President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Mzee tukianza kukuletea Analytical arguments usilete mihemko hapa.Kwenye hii anayoiita special epereshen urusi kabakiwa na zapozhia.., hambayo anamiliki nusu.., pamoja na kile kipande Cha kulia Cha kheson.., sehemu nyingine zilikuwa na uhasi au zilinyakuliwa Toka 2014..,huko Nako Bado anahenyeshwa [emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hako unakokaita kaeneo kamelamba wanajeshi wa mandonga mpaka akafanya mobilazation usikadharau aisee.Mzee Russia imekalia squre kilometres 125,000 hapo Ukraine. Unakuja kutupigia kelele kaeneo ka squre kilometer 135!? Are you serious!?
View attachment 2415602
Unatupigia kelele kaeneo ka 0.1%
View attachment 2415603
Pro Russia wenzio wenye akili wamelikimbia jukwaa maana wameona ni miyeyusho tu..,waliyemuona super pawer kumbe hamna kitu..,hapa nafikiri nitakuwa najadiliana tu robot maana sidhani kama Kuna pro Russia mwenye kujitambua anaweza kushinda mtandaoni kumtetea super pawer wa mchongo [emoji12][emoji23][emoji23]Unaona sasa umeanza kunijadili mimi, mada imekuzidi uwezo. Wewe IQ yako ni kiduchu mno.
Mshukuru Mungu mimi nipo nakupatia madini kidogo kidogo uende ukatambe mtaani kwako.
Tunatamba tuna milki Kherson Oblast yote. Nyie mmeachiwa kamji kadogo ukubwa wake sawa na Charambe au Tandale kwa mfuga fisi.Kwa hiyo nyie mlivyokua mnakamiliki mbona mlitamba nako sana , hadi mkakafanyia refendom
Sawa msomi,jibu swalilangu sasa.Mzee hata mambo madogo tu haya unaweza ukaingia google na kuyaona. Hapa naongelea Square Kilometers. Unasema square meters tunaongelea kiwanja cha nyumba hapa!? Nenda shule sasa ukajifunze vipimo.
Kuna kitu lazima ujiulize, Mimi nilijua kutokana na Kherson ni mji wa urusi nilitegemea urusi kuwekeza nguvu nyingi kwenye mji huu,Upo upande wa pili wa mto na madaraja umeyabomoa halafu unamwambia adui yako njoo basi nikuone,Na hawezi kuja tena ulipo.Uko kilimani unamrushia makombora siku baada ya siku.
Mkuu kwanza hongera kabisa, maana una calculator! Ila haisaidii kitu kama namba zako si sahihi. Unaleta hapa namba ya km² 135 ambayo ni eneo la manisipaa ya Kherson. Ila mapigano ya siku za nyuma haikuwa tu kuhusu mipaka ya manisipaa. Mkoa wa Kherson ina km² 28,000 vile, takriban 20% ni upande wa magharibi ya mto Don ambako Warusi wameshakimbia au wanaendelea kukimbia. Kwa hiyo hatujadili km² 135 bali elfu kadhaa. Tuko pamoja, je?Mzee Russia imekalia squre kilometres 125,000 hapo Ukraine. Unakuja kutupigia kelele kaeneo ka squre kilometer 135!? Are you serious!?
View attachment 2415602
Unatupigia kelele kaeneo ka 0.1%
View attachment 2415603
Ata kama kheson ingekuwa kubwa mithiri ya urusi.., kikubwa ni kwamba makao makuu ya kheson yako mikononi mwa ukraine.., full stop [emoji1630][emoji1630]Mzee tukianza kukuletea Analytical arguments usilete mihemko hapa.
Nikuulize hivi unajua ukubwa wa Kherson!?
Mkuu kwanza hongera kabisa, maana una calculator! Ila haisaidii kitu kama namba zako si sahihi. Unaleta hapa namba ya km² 135 ambayo ni eneo la manisipaa ya Kherson. Ila mapigano ya siku za nyuma haikuwa tu kuhusu mipaka ya manisipaa. Mkoa wa Kherson ina km² 28,000 vile, takriban 20% ni upande wa magharibi ya mto Don ambako Warusi wameshakimbia au wanaendelea kukimbia. Kwa hiyo hatujadili km² 135 bali elfu kadhaa. Tuko pamoja, je?
Pamoja na idadi ya km kuna mambo mengine. Mfano Kherson ilikuwa mji mkubwa pekee na mji mkuu wa mkoa pekee ambao Urusi ilifaulu kuteka. Kufukuzwa hapo inaumia kidogo, sivyo?
Na hapo sababu kwamba mitandao ndani ya Urusi inafoka kuhusu aibu hiyo.
Ila kama wewe ukiwa Mrusi wetu mkuu unapenda kushika bendera, basi shika tu!
Huku majimbo yote yakiwa chini ya Urusi. NATO wote wameshindwa kuvuka mto. Shame on USA anajiita supa pawa. Russia siyo Somalia.Ata kama kheson ingekuwa kubwa mithiri ya urusi.., kikubwa ni kwamba makao makuu ya kheson yako mikononi mwa ukraine.., full stop [emoji1630][emoji1630]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nimetumia enwiki, Kherson Oblast - Wikipedia. Kwa kawaida katika mambo ya takwimu wikipedia ni sahihi. Bila shaka kuna link ndani ya makala kwenda chanzo cha namba hiyo (tovuti rasmi ya oblast..)Mkuu tunaomba chanzo cha taarifa yako kinachosema Kherson ni 28,000km²
Na Hali hiyo inamsaidiaje urusi kwenye hii anayoiita special epereshen?? kwanza rais zelensiky alishasema wazi kwamba waukrain wako tayari kuishi bila maji safi au umeme lakini hawako tayari kuendelea kusikia nyimbo za wavamizi zikiendelea kuimbwa kwenye mipaka YaoUkraine inarudi ZAMA ZA KWANZA ZA MAWE. Humu kuna wa Ukraine wa Mabwepande jicho linawatoka kama chura kabanwa na mlango.
[emoji1255] Residents of Kiev were advised to leave for the winter due to energy problems.
“Frankly, the situation is difficult,” said one of the deputies of the city council.
Russia anapambana na Ukraine mkuu.. chukua hiyo japo ni ya moto kwelikweli [emoji2957][emoji2957]Huku majimbo yote yakiwa chini ya Urusi. NATO wote wameshindwa kuvuka mto. Shame on USA anajiita supa pawa. Russia siyo Somalia.
Mbona kitaambo!!!Ukraine inarudi ZAMA ZA KWANZA ZA MAWE. Humu kuna wa Ukraine wa Mabwepande jicho linawatoka kama chura kabanwa na mlango.
[emoji1255] Residents of Kiev were advised to leave for the winter due to energy problems.
“Frankly, the situation is difficult,” said one of the deputies of the city council.
Tuko tayari kutumia mishumaa lakini hatuko tayari kusikia nyimbo za wavamizi zikiendelea kuimbwa kwenye mipaka yetu-rais zelensikyMbona kitaambo!!!View attachment 2415620
This is a good observation,America needs to be isolated.
Mzee nakushauri kabla ya kuanza kujadili ni vyema ukapitia madesa kidogo ukaelewa ABC hivi kuhusu Kherson. La sivyo utakuwa unaandika maandishi mengi yasiyo na point yoyote.Mkuu kwanza hongera kabisa, maana una calculator! Ila haisaidii kitu kama namba zako si sahihi. Unaleta hapa namba ya km² 135 ambayo ni eneo la manisipaa ya Kherson. Ila mapigano ya siku za nyuma haikuwa tu kuhusu mipaka ya manisipaa. Mkoa wa Kherson ina km² 28,000 vile, takriban 20% ni upande wa magharibi ya mto Don ambako Warusi wameshakimbia au wanaendelea kukimbia. Kwa hiyo hatujadili km² 135 bali elfu kadhaa. Tuko pamoja, je?
Pamoja na idadi ya km kuna mambo mengine. Mfano Kherson ilikuwa mji mkubwa pekee na mji mkuu wa mkoa pekee ambao Urusi ilifaulu kuteka. Kufukuzwa hapo inaumia kidogo, sivyo?
Na hapo sababu kwamba mitandao ndani ya Urusi inafoka kuhusu aibu hiyo.
Ila kama wewe ukiwa Mrusi wetu mkuu unapenda kushika bendera, basi shika tu!
Mnaposema urusi kabeba majimbo ukraine mnatumia vigezo gani [emoji848][emoji848]Mzee nakushauri kabla ya kuanza kujadili ni vyema ukapitia madesa kidogo ukaelewa ABC hivi kuhusu Kherson. La sivyo utakuwa unaandika maandishi mengi yasiyo na point yoyote.
Kherson Oblast ipo na Manispa tatu nazo ni:-
Kherson, Nova Kakhovka na Kakhovka.
Kherson ni kamji kadogo tu.
Wilaya zake zipo 18. Kwaupande wa kiuchumi
Ukraine ipo na Oblast 25 Kherson ni ya 21 upande wa GDP.
Katika majimbo aliyobeba urusi jimbo hilo ni maskini.
Kwa upande wa Tanzania Songwe GDP yake ni $2.3B huku Kherson ikiwa na $1.4B.
Wewe umezoea uchambaji. Discussion nzito kama hizi huziwezi. Nakushauri usubirie tulale uendelee na uchambaji wako. Kwa sasa subiri tutoe nondo wengine wajifunze.Mnaposema urusi kabeba majimbo ukraine mnatumia vigezo gani [emoji848][emoji848]
Ina maana vita imeisha au[emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app