Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yoda. Hakuna nchi zenye maslahi kiuchumi katika ushirikiano kama USA na Ulaya. Mfano sector ya utalii ukipata wateja 1000 kutoka kwao watakupa manufaa kuliko wateja 2000 kutoka China.

Sasa kama nchi mmeamua kufanya nao kazi inatakiwa muwe na watu wenye akili sana ya diplomacy maana hawakulazimishi kwa kutumia nguvu ya mtutu ila vile vipengele vinakulazimisha ujikute upo huko.

Alichokisema Putin ni kuwa West wasitake zile tamaduni ziwe na umuhimu kiasi cha kuwekwa kama kigezo kwenye vipengele vya ushirikiano baina ya nchi.

Hili huwa tunaliona hata katika mahojiano na maraisi wa Africa, huwa wana swali lao kuhusu ushoga, wanaliwekea umuhimu lakini ni wananchi wangapi wanataka kusikia raisi wao akiongelea mashoga? Sio jambo lenye umuhimu ila kwao lina umuhimu.

Msikilize tu na uweke mapenzi pembeni utamuelewa. Kumuelewa katika hilo haimaanishi utamuelewa katika mengine kama wizi wa ardhi na mambo mengine ambayo utaona ni ujinga.
 
Drone hunter imeharibiwa na drone[emoji23][emoji134][emoji124]

The Ukrainian Armed Forces have destroyed a Russian Silok electronic warfare system.
According to Ukrinform, Ukraine’s Operational Command North said this in a Facebook post.

"Fighters of the 30th Prince Konstanty Ostrogski Mechanized Brigade have hunted down a ‘drone hunter’,” the report said.

It added that the Russians like to brag about their allegedly advanced Silok electronic warfare system, but only in words. Soldiers of the 30th brigade hit the “drone hunter,” found it and adjusted the fire using a drone, the report said.

Earlier reports said that Ukrainian defenders had already killed about 82,080 Russian soldiers between February 24 and November 15.

Ukrainian forces destroy Russian ‘drone hunter’
 
Umesha sema baadhi hata hiyo Ujerumani bidhaa zake mfano magari yanatengenezwa kwa kutumia teknolojia kutoka nchi tofauti.
Kwa hiyo punguza ushamba.

Mkuu ni kawaida kabisa kutumia vipuli vinavyotengenezwa katika nchi nyingine; hasa China na Asia kusini-mashariki. Swali muhimu zaidi: nani anamiliki uzalishaji huo?

Ukijiuliza kwa nini China haiuzi tekinolojia ya kisasa kwa Urusi - kwa sababu haimiliki bidhaa nyingi zinazotengenezwa nchini. Umiliki hutegemea haki miliki yaani HATAZA. Ukitazama nchi gani zinaongoza katika hataza utaona China, Marekani, JApani, Ulaya, Korea.

Huoni Urusi inayofuata baadaye kabisa. Nafasi ya China ni ya juzi tu . Hataza za tekinolojia nyingi zinazotumiwa leo bado kutoka Marekani, Japani na Ulaya. Ona takwimu (kumbuka mwaka 2020 Uingereza ilikuwa bado EU ya Ulaya):

Katika takwimu hii utaona siri kwa nini silaha chache kama HIMARS zimeweza kubadilisha mweleko wa vita hadi kukimbia Kherson - kwa sababu kiteknolojia Urusi iko nyuma sana. (Jinsi wanavyosema wengie hapa: Urusi si Zimbabwe - lakini pia si Korea Kusini...)
 

Mzee naona unachanganya madesa. Orodha uliyoiweka ni ya patents kitu unachokiongelea hapa ni technology.
Nadhani jaribu kuongelea kitu kimoja baada ya kingine.

Patent is a government authority or licence conferring a right or title for a set period, especially the sole right to exclude others from making, using, or selling an invention.

HAPA TUNAONGELEA TECHNOLOGY YA VIFAA VYA VITA. Kwakuwa umechokoza mada. Nataka sasa tuoneshe Technology hiyo na siyo patent kama ulivyo weka.
 
Hayo ndio mnayoyaweza kuvurumisha mavyuma kwenye makazi ya watu.

Daraja lilipigwa kwasababu ni miongoni mwa njia inayotumika kupeleka silaha wala hakuna raia aliyepata hasara yoyote ile.

Tatizo mnajiona hamwezi kupigwa hata kidogo lakni mnapata mkong'oto wa nguvu.

Kila kinachowatokea mnakanusha kwanini iwe hivyo?

Mitego vipi bado?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Unavyozungumzia masuala ya kijeshi kwa mtu asiyegundua haraka uongo wako anaweza kufikiria wew ni proffesion military expertise, lakin kwa ambao wameshakujua tayari kuwa wew ni kituko basi hata vituko vyako unavyoandika haviwasumbui akili.
Lakni tatizo lako/lenu mnakosea.

Mnapoona kama yeye anapiga uongo wewe uliyenaukweli huongei ili aumbuke na uongo wake. Sasa kama umemjua kama ni muongo na uaminike wewe mkweli lete habr zaidi za kumpinga.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Hahaaaaa punguza hasira kama umeshindwa ni kumjibu kwa hoja zako za kweli. Au pita kimyakimya kama wanavofanya wenzako.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Hii ndiyo Dunia... ikiamua jambo juu yako huna namna.....


The G20 groups together 19 countries and the European Union representing the world’s 20 largest economies, including Russia
 
Maelezo Yako yote kiufupi unakubali kuwa Russia na NATO wanaogopana!
Huu ni ushindi Kwa taifa Moja kuhofiwa na mataifa 30+ combined!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…