Kuna watu tuliwaambia Russia hana na sio mtengenezaji wa hizo suicide drones mkabisha. Mzigo ulioletwa kwa ndege mbili za Iran tena zilikuwa tracked na mabeberu uliisha sasa hivi kimya.
Russia wanasubiri kuombaomba watumiwe mzigo mwingine wasumbue anga la Ukraine ila angalau kwa sasa air defence systems zipo baadhi ya maeneo ingawa zikiwa saturated with attacks zinatumia gharama kubwa
Kama hutojali MKUU tunaomba maelezo yako hapa kwamba Us hanazo hizo artillery kuipa UKRAINE ama zimemuishia
Mpaka akaamua kuelekea huko KOREA pia hakuna uthibitisho wowote ule mpaka sasa kua RUSSIA kapewa silaha na IRAN kwaajili ya hii SMO mpaka leo hii kama sijakosea serikali ya LATIVIA imeliongelea hili kwamba hawana uhakika na kupewa silaha RUSSIA kutoka IRAN zinazotumika kushambulia miundombinu nawakasema wataiekea vikwazo ukitoka uthibitisho
Kwenye nchi hapo sio LATIVIA nahisi ni NORWAY ama DENMARK ila leo wametoa official state juu ya IRAN na hizo drones pamoja na kupelekwa kwa hizi ballistic wanazodai zinataka kupelekwa
Jamaa waka conclude kwamba ballistic wana uhakika nazo ila drones hazina uthibitisho mpaka sasa
Sasa nashangaa ndugu zetu huku jf muda full data ya hizo
Nakinachopingwa hapa zaidi nikwamba mzigo ulifika kabla ama wakati wa SMO
Naleo mchana ndio ilikua inatoka final state kua IRAN katoa silaha katika hii SMO ama laa
Pia kwakuongeza tu eidha kwakujua ama kwakufanya kusudi nadhani ushirikiano kwenye masuala yakijeshi unajulikana na upo wazi nakuamua kushirikiana sio dhambi wala sio vibaya mkiamua
Pia kuna biashara nanajua kama unajua na unaelewa na yote haya yanaruhusiwa
Pia RUSSIA anajua anadeal nawatu wanamna gani naanajua anapambana nao kiaje
Mnashangaa drones za IRAN ila hamshangai IRAQ LIBYA SYRIA zote hizi zimepigwa nasilaha zamataifa zaidi ya matano
Mwisho :- RUSSIA hii SMO kaipeleka vyema sana olaf mwenyewe kasema wangepata nafas nzuri yakuongea na PUT IN kama angekua yupo BALI ila jamaa kamute zake KREMLIN anajua lazma atafatwa nanakuhakikishia kwenye hili RUSSIA kashika mpini
[emoji631] US to Buy 100,000 [emoji2406] Korean Artillery Shells for [emoji1255] Ukraine
The US and South Korea are apparently about to close a deal wherein Washington would purchase 100,000 rounds of 155mm artillery shells to be delivered to Ukraine, multiple reports in the US media say.
Seoul commented on the news by saying that its position on not providing lethal aid to Ukraine remained unchanged, and its “confidential” negotiations on the sale of the artillery shells were being conducted “under the premise that the US is the end user”.
Based on: RT
#English
InfoDefenseENGLISH,
InfoDefense
Sent using
Jamii Forums mobile app