President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Kama kawaida yenu warusi wa kibaigwa.., naona mnaendelea na Tabia yenu ya kushangilia baluti.., habari za front line hamtaki kuzisikia Tena [emoji23][emoji23][emoji23]Sisi show show, maneno ya kwenye kanga nenda kawatishie akina Khadja Kopa [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
[emoji599][emoji599][emoji599]Arrival in Rivne in Western Ukraine[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️
Wewe na Khadija Koppa mna undugu? 🤣 🤣 🤣 🤣Kama kawaida yenu warusi wa kibaigwa.., naona mnaendelea na Tabia yenu ya kushangilia baluti.., habari za front line hamtaki kuzisikia Tena [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Watu wako busy kukomboa ardhi Yao..,huku wengine wakishangilia baluti, ajabu sana [emoji848]Slava Ukraine
[emoji298]️Ukraine liberates Makiivka village in Luhansk Oblast.
The regional military administration reported that the settlement, located not far from Lyman, Donetsk Oblast, is now under Ukrainian control.
Makiivka is 160 kilometers west of Russian-occupied Luhansk.
Uliponiquote mwanzo nikajua unajielewa lakin kwa Mara hii ya pili ndio nimejua wew ni mpumbavu Sasa hapa umeandik niny!Hahaaaaa punguza hasira kama umeshindwa ni kumjibu kwa hoja zako za kweli. Au pita kimyakimya kama wanavofanya wenzako.View attachment 2417607
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Unashanga kusikika milipuko Ukraine wakati nchi Iko vitani? Una akili kweli? Au ulitaka usikie milio ya vigelevigele...,kwa hiyo Leo ndo siku ya kwanza hizo baluti kusikika huko Ukraine [emoji12][emoji12][emoji2]Wewe na Khadija Koppa mna undugu? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Twende na mada.....
[emoji599][emoji95][emoji845]All major Ukrainian cities hit, infrastructure destroyed, lights and water missing - Ukrainian social media and social networks.[emoji95]
Najua unakazi ngumu kumuelewesha huyo jamaa kwahio (pole)Hahaha. We jamaa bana.
Kwa nini usifiche upumbavu wako lakini?? Mpaka u-expose humu huo upumbavu wako kila mmoja akujue ulivyo mpumbavu??Uliponiquote mwanzo nikajua unajielewa lakin kwa Mara hii ya pili ndio nimejua wew ni mpumbavu Sasa hapa umeandik niny! Ukiambatanisha na Hilo li picha, wew ni ndama kweli maana hata jina lako Lina akisi akili yako jinsi ilivyofinyu, kwa kuzania wew na wajinga wenzenu ety mna hoja.
hivi mkuu ile mifumo ya ulinzi ya kimagharibi anayo kuwa inasifiwa T14 Almata kuwa bora na kuiponda ile ya Urusi ina kwama wapi?Kuna mtu anatoa hasira za Kherson
Nimekuelewa boss.Najua unakazi ngumu kumuelewesha huyo jamaa kwahio (pole)
Ila kwakua unampa mambo ambayo ndio uhalisia kwahio (hongera)
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakua imesinzia tungojee iamke kwanza MKUU [emoji16][emoji16][emoji16]hivi mkuu ile mifumo ya ulinzi ya kimagharibi anayo kuwa inasifiwa T14 Almata kuwa bora na kuiponda ile ya Urusi ina kwama wapi?
Ungeanza kuhoji kwanza Ile ya urusi inakwama wapi .., mpaka inashindwa na viloket vidogo vya HIMARS [emoji848][emoji848]hivi mkuu ile mifumo ya ulinzi ya kimagharibi anayo kuwa inasifiwa T14 Almata kuwa bora na kuiponda ile ya Urusi ina kwama wapi?
Kelele za referendum sizisikii Tena siku hizi..,watu wanaendelea kurudisha tu ardhi Yao,Wala hawana habari [emoji23][emoji23][emoji23]Slava Ukraine
[emoji298]️Ukraine liberates Makiivka village in Luhansk Oblast.
The regional military administration reported that the settlement, located not far from Lyman, Donetsk Oblast, is now under Ukrainian control.
Makiivka is 160 kilometers west of Russian-occupied Luhansk.
Anachofanya Putin ni kuficha aibu ya kipigo.., hakuna lingine.., rais zelensiky alishasema wazi kwamba wapo tayari kuishi bila maji safi au umeme, lakini hawako tayari kuendelea kusikia nyimbo za wavamizi zikiendelea kuimbwa kwenye mipaka yake,Wasipomuomba PUTIN msamaha basi hii Nchi itabaki maghofu.
Mi uwa siamini kabisa hii mifumo ya kutunguwa makombola.Ukraine wamepelekewa kila aina ya mifumo mipya ya kutungua makombola ila cha kushangaza bado adui anawapiga kwa juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]