T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Mkuu hapo Kherson hicho kipande tiyari Ukraine ishasema inaenda kukishambulia kabla ya leo. Tena wataalamu wanasema walikuwa waanzishe bridgehead kwenye hiyo kona hapo mbele ya Kakhovka maana mto ni mpaka sana Russia ndio pagumu sana kuwa supplied na Russia. Kisha wangepiga hapo juu kulia ya Snihurivka kukata kipande kukizingiraNimesikia mshauli wa rais wa Ukraine akisema kuwa bado Urusi hajaondoka kherson na Ukraine haiwezi kuingia kwenye mtego wa kijinga ulitegwa na Urusi.
Hakuna atakayekaa kando katika dhoruba ijayo.
Wakati assessment iliyofanywa baadae ilionyesha inabidi waondoe vyuma zaidi. Mwanzoni assessment ilionyesha watawahi ila nadhani wameamua kuliko kurekebisha ukarudi tena miaka michache bora waende directHamna walituma picha linapitisha magari wakasema kitu tayari kinafanya kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lete chanzo Cha hiyo habari..,kilichoripoti kwamba msaidizi wa rais zelensiky kasema hivyo..,sio tu kujitungia habari na kuandika humu[emoji848]Hata mshauri wa rais wa Ukraine amesema hivyo kuwa Ukraine haiwezi kuingia kwenye mtego wa Urusi kipuuzi.
Leo wamelambishwa mchanga vijana wa mobilization zaidi ya 500 kwa mpigo..,wewe endelea kujiliwaza [emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sasa hivi ni zamu nyingine tena ya artillery kuonyesha umuhimu wake vitani. Muda wa vifaru ushaisha na usitarajie tank battle yoyote maana hatukuipata hata moja Ukraine ilikuwa inatumia anti tank missiles, artillery na minesInasemekana kuna wanajeshi zaidi ya 20,000 hapo kherson, hivyo artillery za ukraine zinafanya kazi sana hapo kwenye huo mto. kuna uwezekano mkubwa wengi wasivuke.
Nimeona Mauripol wameanza weka defence kwa kuchimba na kuweka pyramids
Ngoja tusubiri tuone ni kipi kitaendelea.Mkuu hapo Kherson hicho kipande tiyari Ukraine ishasema inaenda kukishambulia kabla ya leo. Tena wataalamu wanasema walikuwa waanzishe bridgehead kwenye hiyo kona hapo mbele ya Kakhovka maana mto ni mpaka sana Russia ndio pagumu sana kuwa supplied na Russia. Kisha wangepiga hapo juu kulia ya Snihurivka kukata kipande kukizingiraView attachment 2411626
Ukraine haitaki kupoteza wanajeshi wengi. Haipendi kupiga kwa sifa inawapa pressure sehemu fulani wanaretreat. Ndio maana sometimes inatangaza inaenda shambulia wapi ili Warusi waondoke. Haishtukizi kushambulia ila hawa pro Russia unawakuta humu wanashangilia "hiyo Kherson mliyosema mnakomboa tangu mwezi jana mbona tunayo". Kumbe Ukraine imewaachia fupa gumu. Imepiga supply lines sasa majenerali muamue majeshi yenu yavamiwe yakiwa hayana supplies za kutosha na hayana uwezo wa kuretreat bila mashambulizi, muambulie kuua Ukrainians kadhaa ila mwishowe mpigwe eneo hilo. Au muondoke bila kuwaua Ukrainians wachache ila muokoe wanajeshi wenu na silaha zenu kisha mkazipange sehemu mliyo na advantage kulinda.
Tabia ya kufa kishujaa ni doctrine ya USSR/Russia. Majeshi kama British au Israel wenye population ndogo na wanaotumia gharama sana kufundisha wanasisitiza kuepuka kupoteza wanajeshi kizembe. Ukimcheki Marshal Zukhov au Marshal Rokossovsky wa Russia na Field Marshall Montgomery wa Britain kwenye WW2 utaelewa kwanini Russia ilipoteza wanajeshi wengi mno kuliko wenzake
Inaonesha intelligence ya Nato na Us inawasaidia sana Ukraine.Sasa hivi ni zamu nyingine tena ya artillery kuonyesha umuhimu wake vitani. Muda wa vifaru ushaisha na usitarajie tank battle yoyote maana hatukuipata hata moja Ukraine ilikuwa inatumia anti tank missiles, artillery na mines
Msisitizo uzingatiwe hapo "the only regional centre they had captured since invasion began".Russia washa kimbia huko View attachment 2411628
Lawama ziende hasa kwa huyu bwana RQ-4 Global Hawk kutoka kwa Northrop Grumman. Kila muda hizi drones zinazunguka Black sea kuchungulia eneo la vita na ndani kidogo ya Russia. Bahati nzuri zinakuwa kwenye anga la kimataifa hivyo kuzishambulia unanunua kesi kwa MarekaniInaonesha intelligence ya Nato na Us inawasaidia sana Ukraine.
Kuna uwezekano hadi january Ukraine akawa keshavuka dniper river
Ila juzi kati kabla drone hazijashambulia sevastopol, paliwa na RC Joint rivert ya UK maeneo ya Blacksea.Lawama ziende hasa kwa huyu bwana RQ-4 Global Hawk kutoka kwa Northrop Grumman. Kila muda hizi drones zinazunguka Black sea kuchungulia eneo la vita na ndani kidogo ya Russia. Bahati nzuri zinakuwa kwenye anga la kimataifa hivyo kuzishambulia unanunua kesi kwa MarekaniView attachment 2411661
Mimi ni pro-russia lkn kwa jinsi ninavyoona Russia hajui anataka nini huko Ukraine.Haijalishi Russia alikua anauhalali au hana uhalali wa kuivamia Ukraine.Russia ilipaswa kusimamia mtazamo wake na kama ni vita then ingepigana serious war, sio unapigana siku mbili- unakaa wiki hueleweki unataka nini.Mwenzako anakuotea..then unapiga tena kwa pupa then unatulia.Umeingiza watu mpaka Kiev pale, vijana wamekufa..then ghafla tu unasema unakaribisha matashi mema..unarudisha wanajeshi nyuma kabisa.
Kremlin pale naona ni kama CCM tu..watu wamekula wameshiba, hawajui na hawajali nini wafanye.Hii kutokua na msimamo wa kisiasa pia nafkiri kunawaathiri hata makamanda...hawajui kesho yanatoka matamko yapi...
Huwezi ukawa vuguvugu ukashinda..ni either baridi au moto...matokeo sio juu yako..
Pili Russia hawaishi maneno yao...na ndo kinawapa Ukraine kiburi..na nchi hata ambazo mwanzoni ziliogopa kutoa msaada Kiev sasa zinatoa kwa nguvu zote, sababu wameona anaeogopwa hajui kama anaogopwa.
Russia haishindi hii vita..huko mpakani kutakuwa na chokochoko kwa miaka kibao mbeleni...PUTIN anasitasita sana na maneno mengi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na alikuja kwa mbwembwe,alidhani anapigana na wavaa kobazi wa Syriawapi papaa wa harmagedon