Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


risala ya marehemu
 
Ilichoambulia Urusi kwenye vita vyake
na Ukraine ni kuuwawa kwa askari wake wengi bila kufikia malengo🤔
...
UK Defense Secretary Ben Wallace
 
Kwa hiyo wewe ndiye unayejua undani wa vita hii kuliko Ukraine wenyewe ambao wako front wewe umekaa na kitambi chako kimeshiba ugali maharage hata mlio wa bastola hujawah sikia,unapumua point inanuka hivi
Mkuu nilimsikiliza Commander mmoja wa Ukraine forces akihojiwa. Alionyesha wasi wasi huu,na wako very careful with occupying Kherson,na hata wao Wanadhani it could be a trap,kwa kuwa Urusi walishafanya hivyo huko nyuma.Kumbuka Warusi kabla hawaja ondoka Kherson waliwatangazia wananchi wote waondoke Kherson,kwa nini unafikiri.Hiki 👇ndicho kinachoendelea Kherson.The Russians plan something weird to the American forces who are already there.

​


Many have been asking "What is happening in Kherson and why is Russia pulling out?" It's complicated. One thing is now certain: Americans have entered Kherson.
This is no longer Ukraine versus Russia. This now appears to be Russia VS NATO…Ukraine is just the battlefield.
The video below comes from inside Kherson. Note the flag on the backpack first aid kit and note the language being spoken below.

According to the Russian Ministry of Defense, they have had to bring their troops back to across the Dnieper River for several reasons:
1) Bridges are mostly out on the Kherson City side of the river which makes it logistically very hard to bring ammunition and supplies to those troops, AND;
2) American HIMARS Rockets have been so horrifically precise, the Russian Army cannot set up Ammunition Dumps because HIMARS takes them out.
So they cannot bring large amounts of ammo (just yet) and they cannot store large amounts of ammo (for now) and that makes their forces incredibly vulnerable.
Therefore, the Russians say they took their troops out of one side of Kherson, had them cross the river to the other side, where the logistics problems will not exist and will not endanger the lives of Russian forces.
Kherson city is now Russia. Russia will not give up that territory permanently, they say. But a strategic fallback was necessary.
Now, as seen in the video above, we see Americans in Kherson.
If Russia can show that American soldiers have invaded Russia territory, that makes American territory subject to Russian attack. It's that simple.
 

Attachments

  • Americans-In-Kherson.mp4
    3 MB

Trainloads of armor and other NATO military gear in Poland, moving toward Kaliningrad​

Published 12th November 2022

Video has emerged of trainloads of NATO armor and other military gear moving through Poland, toward the Russia enclave of Kaliningrad.
The video, below, shows one of the trains moving through Gdynia, Poland.

Each day, NATO moves more and more military gear either toward Russia or Ukraine, and toward the Russian enclave of Kaliningrad. It doesn't stop.
Today, the Russian Ministry of Defense ORDERED manufacturers to DOUBLE the production of hypersonic missiles.
It won't stop unless or until citizens in NATO countries, get their governments back under control -- and fast -- or else World War 3 is on the menu.
 

Attachments

  • NATO-Military-Train-Poland-Toward-Kaliningrad.mp4
    1.8 MB
Pro Russia ni kama mna matatizo mahali, kwani hamjui katika misaada wanayopata Ukraine pia wanapewa medical kits, alafu hizo back pack zinathibitishaje kuwa hao ni Askari wa marekani
 
Pro Russia ni kama mna matatizo mahali, kwani hamjui katika misaada wanayopata Ukraine pia wanapewa medical kits, alafu hizo back pack zinathibitishaje kuwa hao ni Askari wa marekani
Sikiliza Kingereza wanachozungumza hao Askari mkuu,kinaonyesha wazi kwamba n Wamarekani.Halafuu,hakuna nchi independent ingekubali Askari wake wabebe packs zinazo ashiria in any way kwamba Askari wa nchi nyingine wanasaidia kwenye Vita.Hata hivyo mkuu this is "covert confirmed intel information," wala haina longo longo.
 
Hivi team Putin si walisema hizi Meli zimepata minor damages,sasa mbona Leo zinavutwa kama Passo 😂

⚡️ On the side of temporarily occupied Sevastopol (Crimea), a warship similar to Admiral Makarov (ed. frigate of the Russian Navy, part of the Black Sea Fleet) is being towed. We are waiting for the official information.

👉 Follow @Flash_news_ua
 
Wavuta bangi wa Putin wanataka Urusi iipige Marekani nyuklia😂

Meanwhile in Russia: a rally, demanding for Moscow to strike Washington. They cite Putin's words: "We will go to heaven as martyrs and they will simply croak."

 
Sijawai kuona uvutaji kama uwo toka dunia kuanzishwa.yani kuna gepu la zaidi mita 200.ebu jiongeze basi hapo kuna meri gani inavutwa?
 
Na hata kama kweli inavutwa mbona ni jambo la kawaida tu ndo maana uliambiwa zimepata madhara madogo, ingekuwa makubwa basi ingeweza kuzama kabisa.sasa kitu gani usichokielewa au ilo linaitaji shule
 
Na hata kama kweli inavutwa mbona ni jambo la kawaida tu ndo maana uliambiwa zimepata madhara madogo, ingekuwa makubwa basi ingeweza kuzama kabisa.sasa kitu gani usichokielewa au ilo linaitaji shule
Kama Moskva walivyosema imepata hitilafu kidogo ya Moto halafu baadae ikazama😂😂😂😂. Hivi proRussia si ndo mlikua mnabisha humu Ukraine walivyosema wameipiga Moskva kwa Makombora,baadae mkaumbuka baada ya Russia kusema Meli imezama.

Base kule Crimea ilivyobutuliwa mkasema madhara kidogo baadae picha za satellites zikawaumbua,ndege tisa zilikua zimelipuliwa wakati Russia ilisema hakuna madhara yyte makubwa 😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…