kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Kiev ilianza kupigwa mabom Toka February 24..,ivyo sioni ajabu yoyote [emoji16]Kiev inagongwa na vitu vizito [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] watakunya aiseView attachment 2417640
sasa hivi watu wanajipanga kwenda Crimea !! kayakanyaga mengine mabichi.Hata ikiteketea , lakini tambua, urusi hapewi hata sentimeter Moja ya ardhi huko Ukraine. , Atachakazwa mpaka atakimbia kama mbwa mwizi [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwani Kuna jipya..,bado unaona ajabu Leo Kiev kushambuliwa? Pro Russia mna vituko aisee [emoji1787][emoji12][emoji12]Leo lazima maji myaite muma. Vipi hapa pako sawa? Lazima leo mjinyee
tunajua jamaa anashambulia miundombinu ili watu wakae gizani - mbinu ya vita kuu ya kwanza ya dunia.Leo lazima maji myaite muma. Vipi hapa pako sawa? Lazima leo mjinyee
Hawa jamaa naona wanjisahaulisha kwamba zelensiky alishaweka wazi kwamba vita vilianzia Crimea na vitaishia Crimea..,huko kwingineko ni kujaribu kuficha aibu ya kichapo tu [emoji848]sasa hivi watu wanajipanga kwenda Crimea !! kayakanyaga mengine mabichi.
Halafu mashabiki zake wasivyo na akili wanashangilia tu,as if wameongeza hata sentimeter Moja Huko front line [emoji848]tunajua jamaa anashambulia miundombinu ili watu wakae gizani - mbinu ya vita kuu ya kwanza ya dunia.
Mnato wa Menarumango vipi upo poa? 🤣 🤣 🤣 😀 😀 😆 😆Hawa jamaa naona wanjisahaulisha kwamba zelensiky alishaweka wazi kwamba vita vilianzia Crimea na vitaishia Crimea..,huko kwingineko ni kujaribu kuficha aibu ya kichapo tu [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unafikikiria huyo cjawahi kumpinga uongo wake au watu hawajawahi kumpinga uongo wake, mpaka nimeandika hivyo jua unachokisema kilishajadiliwa still yet analeta uongo uleule kujifanya anajua siraha za majeshi ya mataifa mbali mbali hadi udhaifu wake as if yeye Ni deep state au proffesion military expertise afu unataka nany apoteze mda kupingana na uongo wake.Lakni tatizo lako/lenu mnakosea.
Mnapoona kama yeye anapiga uongo wewe uliyenaukweli huongei ili aumbuke na uongo wake. Sasa kama umemjua kama ni muongo na uaminike wewe mkweli lete habr zaidi za kumpinga.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Aloitaka NATO ivamie naniVita ni ya Russia na Ukraine. Kutaka NATO iingie ni kukosa akili, Ukraine sio mwanachama wa NATO.
Na NATO hailazimiki kuingilia vita hii, hapa wanatoa msaada. Russia iko ndondo ila wewe unaitaka iende ligi kuu, huwezi pigana na Ukraine kwa miezi tisa ukiambulia kutimuliwa maeneo uliyojipatia kisha ukasema unaiweza NATO.
Mnachokifanya wewe na wenzako uliowaita ni sawa na kuilalamikia Marekani kwanini Tanzania ni maskini wakati USAID hutoa misaada na serikali yao usaidia bajeti yetu. Kama Urusi inaitaka NATO si mipaka yake inaijua? Sasa wewe na uelewa wako unashindwa kutambua kwamba Russia haina guts za kuivamia NATO, kwanini unalazimisha NATO ndio ivamie Russia
Mliacha kushambulia Kherson jana mwamba alikuwa pale mmesubiri kaondoka leo ndio mnarusha vikombora tena kwa woga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnato wa Menarumango vipi upo poa? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji3] [emoji3] [emoji38] [emoji38]
[emoji635][emoji573][emoji1255]More arrivals in Kiev
Wanagongwa waUkraine wanaumia wanakijiji wa Mwanjerwa
Show show. Hayo mengine nenda kawaambie huko fesibukuMliacha kushambulia Kherson jana mwamba alikuwa pale mmesubiri kaondoka leo ndio mnarusha vikombora tena kwa woga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Zile drone za Iran vip
Hongera lakini pole MKUUYoda. Hakuna nchi zenye maslahi kiuchumi katika ushirikiano kama USA na Ulaya. Mfano sector ya utalii ukipata wateja 1000 kutoka kwao watakupa manufaa kuliko wateja 2000 kutoka China.
Sasa kama nchi mmeamua kufanya nao kazi inatakiwa muwe na watu wenye akili sana ya diplomacy maana hawakulazimishi kwa kutumia nguvu ya mtutu ila vile vipengele vinakulazimisha ujikute upo huko.
Alichokisema Putin ni kuwa West wasitake zile tamaduni ziwe na umuhimu kiasi cha kuwekwa kama kigezo kwenye vipengele vya ushirikiano baina ya nchi.
Hili huwa tunaliona hata katika mahojiano na maraisi wa Africa, huwa wana swali lao kuhusu ushoga, wanaliwekea umuhimu lakini ni wananchi wangapi wanataka kusikia raisi wao akiongelea mashoga? Sio jambo lenye umuhimu ila kwao lina umuhimu.
Msikilize tu na uweke mapenzi pembeni utamuelewa. Kumuelewa katika hilo haimaanishi utamuelewa katika mengine kama wizi wa ardhi na mambo mengine ambayo utaona ni ujinga.
Mliacha kushambulia Kherson jana mwamba alikuwa pale mmesubiri kaondoka leo ndio mnarusha vikombora tena kwa woga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Zile drone za Iran vip