Habari zako huwa naziamini mkuu maana kwenye ukweli huwa unasema hata Ukraine akichapwaKuna mlipuko umetokea St Petersburg, bomba la gesi limelipuka....
Twende mbele turudi nyuma, vijana wa ukraine wanatembeza kipigo si Cha dunia hii [emoji123][emoji1255]Vikosi vya Ukraine vya ardhini vyadondosha bomu kwa kutumia Drone sehemu walipojificha wanajeshi wa Urusi [emoji848]
......
Huyo utachoka kumwelewesha,Hujui mgogoro ulianzaje, Ukraine walikuwa wanataka kuanza mchakato gani???
Hujui... Au unaleta pumba zako, kabla ya uvamizi Russia alionya mara ngapi mchakato huo..
Kama una hoja leta hoja jibu kwa hoja na kuwa mkweli
Nikuletee video uone huyo mwanajeshi aliyeharibu kupiga risasi mwanajeshi wa Ukraine wakashambuliwa wote kenge hapo kwanza kutembea na mateka kazi kubwa February mliua wanajeshi wetu sana zamu yenu kenge nyieUnajua kusoma?hao wanazi wameua wanajeshi waliosalimu amri watalipia hiyo damu.
Ivi Marekani siku hizi haipo?[emoji106]View attachment 2420387
Ivi Marekani siku hizi haipo?
Maana mara ya mwisho Meli kadhaa na Aircraft carrier za Marekani zilikua zinaenda kuipiga NOKO kwa kites makombora yake,mara ghafla ule msafara ukageuza mwelekeo na kupelekea Indonesia na baadae kusababisha ajali na meli za kiraia.
Wakati Donald Trump alishatuhakikishia kua safari hii NOKO itapigwa na kumwita Kim kiduku Mr rocket,Huku akisema "all options are on the table".
Sasa hivi Rocket man anajirushia TU makombora yake Huku wakiwa madirishani wakimchungulia TU.
Ama kweli zama za USA zimeshafika mwisho
Sasa ilikuaje akapeleka msafara wa 65km bila support ya Airforce?!Mkuu kazi ya Airforce ni kumaliza uwezo wa adui kuweza ku-supply it's ground forces na kufanya mawasiliano,and that is what Russia is doing.Baadae sasa ndio ground forces zinaingia.Subiri mkuu,Russia is on schedule.
80% ya waUkraine hawasapoti negotiations na Russia wanasapoti majeshi Yao kuendelea na operation ya kumuondoa mvamizi Kwa gharama yoyote ikiwemo kukosa maji na Umeme. Kama unadhani kuna siku Ukraine wataenda kupiga magoti kwa Putin, utasubiri mpaka kiama.Njia pekee ni kumuomba msamaha PUTIN tu, wala hakuna kingine cha ziada
Propaganda haisaii kitu. Kuna sehemu tunapigwa.Habari zako huwa naziamini mkuu maana kwenye ukweli huwa unasema hata Ukraine akichapwa
Hivi wale Chenchen wako wapi?! Maana tuliaminishwa ndo kiboko ya Azov yaani wanatoa kipigo cha mbwa Koko [emoji23][emoji23][emoji23]Kwa wasiowajua Azov tazama hii video wako mtaani wanasaka kenge wa kirusi balaa
Hii video ni faida kubwa sana kwa urusi [emoji1787]kwanza imewapa sababu ya kufanya unyama zaidi ,pia imesaidia askari wa urusi kuto kujisalimisha tena hasa wale wasio taka kupigana maana wanajua watauliwa hata wakijisalimisha.Unajua kusoma?hao wanazi wameua wanajeshi waliosalimu amri watalipia hiyo damu.