The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Sasa hizo ni maneno za woga na kutapatapa kwa hao jamaa wa Russia,mtu anapoenda mstari wa mbele kupigana anakuwa ana mangapi? Si ni fainali lazima mtu afungwe?UK veteran, mmoja amewaasa waingereza wenzake, wafikrie mara elfu na hawashauri kabisa kwenda Ukraine. Mkuu msaidizi wa majeshi ya Urusi amesema, kuna mercenaries wanaenda Ukraine, wamepata taarifa hiyo, wafikirie mara saba saba kabla ya kuingia Ukraine. π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯ watabakia mavumbi ha haaa
Hayo si ndio matakataka yao Huko Urusi,hayanaga msaada ni ma vyuma chakavu.Mfumo wa ulinzi wa anga wa Ukraine, S-300 air defense weapons system, umeshambuliwa na kuharibiwa na vikosi vya makombora vya majeshi ya Russia
View attachment 2141779
Mbona maisha yatakuwa magumu sana hapa?
Huna akili patheticZelensky fala sana, comedian, kauzwa na NATO, kaingia mkenge kadanganywa, kaachwa kwenye mataa, sasa anapigika, ndio ajifunze, Rais akiwa comedian akili hakuna kabisa, anajua maisha ni kama comedy tu. Acha ashughulikiwe.
Hakuna kuomba hapo mkuu hapo ni biashara inafanyika....lazima kuna mazungumzo yanaendelea hapo lazima ukraine akubali baadhi ya masharti kabla ya kupewa msaada.Juzi Zelezinky aliongea na baadhi ya wabunge wa sanate kwenye kikao cha Siri aliomba no fly zone au helicopters.
Game change:
NATO ruhusa kupeleka ndege za kivita Ukraine:Biden adminView attachment 2141786
Acha kututisha basi! Eti USA ina hadi Military Base KIGAMBONI. Acha uwongo ako basi.Mkuu,Marekani ana Military base Rwanda.Hapo Chagos jirani yetu ipo kubwa sana.
Mauritania ipo.na Kigamboni.
Ya Djibout ni kwaajili ya Waarabu huko Iraq.
Kwahiyo wanachagua tu kikosi kikapige wapi kutokana na umbali.
Huko saa hii vyombo ndio vinapelekwa.
Mrusi anaona kama amemaliza vita.
Jamaa NATO ndio kwanza wanajiandaa.
Wako hapo Poland wanafunga mitambo.
Baada ya hapo utaskia mziki wake huyo Putin aandae makao mapya.
That's the consequences..huyu mzee japo 'anakaza' lakini moto wa oven unamuunguza!Mbona maisha yatakuwa magumu sana hapa?