekea sanctions Russia ni kupoteza muda.As long as hatatumia of course hawatafanya kitu.
Mkuu tafadhali lete kitu kinacholingana na mada . Yale ya juu umenakili kutoka María Zakharova, msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Urusi. Halafu?? Kwa nini tuamini propaganda ya Kirusi wakati hatutaki propaganda ya Kiukraine? --- Tena: MAneno ya Zakharova hayathibitishi chochote cha kile ulicholeta juu kuhusu "kuua raia wa Ukraine wenye asili ya Russia katika maabara za kibaiolojia".Ukibisha kitu chenye ushahidi usiotiliwa mashaka ni kukubali kujiingizia kwenye kundi lenye jina lisilofaa wala kupendeza.
===
Hata hivyo, ngoja nikuweke kwenye mazingira ya wewe uchutame kama utakuwa unajitambua. Ha ha haaaa! Soma hapa chini.
****
“We can get a rough idea of the US political elites’ involvement in the military biological activity in Ukraine if we rely on open sources as well as leaked documents. Below is an attempt to reconstruct the chronology of this involvement, though not a comprehensive one. There are many gaps in this truly diabolical plan that are still to be filled.
1991 – the US launches the Nunn-Lugar programme for the former Soviet countries to control/eliminate Soviet weapons of mass destruction including bioweapons. The Pentagon’s Defence Threat Reduction Agency (DTRA) was named as the programme’s main executor.
1993 – the Ukraine-US Agreement on the Prevention of Proliferation of WMD is signed.
2005 – an additional protocol is signed to the agreement between the Ukrainian Health Ministry and the DTRA on the prevention of the proliferation of technologies, pathogens and know-how that can be used to develop bioweapons. This is the start of the transfer of the Ukrainian military biological potential into US specialists’ hands.
2000s – large US military-industrial companies are engaged in military biological activity in Ukraine.
2005-2014 – Black & Veatch Special Projects, a DTRA contractor, builds and upgrades 8 biolabs in Ukraine instead of eliminating military biological infrastructure, as was originally claimed. One of the facilities, a biolab in Odessa, has been financed since 2011 for the study of “pathogens that can be used in bioterrorism attacks.”
2007 – US DoD employee Nathan Wolfe founded Global Viral Forecasting Institute (subsequently – Global Viral), a biomedical company. The mission stated in the charter is non-commercial study of transborder infections, including in China.
2009 – Rosemont Seneca Partners is established by former US Secretary of State John Kerry’ stepson Christopher Heinz and incumbent US President Joe Biden’s son Hunter Biden.
2014 – anti-constitutional coup d’etat in Ukraine.
2014 – Hunter Biden joins the Board of Directors of Burisma Holdings, a Ukrainian energy company.
2014 – Metabiota, a private commercial organisation specialising in the study of pandemic risks is detached from Global Viral. Neil Callahan and John DeLoche, employees of Hunter Biden’s company Rosemont Seneca Partners are appointed to the board of Metabiota. Global Viral and Metabiota begin to get funding from the US Department of Defence.
2014 – Metabiota shows interest in Ukraine and invites Hunter Biden to “assert Ukraine’s cultural & economic independence from Russia”.
2014 – Metabiota and Burisma Holdings begin cooperation on an unnamed “science project in Ukraine”.
2014 – Metabiota, Global Viral and Black & Veatch Special Projects begin full-fledged cooperation within the US DoD programmes.
2014-2016 – Implementation of Metabiota and US DoD contracts, including a $300,000 project in Ukraine.
2016 – US citizen Ulana Nadia Suprun, a descendant of Ukrainian Nazis, is appointed Acting Health Minister of Ukraine. The US DoD and Ukraine’s Health Ministry cooperation programme is greatly expanded.
2016 – an outbreak of swine flu among Ukrainian Defence Ministry personnel guarding a biolab in Kharkov, Ukraine; 20 dead. The incident is hushed up.
2016 – former US Assistant Secretary for Defence
Andrew Weber is appointed head of Metabiota’s global partnerships department.
2016 – EcoHealth Alliance, a Global Viral founder Nathan Wolfe’s structure, is engaged in the study of bat-transmitted coronaviruses at the research centre in a Wuhan laboratory, China.
2016 – the DTRA and Ukraine’s Health Ministry extend the contract after getting approval from the Ukrainian Defence Ministry.
2019 – the COVID-19 mutated bat coronavirus pandemic begins with an outbreak in Wuhan.
February 24, 2022 – launch of the Russian Army’s special operation in Ukraine.
February 24-25, 2022 – rapid elimination of strains in biolabs in Ukraine.
March 8, 2022 – US Under Secretary of State for Political Affairs Victoria Nuland openly acknowledges the existence of cooperation between the US and Ukraine in pathogens”.
Mkuu MArekani imeshaeleza kitambo kwamba wameandaa jibu bila kutumia nyuklia zao - kama kubomoa vituo na vikosi vyote ndani ya Urusi vilivyoshiriki katika matumizi ya silaha za nyuklia ndani ya Ukraine. Hapo Marekani haihitaji kutumia nukes. Uwezo wanao hivihivi.Member mmoja wa G7 alishajitoa kwenye hiyo "mikwala"View attachment 2409318