Final Boss
JF-Expert Member
- May 5, 2022
- 1,296
- 15,984
Tangu HIMARS ziingie mwezi wa Saba pro NATO hatujawahi kupigwa na vitu vizito kama mnavyopigwa pro Russia..,sema tu nyie mnachokiweza ni propaganda na maneno mengi, lakini kihualisia huko front line mnatembezewa kipondo Cha hatari..,haya mafanikio anayoyapata Ukraine yangekuwa yanapatikana upande wa urusi,hili jukwaa lingekuwa na foleni kubwa hivi Sasa..,niseme tu sisi pro ukraine hatuna mbwembe sana.., kikubwa ni kwamba tumelilax.., ajabu ni kwamba ikitokea urusi akalipua miundombinu miwili au mitatu ya umeme na maji, jukwaa litajaa article kibao za kumsifu urusi as if Kuna mafanikio yoyote aliyoyapata kwenye uwanja wa vitaHabari dada....tangu juzi Jana na leo umeonekana Mara nyingi humu...uendelee hivi hivi mpendwa...usiwe unapotea Sana....Mambo mazuri yaja[emoji1787][emoji1787]
Hapo unakufa taratiibu ukijiona
Urusi ameuvunja moyo wangu [emoji24][emoji22][emoji22][emoji24]Hahahaha Urusi katuaibisha sana aisee.. Sio kwa kipigo anachokula pale Ukraine
Nitaondoka na hii paragraph....GeopoliticsKitu ambacho ukitanguliza mihemko mbele hutokaa uelewe au ung'amue kitu.
very true huu ni mpango sƬdhani kama putin anaweza kuwa mjinga kiasi iki kuweza kuachia sehemu aliyoichukua kwa jasho na damu kizembe namna hiiWaza ujiwazue...
[emoji845][emoji1666][emoji845]"Any coincidences are random", Matukio ya week hii...
[emoji736] Statements of the Russian Federation about readiness for negotiations without preconditions.
[emoji736] The United States extended until May 15, 2023 permissions for banks for transactions related to Russian energy supplies.
[emoji736] Abramovich got control over $6 billion.
[emoji736] The London Metal Exchange abandoned the idea of imposing a ban on the supply of metals from the Russian Federation.
[emoji736] The US does not object to India buying Russian oil at a cost above the price ceiling, without using the services of Western companies.
[emoji736] The Netherlands allowed the shipment of 20,000 tons of Russian fertilizers to Africa, stuck in the port due to sanctions against the owner of the cargo.
Ajab la leo tena...
[emoji1099] [emoji629] [emoji635]Olaf Scholz said that the EU deliberately did not impose sanctions on Russian gas
"We have imposed sanctions against Russia,but not on gas,and it was done intentionally,because we also knew how many countries depended on gas supplies from Russia-much more than we did" he he he [emoji23]
Geopolitics [emoji2772] Kitu ambacho ukitanguliza mihemko mbele hutokaa uelewe au ung'amue kitu.
Teh yah... Life la siasa (Geopolitics) lipo confined kwenye puzzle. Ukimiss nukta hata moja tu unapoteza taswira ya situation nzima kwasababu Issue nyingi zipo kama Iceberg. Kile unacho kiona juu ni small portion of ila what is underneath the surface ni so huge.Nitaondoka na hii paragraph....
bila ya shaka kuna ishu nyeti zinaendelea nyuma ya macho yetu ila wakubwa hawajataka kutufunulia pazia la habari.
Yaani Russia ndio ashindwe kuilinda kherson.
Siamini.
Una uhakika haikusupotiwa na wakazi wa maeneo hayo?Wengi wa wakazi wa Kherson wako Russia na maeneo yanayokaliwa na Russia!Halafu baada ya muda Urusi itaanza kufurumisha makombora ya Cruise toka mbali kwenda kwenye maeneo anayodai ni ardhi yake bila kujali wananchi anaodai alikuja kuwakomboa.
Wanajeshi wa Tanzania walipoingia Uganda walipokelewa kwa vifijo na nderemo na wananchi wa Uganda sababu walikuwa hamtaki Iddi Amin.
Nashangaa Russia haipati sapoti toka kwa wananchi wa maeneo iliyojilikisha ya Ukraine ikidai ilikwenda kuwakomboa toka Unaziš¤
Halafu baada ya muda Urusi itaanza kufurumisha makombora ya Cruise kwenda kwenye anayodai ni ardhi yake bila kujali wananchi anaodai alikuja kuwakomboa.tunashangaa inakuwaje taifa linalojiita super pawer linashindwa kulinda ardhi yake iliyojimilikisha!?
Propaganda kubwa ya ProRussia a.k.a Warusi wa buza ni neno"Propaganda ya vyombo vya habari vya magharibi".Teh yah... Life la siasa (Geopolitics) lipo confined kwenye puzzle. Ukimiss nukta hata moja tu unapoteza taswira ya situation nzima kwasababu Issue nyingi zipo kama Iceberg. Kile unacho kiona juu ni small portion of ila what is underneath the surface ni so huge.
So ukifocus kwa ukubwa uonao juu, bila kutizama chini kuna nini hutopata kitu.
Nzuri kaka si unajua mitaa yangu huwa ni kwa mada za Pro Ukraine unakonikutaga siku zote.Hapa huwa napita kimya kimya nawaachieni mnapokuwa mnashangilia na nyinyi.Si unaona sasa tumepokezana,wale Pro Russia kindaki ndaki wa hapa na wao hawaonekani tangu juzi na wewe imekuchukua zaidi ya masaa 48 mpaka kurudi tena hapa [emoji3][emoji3]Habari dada....tangu juzi Jana na leo umeonekana Mara nyingi humu...uendelee hivi hivi mpendwa...usiwe unapotea Sana....Mambo mazuri yaja[emoji1787][emoji1787]
Ukifika muda wa kulia sawa tutalia lakini kwa sasa zamu yenu.Naona pro lgbtq mnatamba msije mkaanza kulialia tu.
Kwa hiyo wale tuliowaona wakishangilia mitaani siyo wakazi wa Kherson? Je nitakuwa sahihi pia nikisema wale waliohamishwa walikuwa ndiyo mamluki wa Russia.Nadhani hapa tukubaliane kuwa ni kweli kulikuwa na wakazi waliokuwa wanaisupport Russia lakini hawakuwa wengi kiasi kile tulichokuwa tunaaminishwa na utawala wa Kremlin.Una uhakika haikusupotiwa na wakazi wa maeneo hayo?Wengi wa wakazi wa Kherson wako Russia na maeneo yanayokaliwa na Russia!
Hao mmenda kuwahoji?Tatizo mnalishwa tu habari za upande mmoja na akili inajifungia humo humo!