Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Hata hizo sehem zinazopigwa zinapeleka taarifa kwa askari ndio maana zikanyooshwaHayo ndio mnayoyaweza kuvurumisha mavyuma kwenye makazi ya watu.
Daraja lilipigwa kwasababu ni miongoni mwa njia inayotumika kupeleka silaha wala hakuna raia aliyepata hasara yoyote ile.
Tatizo mnajiona hamwezi kupigwa hata kidogo lakni mnapata mkong'oto wa nguvu.
Kila kinachowatokea mnakanusha kwanini iwe hivyo?
Mitego vipi bado?
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
@T14 Armata hv zile Ad hazijaanza kufanyakazi bado ama !!!??Kiev imeanza kuungua moto hivi sasa tunavyoongea
View attachment 2417617
[emoji95] Explosion in Kiev[emoji95][emoji3060]
Uzuri intelligensia ya Ukraine ulitabiri hili tangu last week kwamba Urusi itavurumisha Makombora Kiev baada ya kujiondoa Kherson.Kuna mtu anatoa hasira za Kherson
Wewe uko huko TZ Tena basi pengine kinyerezi unasema huoni ajabu...wenzio wako kule Kiev wanaangamizwa na kutokomezwa...Kiev ilianza kupigwa mabom Toka February 24..,ivyo sioni ajabu yoyote [emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nilikuwa nauliza humu,hivi hizo air defense systems zikimiss target,zinaenda kutua wapi?Au Zina mifumo ya kujilipua pale zinapokosa target?Eya difensi ya wayukirene imegoenda kugonga nyumba ya wanainchi 🤣 🤣 🤣
View attachment 2417694
Wewe dada naona tatizo lako bado tu ..., Sisi kazi yetu ni kuwapa kipondo front line [emoji2]..,nyie jipozeni maumivu kwa kulipua miundombinu miwili mitatu [emoji23][emoji23][emoji23]Mnato wa Menarumango vipi upo poa? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji3] [emoji3] [emoji38] [emoji38]
[emoji635][emoji573][emoji1255]More arrivals in Kiev
Wanagongwa waUkraine wanaumia wanakijiji wa Mwanjerwa
Yes walisema kuwa Urusi inajiandaa kushambulia Kyiv...Uzuri intelligensia ya Ukraine ulitabiri hili tangu last week kwamba Urusi itavurumisha Makombora Kiev baada ya kujiondoa Kherson.
Vip huko front line mmeongeza sentimeter ngapi..,au ni kichapo as usual [emoji23][emoji23]Mmetosha au bado. Tuendelee tusiendelee. Show imebamba, haijambamba
In the sky over the Cherkasy region[emoji95][emoji599]
View attachment 2417700
Moto tunapeleke tukiona mnaleta vilio sisi tunaona rahaaa 🤣 🤣 🤣Wewe dada naona tatizo lako bado tu ..., Sisi kazi yetu ni kuwapa kipondo front line [emoji2]..,nyie jipozeni maumivu kwa kulipua miundombinu miwili mitatu [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tanzania tumeshindwa hata safirisha watu hadi Moro, walio vitani wanawezaLife goes onView attachment 2417698