NARUDIA TENA BABA ZIFUATE AKILI ULIPOACHA , niambie Mwaka 2014 baada ya Urusi Kupora Crimea taifa gan lilikuwa limepanga kupeleka nyuklia Ukraine na taifa lipi lilikuwa kwenye misuguano na Urusi , au mwaka 2008 Urusi alipoivamia Georgia na kupora jimbo moja , je ni taifa gan la magharibi lilikuwa lina mgogoro na Urusi ? Tuliupinga ukaburu wa SA leo hii waafrika mnautetea ukaburu wa Urusi dhidi ya majirani zake , Urusi ndo taifa pekee lenye makoloni ndan ya Ulaya mpk sasa hv hlf nyiny wahanga wa ukolon leo hii mnashabikia taifa la hv , TUKIWAITA MAZOMBIE MNATUKANA WKT NDO AKILI ZENU ZIPO IVO , MAKOSA YA MAGHARIBI SIO KIPIMO CHA KUSEMA LIPI TUFANYE NA LIPI TUSIFANYE , NI UKICHAA KUUA SABABU MAGHARIBI WALIUA PIA
Hakuna mahali kumeonyesha ushabiki.
Nilichotaka kuonyesha ni kuwa Urusi ana sababu thabiti za kufanya aliyofanya inaweza kuwa sawa au sio sawa.
Ni kama mtu mwenye hasira kama wewe unavopaniki . Unaeza kuwa sawa au sio sawa.
Muungwana huangalia pande zote na huacha hisia zitulie kabla ya kufanya maamuzi.
Kwa majibu yako inaonyesha wewe ndo ungekua mrusi ungeshalipua mabomu yote ya nyuklia.
Mambo ya wazungu waachie wazungu mkuu wewe unavomtetea Ukraine mbona hakuna aliyemtetea Mrwanda alivokua akichinjana...nani alimtetea Patrice Lumumba alivouwawa Congo...nani alimtetea Libya alivoharibiwa na hao Nato na USA..nani alimtetea Kosovo alipolipuliwa na Nato na USA
The world is full of hypocrisy
When you are given two evils to choose one. I advice you to choose none.
Ndo maana Mwalimu Nyerere hakufungamana na yoyote.
Migogoro ya Africa hakuna anayoisemea...
Hao wamarekani wanaprint hela kama karatasi na kupeleka huko ukraine soon the bubble will burst na hapo ndo utajua hao jamaa wote hawana nia nzuri na dunia.
Mimi sipo upande wowote...ila kwenye ugomvi wowote kila mtu ana sababu zake za kugombana...inakupasa uangalie pande zote kabla ya kunyoosha kidole
CONCLUSION: hao ukraine na washirika wake pamoja na Urusi wote wangeeza kuepuka huo mgogoro kama wangekaa mezani ila kwa sababu wote wanataka kuonyeshana ubabe basi wanamalizana huko kama kumbikumbi.
Pia nakupa homework ufatilie hao jamaa ambao ndo polisi wa dunia tabia na mienendo yao
The United States has been involved in numerous foreign interventions throughout its history. By the broadest definition of military intervention, the US has engaged in nearly 400 military interventions between 1776 and 2019, with half of these operations occurring since 1950 and over 25% occurring in the post-Cold War period.
[1] The objectives for these interventions have revolved around economy, territory, social protection,
regime change, protection of US citizens and diplomats, policy change, empire, and
regime building.
[1]