LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Yaani wewe ufahamu yote hayo Urusi isifahamu mkuu hahahahahahaha kifupi unaota
 
Ukrainian defence officials claim that their forces have re-taken the eastern city of Chuhuiv.

In an operational update posted to Facebook on Sunday night, Ukraine's General Staff said that Kyiv's forces had seized the city from Russian troops and had inflicted heavy losses on Moscow's forces during the battle.
 
Sio kila fala anaweza ku access social account za Rais wa watu,man of the people ZelezinkyπŸ‘‡



 
Russia hajawahi chukua huo mji.....
Hawa waUkraine sijui kirene wanashida ya Uongo.
 
UK veteran, mmoja amewaasa waingereza wenzake, wafikrie mara elfu na hawashauri kabisa kwenda Ukraine. Mkuu msaidizi wa majeshi ya Urusi amesema, kuna mercenaries wanaenda Ukraine, wamepata taarifa hiyo, wafikirie mara saba saba kabla ya kuingia Ukraine. πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯ watabakia mavumbi ha haaa
 

They don’t care about Us-Michael Jackson
 
Hayo ni sawa na vyuma chakavu
 
Zelensky fala sana, comedian, kauzwa na NATO, kaingia mkenge kadanganywa, kaachwa kwenye mataa, sasa anapigika, ndio ajifunze, Rais akiwa comedian akili hakuna kabisa, anajua maisha ni kama comedy tu. Acha ashughulikiwe.
 
Hoja dhaifu ipi?
 
Wamegeuza bogi lao na saizi wanatafuta njia nyingine ya kuingia Ukraine ila tutawateketeza mapema sana
 
Mtoa post unaonaje huu muda ULIOTUMIA kupost huu ujinga wako ungekuwa unasoma namna ya kutafuta pesa kwa kutumia fursa zilizopo mtaani kwako badilika acha ujinga soma usiwe mtu wa akili za 0.0 yaani zero brain
Umepoteza Tsh ngapi kutumia muda wako kutoa haya maoni?
 
Huyo mfungwa.si yuko jela kwa wizi,akamueleze mke wake huo utopolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…