Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,996
- 11,887
Huwa najisemea mwamba angekuwepo mafuta tungenunua Urusi sasa hivi beini gekuwa 1200kuna watu wana mashaka juu ya sisi Watanzania kuwa upande wa "mwenzetu" PUTIN........
Tunawaomba waondoe mashaka hayo kwa muda.....! Tutaota moto na yule tuliyekusanya naye kuni
Kama wewe ni mfuatiliaji kweli this is not the first time for General Milley to come with such a comment or rather analysis....Tarehe 16 ni siku nying acha mahaba
Alichoongea uongo nini hapo .
Wewe ndiye mjuzi tuambie mmefanikiwa nini ?
Wajiunge kama wanawezaMrusi so far kashashika adabu kwamba next time hatavamia taifa lingine kichwa kichwa !! na sasa ataingia kwenye mazungumzo ya amani bila masharti yoyote mezani kitu ambacho ni ushindi kwa Ukraine.
Hakuna wa kumzuia Ukraine kujiunga na NATO, hata kama itachukua miaka lakini kama wao wanataka Putin ni nani ?
Why should he given option.Zele alipewa options na Putin, aseme hatojiunga Nato au akaubali vita. So he chose war. Alijua NATO watampa uwanachama Kwa kuwa anapigana na adui Yao .shenzi zake kaishia majivu na madeniii
Tena madeni yasiyo lipika.Zele alipewa options na Putin, aseme hatojiunga Nato au akaubali vita. So he chose war. Alijua NATO watampa uwanachama Kwa kuwa anapigana na adui Yao .shenzi zake kaishia majivu na madeniii
Hata kuandika tu shida.. rubbishmi sina shida ya maji kk
🇺🇲🇺🇦 There are angry comments in the Western press about Zelensky's denial that the rocket that fell in Poland was Ukrainian.🤣🤣 Zele huko amekazana kombora ni la Russia....Lakini sponsors wake wamekazana kombora siyo la Russia...interesting...
Haikuwa miscalculation walipiga wakijua ujerumani imetumia ubalozi wake kama centre ya magaidi wa Ukraine [emoji1255]. Na hawakufanya kituMiscalculation kwenye vita ni kitu ambacho hakiepukiki,hata Marekani ilishawahi kupiga Bomu ubalozi wa china kwa bahati mbaya wakati wa Vita kule Yugoslavia na kuua waandishi wa habari watatu, hakuna kilichotokea.
Vita sio km mieleka kwamba Mtu amekuchokoza tu bhas tayari usharusha ngumi
Lakini Russia na yeye ameruka kimanga kuwa siyo yeye aliyepiga hilo kombora au hukuona?[emoji1787][emoji1787] Zele huko amekazana kombora ni la Russia....Lakini sponsors wake wamekazana kombora siyo la Russia...interesting...
Yani unamdharau real General wakati wewe hata hujawahi kuvaa gwanda la mgambo? [emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha majenerali wa West bwana...duh...Kwanza habari yenyewe ni ya siku nyingi...halafu, Kama Russia has lost then why the worry? Huyu sawa na yule mchambuzi Clarke wa BBC ambaye huwekewa ramani ya front na kuanza kuchonga kiuchambuzi...stupid generals..
Hapa tu nyinyi wabobezi na nguli wa haya maswala ndiyo huwa mnatuchosha sisi tusiojua kitu.Badala ya kutuelimisha tuelewe unaishia kutuzodoa.Hivi kwani nyinyi 'Wabobezi' mlizaliwa mnajua kila kitu au na nyinyi mlifundishwa pia? Hao waliokufundisheni wangekuwa wanakuleteeni madharau kama mnayotuletea sisi tusiojua kitu mngekuwa na huo uelewa kweli[emoji848][emoji848]Ni wazi wewe ni mchanga mno katika kujenga hoja, kuelewa issues, kuelewa how the international system functiion and how actors in international relations behave...You don't know anything...wewe baki kuandika: kukaza shingo, superpower wa mchongo, fashisti Putin ...huwezi kuendelea zaidi ya hapo...huna analytical capacity..
Toka vita hii ianze we umeongea fact , Sio Wengine Wanaonyesha Ushabiki1.Zelensky aliamini angewahi kujiunga NATO wangemtetea kwa kuanzisha 'Article 5' . Russia alilitambua hilo na kumvamia haraka kabla hajasajiliwa ili akwepe show na NATO
2. NATO walipogundua Russia kawawahi na anajipigia tu Kiev kama koloni lake. Nao kama nchi mojamoja wanashindwa kwenda Ukraine kupiga SHOW ya kumtoa Russia zaidi wanampa Zele Anti Missiles azugezuge tu sababu wameshabugi na wao ndo walimponza.
3. NATO anajaribu kumpunguza nguvu Russia kwa vikwazo na subbotages kadhaa ikiwemo Nord Streams 1 na 2. Russia anafight back na kudhibiti exports za nishati na vyakula huku akizidi kuibomoa Ukraine na miundombinu muhimu ya Nishati na NATO wakitazama tu huku Recession ikipanda kwa kasi ulimwenguni.
4. Zele kawaita nato waweke 'No Fly Zone' wamegoma hata Kiranja wa Dunia (US) aligoma sababu hawataki Show Show na Russia. Russia katishia kushambulia mchi itakayomsaidia Ukraine, Mataifa ya Eu yanaisaidia Ukraine kwa kivuli cha NATO wakitegemea Article 5 . Israel hayupo kwenye Article 5 kagoma kuisaidia Ukraine sababu hataki Show show na Russia .
5. Zelensky akaomba Makombora ya Masafa marefu ili ashambulie Moscow na maeneo mengine ndani ya Russia, NATO wamegoma na kiranja mkuu KAGIMA.
Hatimaye Zele kaamua kurusha 'Surface to Air Missile' huko Poland kuwachonganisha. Russia amekana haraka na NATO wamekanusha haraka pia ikiwemo KIRANJA Mkuu (US) . Poland mwenyewe amekanusha haraka kuwa inaweza kuwa siyo Russia.
6. Nyongeza:
Taiwan haipo Nato na hailindwi na Article 5 ya Nato. Kwa somo la Ukraine haitajitangazia uhuru (Never) , Na China haitaivamia Taiwan bila sababu za maingi. Maisha yataendelea kama yalivyo Taiwan itaendelea kuwepo bila kutambulika kama Taifa.
Somo la wazi tukitoa unazi.
Article 5 haimsaidii mNATO yeyote atakayeanza kushambulia taifa lingine bila resolution ya Nato. So hakuna taifa litaanzisha noma na Russia kisa ukraine, Russia hatoanzisha Noma na Nato wala US individually.
Wanaheshimiana, wanaogopana, wanaogopa madhara. Mvamizi anaogopa Retaliation strength sababu anayevamiwa anajua ukubwa na hatari ya nguvu ya anayemvamia. Matumizi ya Nuclear yanaweza kuhusika mmojawapo akianza kujihami.
It will never Happen vita kati ya NATO na Russia , Kati ya US na China wala US na Russia kisa tu Ukraine na Taiwan...
Zelensky ajitathmini.
Bora leo umekubali hujui haya mambo.Hapa tu nyinyi wabobezi na nguli wa haya maswala ndiyo huwa mnatuchosha sisi tusiojua kitu.Badala ya kutuelimisha tuelewe unaishia kutuzodoa.Hivi kwani nyinyi 'Wabobezi' mlizaliwa mnajua kila kitu au na nyinyi mlifundishwa pia? Hao waliokufundisheni wangekuwa wanakuleteeni madharau kama mnayotuletea sisi tusiojua kitu mngekuwa na huo uelewa kweli[emoji848][emoji848]
Ndiyo shida ya kurukia yasiyo kuhusu.Ngoma si yako yanini kuivalia kibwaya🥱🥱Bora leo umekubali hujui haya mambo.