Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Kaongea kwa uchungu wakati Russia ndo alitaka wasitishe mapigano kwa muda Ukraine wamekata wamesema wataendelea kupigana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Zelensk naona ameongea kwa uchungu sana kuhusu kuambiwa kukaa mezani na Warusi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee, kama Zelensky is in his right mind he should surrender.Anatesa tu Wa-Ukraine,eventually Ukraine will disappear on the World map,ma-cocaine yanamharibu akili.Mdogo mdogo tu tunaelekea huko
View attachment 2422276
⚡️🚨🔥🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺Deputy Chairman of the Security Council of the Russian Federation Dmitry Medvedev, in response to Ukrainian claims to Crimea, said that Kiev is a Russian city.
"I want to remind you of the hard facts:
1. Kyiv is the capital of ancient Rus'.
2. Kyiv is a big little Russian city within the Russian Empire.
3. Kyiv is the republican capital of the USSR.
⚡️And finally, Kiev is just a Russian city where people have always thought and spoken Russian.
⚡️To make everything very clear what and how to give back…”, said Medveded🔥
Biden;If russia will stop fighting there is no war,and if ukraine will stop fighting there will be no ukraine anymore.Wewe ndiye una akili siyo nenda kampe ushauri huo uliojaa mahaba na uchungu wa kupigwaAisee, kama Zelensky is in his right mind he should surrender.Anatesa tu Wa-Ukraine,eventually Ukraine will disappear on the World map,ma-cocaine yanamharibu akili.
Ndio mwisho wako wa kufikiri umegota hapoHii Vita hata zele mwenyewe anajua hawezi toboa sema tu inamaslahi kwake ndo maana anaendelea nayo,misaada ya kipesa anayopewa amegeuza kama kitega uchumi chake hivyo hawezi sema basi hadi wanaomsaidia wastuke waachane naye hapo ndipo itakua mwisho wa mchezo,
Anayetakiwa ku surrender ni anayerudishwa nyuma kila siku kyiv alifumuliwa akakimbia izyum kapigwa kakimbia Kharkiv alipigwa kakimbia na juzi ni Kherson kapigwa kakimbia hapo ndio utajua nani vita inamuelemea toka mwezi june Himars zilipoletwa hajasigea hata mita moja KENGE kabisaAisee, kama Zelensky is in his right mind he should surrender.Anatesa tu Wa-Ukraine,eventually Ukraine will disappear on the World map,ma-cocaine yanamharibu akili.
ACHA URONGO.sabab huna akil unahis hii ni mara ya kwanza Urusi kuivamia Ukraine , 1940 Urusi alivamia na kuua wengi sana Ukraine
1939 RUSSIA ALIVAMIA POLANDACHA URONGO.
RUSSIA ALIVAMIA ROMANIA 1940 ikamtia Hitler wasiwasi , Hitler akavamia Poland ili amsogelee Russia na kumvamia kwa ghafla.
Kilichomkuta Mjerumani sote tunaju!!
ACHA UWONGO
Wewe acha Uongo Tatizo hamjui hata Dunia ikoje mnakurupuka tu kishabiki..Mwananchi gani alimuua Gadafi??? Yaani unafiki unashindwa hata kusema ukweli...Gadafi aliuliwa na NATO..Hakuna mwananchi wa Libya aliepanga kumuua yule Mzee...Punguza uongo wa kinafiki.Mkuu tafadhali utumie mantiki kidogo.
1. anwani ya Bwa Zelenski inajulikana, kama wakuu wa nchi nyingi ana handaki katika ikulu yake hahitaji mapango tena hajifichi.
2. Urusi haikumkamata Bw Gaddafi . Aliuawa na wananchi wake wenye hasira alipojaribu kukimbia.
Naona hata tukilenga kuwachokoza wale walio na mawazo tofauti tusiachane na mantiki.
Vipi kijana wetu Mirungi ipo poa!? Umeacha!?Ndio mwisho wako wa kufikiri umegota hapo
Hivi What do you expect??? Aseme?? Wakati Jeshi lao ndio liko pale na vifaa ni vyao...Top US general: Russia has lost strategically, operationally and tactically
From CNN's Michael Conte
Chairman of the Joint Chiefs of Staff General Mark Milley speaks at a press conference at the Pentagon in Washington, DC, on November 16. (Mandel Ngan/AFP/Getty Image)
Joint Chiefs of Staff Chairman Gen. Mark Milley says Russia has failed "every single" objective in its war against Ukraine.
“Russians have failed every single time. They’ve lost strategically, they’ve lost operationally and, I repeat, they lost tactically. What they’ve tried to do, they failed at,” Milley said Wednesday at a press conference with Defense Secretary Lloyd Austin after a meeting of the Ukraine Defense Contact Group. “The strategic reframing of their objectives, of their illegal invasion, have all failed, every single one of them.”
Milley listed Russia’s failure to “overrun all of Ukraine” at the start of the war as well as after their refocus on the Donbas region and the capture of Zaporizhzhia and Kherson.
“Across the entire frontline trace of some 900 or so kilometers, the Ukrainians have achieved success after success after success, and the Russians have failed every single time,” said Milley.
Msikilize Jay DeeBiden;If russia will stop fighting there is no war,and if ukraine will stop fighting there will be no ukraine anymore.Wewe ndiye una akili siyo nenda kampe ushauri huo uliojaa mahaba na uchungu wa kupigwa
Tunaomba source tujisomeePutin alisema bila russia kuwepo huko hii michuano haitachezwa ndo nasubiri hapa atafanya nn sasa super power wa mchongo.
Kwani mabomu ya kazi gani? Ndio kazi yake hiyo piga sana hao mashoga then mnapita kuclear. Wanakufa kama nzige mashoga huko [emoji1255]Sisi Team Urusi tutaua nae kwa maslahi mapana ya Hii Dunia ..Kinachoitwa Ukraaine Army wala Hakipo pale kuna US and Nato All together Army.....Sasa Amepambana nao miezi hii ni kazi ngumu..Ila kama Tulivyokua tuhamuamini angeonyesha shaw off moja ya hatari kwa kupiga sana Kikatiri hasa zile siku za Mwanzo au kuwaua sana wale askari wa Nato walioingia hapo kwa wingi sana...Angewaua katika mipaka au ndege zinazowaleta....
Huo ni udhaifu mkubwa..Nini kitatokea nadhani hili ni swali gumu ila tunaona Mrusi sasa hana mbinu zaidi ya kupiga mabomu tuu basi...Plan zote zimemuishia..Atakubali kuomgea akiwa mnyonge sana...Kuna hatari hata Huyu Putin wakamtoa na juzi angeenda Kile Kikao alikua apigwe sumu pale Airpot...Ndio mana akastuka hata Lavrov hakutumia magari ya Indonesia alitumia gari lake lilipelekwa maalumu....
Hivyo tunaumia na kusikitika kwamba Putin alidhani hawa wauaji watashindwa kuungana Mana ni mashetani watupu hawa EU na marekani sio watu ni bora shetani....
Zimepitwa na wakatiMajeshi ya Ukraine yawatembezea kichapo wavamizi wa Urusi kabla ya kuikimbia Kherson [emoji848]
....
Kisago Russia alichokimbia Kherson nacho kimepitwa na wakati.ProRussia wa Buza,Warusi wa mchongo, mbona mnashida sana?🤔Zimepitwa na wakati
Tactical withdrawal sio kurudi nyuma Vunjo,akili hivi zimewatoka kabisa?Backers wa Zelensky wamemuambia a-negotiate,kwa kuwa hawaoni uwezekano wa kushinda Vita,ninyi ambao wala hamhusiki kwa lolote,mnadai anashinda Vita,hivi mpo sawa kweli?Nahisi ni yale yale ya Zelensky,mna matatizo ya Afya ya Akili!Anayetakiwa ku surrender ni anayerudishwa nyuma kila siku kyiv alifumuliwa akakimbia izyum kapigwa kakimbia Kharkiv alipigwa kakimbia na juzi ni Kherson kapigwa kakimbia hapo ndio utajua nani vita inamuelemea toka mwezi june Himars zilipoletwa hajasigea hata mita moja KENGE kabisa