Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Lakini si tulikuwa tunaongelea Kherson hizo habari za KIEV umezipachika hapa wewe sasa hivi.Haya turudi sasa kule Kherson na ujibu swali,Je mji umekombolewa ama la?
Aaaah mie nlikua naongelea SMO kwaujumla wake dada

Ila kuhusiana na kherson ipo wazi hii kuna sehem imekombolewa nanimpuuzi tu anaekataa hili ama nikujifanya kujua sana

Ila KHERSON kama kherson nikubwa kuliko hako kaeneo ambako kamekombolewa

Yaani hio kherson ilokombolewa ni ndogo sana ukilinganisha na kherson yenyewe kwahio kitaalam hii tunasema licha yakua kuna sehem imekombolewa ila bado haijakua full liberated

Kama ilivyo kwa RUSSIA kule DPR ZAPORINHE kuna sehem bado hazijakombolewa kama sijakosea ni LPR pekee ambayo ndio ipo full liberated

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jehanamu on earth inanukia ndani ya Ukraine

🔥🇺🇦In Ukraine, they reported launches of "Caliber" from the Black Sea by ships of the Black Sea Fleet and launches of cruise missiles by long-range aviation aircraft from the Caspian Sea region.
 
Warusi wameamua leo kuigalagaza Ukraine

💥😨Khokhly counted: Missiles spotted!

▪️Two - on Kyiv.
▪️One - on Mykolaiv.
▪️One - from Dnipro towards Poltava.
▪️Two - towards Kremenchuk.m
Mrusi hana namna nyingine zaidi ya kurusha makombola kwa mbali - battlefield kashakwama.
 
Kwani vita ni ya Russia na NATO?
Kama unalazimisha silaha za NATO kuzijua fanya uvamizi uko, usilazimishe NATO itoe silaha. Hizohizo chache za msaada zinafanya mtimue mbio sembuse wakiwa nazo wenye nazo
Kuna sehem nimesema SMO niya NATO kama ipo naomba nioneshe nadhani nimejaribu tu kukueleza kama wanaona NASMAS haifai ama sijui ina nn kama uliposema huko juu wangepeleka mifumo mengine

RUSSIA aende NATO akafanye nini wakati alipokua nashida napo anadeal napo namambo yanaenda kama ilivyopangwa kama wao wanaweza wakaeke No Fly Zone kama anavyoomba bwana Elensky maana hata silaha kaomba na kapatiwa tunangojea na No Fly Zone ila kama itaekwa uje unitag MKUU

Kama kutimua vumbi hata KHARKIV mlisema katimua mbio ila kwasasa huko kinawaka kwel kwel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye macho naaone

Sidhanii kama watagusa kitu kule hem acha tuone hem

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani aliita propaganda?! Wakati kila Iran ikitungua drone ya Marekani, Pentagon hua wanatoa taarifa!.
[emoji23][emoji16][emoji23]
Wakati Barack Obama alisimama akatoa mpaka speech kama sio kweli

Baadae waajemi wakaja naushahidi obama anakuja kuomba warejeshewe ule mzigo wao wahuni wakagoma

us ndio bingwa propaganda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…