Umejuaje?Busara za Putin huwa anatoa alert kwanza ( ) angalia wanavyodakwa na hawa ndio waliosema yote baada ya kubanwa korodani zao
View attachment 2407136
Ungetupia na mapendekezo ya "nini" alichopaswa kufanyaHakuna raise ana kichwa kopo Kama huyo zelewisky ,kwani wenzake wanazidi kumuingiza Chaka nalo linakubali tu, huyu ndiye aliyetuvumbua waafrica kuwa Kuna wazungu wajinga kuliko wanavyotuaminisha
Wataishia tu kubweka hawawezi kufanya chochote kwa russia labda zimbabweHawana uwezo wa kufanya chochote Kwa sababu kama ni sanctions wameshaziweka Sana na pia hawawezi kudhubutu kuishambulia urusi.
Anamaanisha "we dont want to be nuked life is so sweet man"Member mmoja wa G7 alishajitoa kwenye hiyo "mikwala"View attachment 2409318
Huu moto wa Ukraine ni wa kufundishwa kwenye majeshi yote[emoji298]️Russian TV channels have disappeared and Ukrainian radio has returned in temporarily occupied Kherson, – the spokesman of Operational Command "South".
[emoji117] Follow
@Flash_news_ua
Putin si mjingaOnyo jipya kwa Putin..... Ukitumia nyuklia utakiona cha matema kuni.
Moscow would face “severe consequences” if it uses any chemical, biological or nuclear weapons in its war with Ukraine, the Group of Seven (G7) industrialised nations warned on Friday.
Kwanza Umeyaelewa maelezo ya Maria? Ninaamini unao uwezo wa kutumia jicho la Tatu kutazama taarifa hii kwa uhuru zaidi. Fanya hivyo, kurahisisha mjadala. Asante.Mkuu tafadhali lete kitu kinacholingana na mada . Yale ya juu umenakili kutoka María Zakharova, msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Urusi. Halafu?? Kwa nini tuamini propaganda ya Kirusi wakati hatutaki propaganda ya Kiukraine? --- Tena: MAneno ya Zakharova hayathibitishi chochote cha kile ulicholeta juu kuhusu "kuua raia wa Ukraine wenye asili ya Russia katika maabara za kibaiolojia".
Sijui kwenye somo la biolojia na jenetiki umefika wapi? Mlikosa somo hili shuleni??🙄 Unaamini kweli kwamba kuna njia kulenga "raia wa Ukraine wenye asili ya Russia" kwa njia ya vimelea - bila kuathiri watu wengine pia????? 😱
Basi nieleze ni jeni gani ambayo ni tofauti kati ya Waukraine "wenye asili ya Russia" na Waukraine wengine!!! Maana bila kuwepo kwa tofauti hiyo huwezi kuilenga, sivyo? 😉
Basi mtaalamu wa biolojia, utufundishe! Bila shaka utakuwa na maktaba kubwa ya marejeleo na hapa naomba nukuu zako!🤓
Mkuu usiwe na wasiwasi watathubutu tu. Wameshaandaa. Wanafikiri Putin anatishatisha tu, hatafanya hatua ya kutumia silaha nyuklia. Hata China ilimwonya asifanye. Lakini akitenda kitu kama hiki, basi majibu yameshaandaliwa. Hawataanza kupanga baada ya tukio.Hawana uwezo wa kufanya chochote Kwa sababu kama ni sanctions wameshaziweka Sana na pia hawawezi kudhubutu kuishambulia urusi.
Washajua kushindana na urusi hawawezi, mwanzo walisema hakuna mazungumzo mpaka urusi itoke kwenye maeneo aliyoyachuchukua Kwa nguvu lakini Leo wanasema wanamuachia Ukraine achague mwenyewe, hii kauli ingesemwa toka mwanzo Ukraine asingepigana Vita,Putin, ni kuchagua kusuka ama kunyoa.
A spokesperson for Germany’s government says Ukraine should decide when to hold peace talks with Russia, after reports suggested the United States had encouraged Kyiv to signal openness to discussions.
Super power wa mchongo mwaka huu kapatikana kweliKichapo anachopewa Supapawa hatokuja kukisahau Karne na Karne[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji298]️ The soldiers of the 72nd Separate Mechanized Brigade showed a video of the unsuccessful Russian army assault on Pavlivka near Vuhledar, which resulted in the death of many Russians.
[emoji117] Follow @Flash_news_ua
Zelenksy yupo sahihi kukataa mazungumzo na Putin maana mwanzoni mwa Vita alishambembeleza Sana wakutane wazungumze Babu akajifanya kichwa ngumu.Germany wamesisitiza kuwa swala la kukaa mezani ni swala la ukraine kuamua wenyewe lini wakae mezeni.Kama lugha hujui soma upite.
Aljazeera
Germany says Ukraine should decide when to hold peace talks
A German government spokesperson has said it is up to Ukraine to decide when to hold peace talks with Russia, adding that Moscow has also been reluctant to participate in them.
The spokesperson’s remarks came after The Washington Post reported on Sunday that the United States has been privately encouraging Ukraine to signal it is open to talks with Russia.
Ukraine’s president has ruled out negotiations with Moscow while Russian President Vladimir Putin is in power.
Si tulikubaliana WSJ ni Propaganda au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]The world we live in imejaa illusion nyingi sana!
Wall Street Journal maarufu kama WSJ wadai kua "Ukraine Conflict" ni just warm up, the "Big" one is yet to come!
View attachment 2409407
[emoji298] Katika "Opinion" iliyotolewa ni kuongezwa kwa military spending up to (4-5% of GDP). Kwa estimate za haraka haraka hizi ni kama 1.2 trillion dollars [emoji1787].
[emoji298] Current military spending ni 3% ya GDP ambayo iko around 800+ billion dollars! In comparison hii ni 3 times of China na almost 10 to 11 times of what Russia is spending annually in military!
[emoji1] What's funny ni kwamba despite those huge number of printed "dolali" ambazo ni kubwa mara dufu kwa "rivalries" wake China na Russia yet anaonekana hawezi kuwa "contain" so "She need" more and more!
[emoji95] "Nature" au tuseme over view ya jeshi la "wapinzani" wake Russia na China ni "Defensive". Only yeye tu ndio amekaa ki-offensive na aggressive towards others! So how can "they", Russia and China be "threats" kwake. Au China na Russia wamepanga kuivamia US [emoji23].
[emoji188] "She" gotta allies all over the world, tena kama haitoshi ana base za kijeshi kuzunguka "Wapinzani" wake. How comes "tajiri" mpunga una pwaya kupambana na "maskini" [emoji1787]
The world we live in is full if illusions nyie acheni tu [emoji2772].