Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
"Kherson will be Russian forever" - PutinBwana Utam maelezo tafadhali. Superpower gani anakimbia eneo lake mkuu? Yani huyo ndio apigane na NATO kweli
Siku wanaingia crimea watadai mtego ,sasa mitego gan haitegukiNawashangaa sana Pro Russia wanaojichekesha eti Ukraine ataingia mtego wa Russia awe fooled. Wote wanaoamini hivi ni wapuuzi tu na wasiofuatilia mambo.
Kwanza katika upande wenye Intelligence kubwa katika hii vita basi ni Ukraine sababu anasaidiwa na partners wake ambae ni manguli wa intelligence. Kina Us, Uk Canada na Nato wote hao wakipata taarifa wanawapa fasta incl option on what to do. Bado kuna jirani zake hao kina Poland wanapata za field kabisa wanafikisha taarifa.
Sasa yeye Ru anategemea nani? Iran, N.korea? Hao wote wachovu sanasana ni yeye anahangaika mwenyewe ndio maana unaona Tangu vita ianze akijisahau kidogo tu anapewa pigo takatifu watu wanatulia wanamsikilizia anakurupuka kurusha makombora hovyo kama kichaa.
Endeleeni kusubiri huo mtego mliotega mtaona matokeo yake.
Wapiga zumari wao humu kila siku husifia mara ohhhh ni mitego. HahahahaaaaSupapawa namna gani tena. Sasa wamlete jenerali nani maana huyu lipualipua wa miji kaamua kuhamisha vikosi kujibanza upande mwingine wa Dnipro. Ukraine ilivyotangaza shambulizi supapawa wanakimbia sasa
Wanakelele nyingi sana kama wanatoa mavi magumu ya makande.Jamaa kakata tamaa kabisa .wazee wa ukiigusa kherson umeigusa russia
MKUU MIMI KUNA VIDEO NIMEIONA JUZIKweli kabisa ndugu...hawa Warussi s Waukraine akili zao ni moja tu...Kwanza wote waongowaongo...huwezi elewa huyu anataka nini na huyu anataka nini. Tuwaachie wenyewe watajuana huko..tuendelee kupambana na ukame
Ndugu mbona hueleweki unabwajabwaja tulia dawa ikuingie mmeyataka wenyeweMKUU MIMI KUNA VIDEO NIMEIONA JUZI
KUTOKA CHANNEL YA YOUTUBE YA (WOIN) WALIONYESHA MWANDISHI WA HABARI YUPO UKRAINE NA WANAJESHI ,TENA WAPO KARIBU NA MTO WA KHERSON PAMOJA NA WANAJESHI WA UKRAINE, TENA WANAJESHI WA UKRAINE WANAOGOPA KWENDA KWENYE MJI COZ WANAHOFU INAWEZA KUWA MTEGO , SABABU RUSSIA WAMEONDOA VIKOSI VYAO KHERSON WAO WENYEWE, TENA WAKAONYESHA KUNA MAANDISHI WANAJESHI WA URUSI WAMEANDIKA WAMESEMA (TUTARUDI MDA WOWOTE),
YANI HATA MTO KUVUKA WANAOGOPA.
SASA UKIJA HUKU KWENGINE VYUMBO VYA HABARI MARA WANASEMA URUSI WAMESHIDWA MAPIGANO KWENYE MJI, WAMEPOTEZA WAJESHI WENGI. MDA HUOHUO RAIS WA UKRAINE ANAOMBA MAZUNGUMZO KUMALIZA MGOGORO, HAPOHAPO MAREKANI WANAMSHAHURI AONGEE NA PUTIN WAMALIZE VITA.
WANATUCONFUSE SANA HAWA JAMAA.
Hao wakipigwa HIMARS za kutosha watakimbia wenyewe.Kiukweli ukraine inafanya vema ila bado mziki upo upande wa pili wa kherson uliotebganishwa na dnipro river ,hapo ukraine akishinda bas crimea itakua mikononi mwa ukraine.Mungu barik Ukraine katika hii vita ngumu