Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298]️ Official: Ukraine downs 70 Russian missiles.

Ukraine’s air defense downed 70 of the over 90 missiles launched by Russia at Ukraine, Deputy Head of the President’s Office Kyrylo Tymoshenko reported. He said Russian strikes across Ukraine damaged 15 energy infrastructure sites.

Earlier, Ukraine's Air Force reported that Russia fired around 100 missiles at Ukraine on Nov. 15, the largest mass attack on Ukraine's energy infrastructure since the start of the war.
 
Ngoja tusubiri.
[emoji23][emoji16][emoji23][emoji16]
Tayar pentagon washakimbia huku RUSSIA sio ZIMBABWE

[emoji298]️Pentagon says it cannot confirm reports of two Russian missiles falling in Poland.

Sorry, no Armageddon today.

Join Slavyangrad chat. Your opinion matters.

@Slavyangrad
Join SLG [emoji832] Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Turkey alitungua ndege ya Russia na Russia hakuifanya kitu zaidi ya hotuba ndefu tu.

 
Ila nyie warusi wa humu bhana[emoji3]

Sasa unataka pentagon a confirm kabla hata ya wenye nchi husika hawaja confirm.

Ndio mambo makubwa huwa yana fanywa hivyo eti!
 
Ngoja tusubiri majibu kutoka NATO maana mlikuwa mnatuambia kuwa siku akimgusa mwana chama basi Urusi atachakaa ngoja tusubiri tuone Putin anavyo ikimbia Moscow.
Russia inajua inachokifanya na inajua sana kucheza na nyakati (hata hapo Ukraine wakati si mrefu dunia nzima itawahurumia raia wa Ukraine)

Turudi Poland: Naweza sema hayo mabomu hayajafika Poland kwa bahati mbaya bali kuna karata hapo imechezeshwa na Urusi dhidi ya NATO.

Na russia anaijua vizuri weakness ya bara la Ulaya ipo kwenye msimu wa baridi na yeye ndo kama AC ya bara la ulaya. Hivo basi anatambua wazi kabisa hakuna taifa la ulaya litakolo kubali kupigana vita dhidi ya Russia katika kipindi hicho cha baridi kisa nchi nyingine imeshambuliwa na missiles mbili za Russia (Huu ni mtego kwa umoja wa kijeshi wa NATO) baada ya Mwanachama wao mmoja kushambuliwa.

Na nina uhakika kuwa hizo missiles hazitajibiwa kijeshi, tegemea tu kuona vikao vya kulialia dhidi ya ubabe wa Urusi na kuiwekea vikwazo vya kijifariji..

Kiufupi: French, German, Uk, Turkey na Italy ambazo ni vichwa vya NATO kwa upande wa ulaya haziwezi kuingiza majeshi yake kupigana dhidi ya Russia moja kwa moja kisa Poland karushiwa mabomu mawili na Russia.

NATO NIKWAJILI YA NCHI DHAIFU KAMA LIBYA NASIYO KWA TAIFA IMARA KAMA RUSSIA.
 
NATO NIKWAJILI YA NCHI DHAIFU KAMA LIBYA NASIYO KWA TAIFA IMARA KAMA RUSSIA.


Nakazia MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba hawana alternative? Unahisi ni nchi za Africa hizo!
 
Wewe nae nani kalia hapa? Nimesema tena yeye alipue lipue tu ovyo ovyo wala sio kitu kipya.Lakini akae akijua vijana wa Zelesky wanasonga mbele kule uwanja wa vita halisi.Huku kurusha vikombora kusiko na matokeo chanya ya kile anachokitaka hakuna maana yoyote.
NB; Unataka wareport kambi ya jeshi kulipuliwa wakati hakuna tukio kama hilo.Waambie RT wareport pia si ni kazi yao kama kweli
 
Mandongaaa kwenye uboraaa
8:39 pm
Official: Ukraine’s air defense downs 70 Russian missiles.
Ukraine’s air defense downed 70 of the over 90 missiles launched by Russia at Ukraine, Deputy Head of the President’s Office Kyrylo Tymoshenko reported. Tymoshenko said Russian strikes across Ukraine damaged 15 energy infrastructure sites. Earlier, Ukraine's Air Force reported that Russia fired around 100 missiles at Ukraine on Nov. 15, the largest mass attack on Ukraine's energy infrastructure since the start of the war.
 
Leo tens wanajeshi wa Ukraine walitaka kuvuka upande wa pili wa jiji LA Kherson wamezamishwa wote usikuu huu urusi imeiteka pensula ya Kherson ambayo juzi walijiondoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya leta sasa na link,bila ya hivyo hizi ni porojo tu kama kawaida yako
 
Sababu RUSSIA supa pawa wamchongo ila NATO sio supa pawa wamchongo

Tunategemea atiko fulani kutumika dhidi ya RUSSIA

Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani article 5 hua inatumika tumika tu kirahisi rahisi?!

Kwanza NATO sio Supapawa, Supapawa ni mmoja tu nae ni United States of America [emoji1258][emoji1258][emoji1258]
 
Mwana chama wenu amesha pigwa huko tuna subiri majibu ya nato.
Ndo utajua kuwa NATO ni mbwa koko mbele ya Urusi.
 
Toa sababu za kuitaka NATO

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Maelezo Yako yote kiufupi unakubali kuwa Russia na NATO wanaogopana!
Huu ni ushindi Kwa taifa Moja kuhofiwa na mataifa 30+ combined!
Mwenye mikwara nani. Russia alidai atakayetoa misaada Ukraine anapigwa, Marekani inatangaza kabla haijatoa misaada. Na nchi zote hata ndogo zinatangaza. Finland na Sweden zimepeleka maombi kujiunga na NATO kwa kudharau mikwara mbuzi kutoka kwa Urusi.

NATO haiiogopi Urusi, Marekani haina muda kubishana na GDP level za California. Hao kina Germany, France wako busy na uchumi mambo ya kuringia gesi ni ya kina Nigeria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…