kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Kama ni uamuzi wa wananchi wa maeneo hayo mbona imekuwa hivi Tena?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni uamuzi wa wananchi wa maeneo hayo!
Watu huwa wananishambulia sana na hii statement.Kwa mawazo Yako,mtu kuwa na akili zaidi basi kipimo chake ni kuwa Rais😃😃😃!Umeniangusha sana Kwa mawazo mfu kama hayo!
Ili uweze kuwa Rais wa Taifa lolote Duniani,mojawapo ni utatakiwa uwe na utimamu wa akili. Ni wewe na mawazo yako mfu na ujuaji wa hapa JF tu ndiyo utamuona hana akili kwakuwa upeo wako ndiyo umefikia hapo.Kumbuka Zelesky ni Rais wa taifa lenye nguvu mara 100 kuliko Taifa lako katika nyanja zote na wewe hata kwa Taifa lako hujawahi kuwa hata balozi wa nyumba 10 [emoji1][emoji1].Kwa mawazo Yako,mtu kuwa na akili zaidi basi kipimo chake ni kuwa Rais[emoji2][emoji2][emoji2]!Umeniangusha sana Kwa mawazo mfu kama hayo!
Lakini jibu ni alishidwa vita acha kujifariji.Kwa hiyo marekani ya Vietnam unaifananisha na Nyie vilaza.Miaka kumi US kapigana Vietnam hajapoteza personel weng kama mandonga aliopoteza kwa miez 8.
Hata siku moja usilinganishe US ya miaka ile na ya sasa.mmepigwa mkubali mmepigwa siyo kuleta visingizio na kuanza kufanya hesabu za mlinganyo
Vip kuhusu Talban ?Kwa hiyo marekani ya Vietnam unaifananisha na Nyie vilaza.Miaka kumi US kapigana Vietnam hajapoteza personel weng kama mandonga aliopoteza kwa miez 8.
Hata siku moja usilinganishe US ya miaka ile na ya sasa.mmepigwa mkubali mmepigwa siyo kuleta visingizio na kuanza kufanya hesabu za mlinganyo
Aisee,mpaka tukupe mifano ya marais wendawazimu?Watu huwa wananishambulia sana na hii statement.
" Huwezi kuta ng'ombe akichunga kundi la masai"
Siku zote hata katila level ya familia, ukiruhusu kuongozwa na mamlaka isiyo na akili ujue ww huna akili zaidi.
You can say that again [emoji122][emoji122]Watu huwa wananishambulia sana na hii statement.
" Huwezi kuta ng'ombe akichunga kundi la masai"
Siku zote hata katila level ya familia, ukiruhusu kuongozwa na mamlaka isiyo na akili ujue ww huna akili zaidi.
Asiye na akili akitwaa mamlaka hata kwa bahati mbaya dhidi ya wenye akili, hawezi kudumu kwenye hiyo nafasi, wenye akili watamuondoa tu.
Mbona Putin mnasema hana akili?Ili uweze kuwa Rais wa Taifa lolote Duniani,mojawapo ni utatakiwa uwe na utimamu wa akili. Ni wewe na mawazo yako mfu na ujuaji wa hapa JF tu ndiyo utamuona hana akili kwakuwa upeo wako ndiyo umefikia hapo.Kumbuka Zelesky ni Rais wa taifa lenye nguvu mara 100 kuliko Taifa lako katika nyanja zote na wewe hata kwa Taifa lako hujawahi kuwa hata balozi wa nyumba 10 [emoji1][emoji1].
Tunasema hakutumia akili kuanzisha hii vita.Ni vitu viwili tofauti kabisaMbona Putin mnasema hana akili?
Mkuu Bome...Aisee,mpaka tukupe mifano ya marais wendawazimu?
Halafu hapo nilikuwa nazungumzia uwezo wa kiakili!Sasa Inamaana Zelensky ana akili kuliko wa Ukraine wote?
Niliyemjibu amesuggest kwamba Zelensky ametuzidi akili ndio maana ni Rais!Kuwa Rais ndio kigezo Cha kuwa na akili kuliko wengine?
Basi na zere naye hakutumia akili ili kuzuia vita isitokee.Tunasema hakutumia akili kuanzisha hii vita.Ni vitu viwili tofauti kabisa
Mbona Putin mnasema hana akili?
nyePutin stayed in Tanzania where he was training freedom fighters for more than five years, precisely in the period between 1973 and 1977. Though the period is yet to be confirmed as others claim it was in the 80s An old photo to that effect was unveiled a few years ago by a Zimbabwean News Outlet.
Did Russian President, Vladimir Putin, Really Live and Work in Tanzania?
View attachment 2418276View attachment 2418279View attachment 2418279
tanzaniatimes.net/when-vladimir-putin-lived-in-tanzania/
[emoji23][emoji16][emoji23]Ndio ujue pentagon Wana akili kuliko huyo mwehu unayemsifia humu anayerusha hovyo makombola.
Huwezi tu kuipiga nchi kisa vikombola viwili vilivyorushwa mpakani probably ni kwa bahati mbaya.
Apige seriously na dimage kubwa itokee uone atakavyoshughulikiwa kikamilifu
Ndio maana nikasema,kuwa Rais Haina maana una akili kuliko wananchi wengine wote!Nikaongeze pia Kuna viongozi wendawazimu wameshawahi kuaminiwa na wananchi wao kuongoza!Mkuu Bome...
With exceptions Kuwa kiongozi wa kundi fulani ni kigezo cha kuaminiwa uwezo wako wa kuliongoza hilo kundi. Sasa, uwezo wa kuongoza kundi unapimwa na nn?
(Ceteris paribus)
Hata super pawer wa mchongo ameshakanusha kwamba sio yeye aliyerusha hayo makombora,kwa hiyo kazi iendelee [emoji57][emoji57]Kulingana na taarifa zilizotolewa na marekani ni kwamba kombora limerushwa na Ukraine kimakosa kwahyo kazi inaendelea.
Mkuu hii historia ina ukakasi kidogo jaribu kufatiliaPutin stayed in Tanzania where he was training freedom fighters for more than five years, precisely in the period between 1973 and 1977. Though the period is yet to be confirmed as others claim it was in the 80s An old photo to that effect was unveiled a few years ago by a Zimbabwean News Outlet.
Did Russian President, Vladimir Putin, Really Live and Work in Tanzania?
View attachment 2418276View attachment 2418279View attachment 2418279
tanzaniatimes.net/when-vladimir-putin-lived-in-tanzania/
Na mfano mzuri wa viongozi wendawa zimu ni hao wanaopiga makombora hovyo kwenye makazi ya watu,Ndio maana nikasema,kuwa Rais Haina maana una akili kuliko wananchi wengine wote!Nikaongeze pia Kuna viongozi wendawazimu wameshawahi kuaminiwa na wananchi wao kuongoza!