President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Hii hapa bei ya simu hiyo kwenye maduka ta tigo. Kitaani ni kuanzia Tsh 50,000
Mazungumzo badala ya kulipuana ni jambo jema bila kujali ushawishi unatoka upande upi.Hivi unaamini taarifa kutoka Cocaine Pushers was Ukraine kweli Basi hata wewe una shida.
[emoji16][emoji16][emoji16]Ahsante sana kwa mtazamo wako na tunauheshimu pia.Na kwa mtazamo wangu pia huko mbeleni Jeshi la Russia litadharaulika sana kwakuwa uhalisia umejionyesha si Jeshi lenye uwezo wa kupigana kqa kiwango kikubwa kama tulivyokuwa tuna aminishwa kabla ya hii vita.
Tuliwasapoti kwenda kuzuia mauaji DON BAS nakuondoa nguvu zakijeshi za UKRAINEKwa hiyo unashabikia vita ambayo hata malengo yake huyaelewi[emoji848]
Huu ukorofi [emoji16][emoji16][emoji16]Mambo Bwana Utam. Eti Kherson bado ipo chini ya Warusi? Leta update!
[emoji16][emoji16][emoji16]Nilidhani upo Jiji la Kherson kulinda lisitwaliwe na Jeshi shupavu la Ukraine [emoji3][emoji3]
Nyie mnaumwa eeeh[emoji23][emoji16][emoji23]HUU HAPA USHAIDI WA KUMFUNGA PUTIN.
View attachment 2414236
ukraine wanakusanya mabaki ya makombora na silaha mbalimbali zilizotumiwa kudhurumu haki za msingi za Binadamu. Ipo siku mtu mmoja atapandishwa kizimbani.
Hata Bei sijui coz hi nimeletewa tu na bwana bwashee siku ya birthday yangu.Hii hapa bei ya simu hiyo kwenye maduka ta tigo. Kitaani ni kuanzia Tsh 50,000
View attachment 2415451
😂😂😂 Pro Russia mnapitia mkwazo mkubwa kwenye hii vitaJambo la 'kushukuru' ni kuwa dunia kwa sasa haina Maraisi/viongozi ultranationalists kama ilivyokuwa miaka 50 nyuma. Vita ya Ukraine na Urusi ilikuwa ni chanzo tosha kabisa cha kuingia kwenye Vita ya dunia. Kwa sasa tutaishia kwenye ngonjera tu, huku Ukraine ikibaki magofu na Urusi kuyashikilia majimbo inayoyataka. And that will be the end of it. Urusi haitashitakiwa popote. BRICS itaimalika sana, na Nguvu za kiushaiwishi za Marekani zitapungua sana. Ingawa bado US ataendelea kuwa Great Superpower but not hegemonic!. Baada ya Vita hii, Kuna ufisadi mkubwa sana utarepotiwa nchini Ukraine—Zelensky ni corrupt leader sema tu vita hii imemuokoa—na huja Ukraine ikageuka kuwa ni taifa la kidikteta sana barani Ulaya. But kamwe haitojiunga NATO. [emoji120]
Nachokubali I'm a great fan of Putin. Lakini nachojua toka mwanzo na from experience ya mavamizi mengi mf ya US—Afghan, Iraq, Vietnam, Somalia hakuna taifa kubwa liloishinda taifa dogo kivita, sababu ni moja tu—MATAIFA MADOGO WANACHO WANACHOKIPIGANIA NA WAKO TAYARI KUKIFIA. Na ndio maana mbinu ya Air strike kuharibu viwanda, miundombinu, n.k kwa lengo la kuwatia hasira wananchi kuigeuka serikali zao, haijawahi fanikiwa popote, na hata kwa Urusi haitafanikiwa. Warusi wanaamini kuharibu miundombinu ya Ukraine hasa ya umeme, itawafanya waingie kwenye giza na baridi kisha kuwasaliti serikali yao kuwataka kusurrender—Hili halitofanikiwa kamwe.[emoji23][emoji23][emoji23] Pro Russia mnapitia mkwazo mkubwa kwenye hii vita