LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Si unaona hapo wameandika web site yao(MANAZ NET)

Kama iyo uikubali basi nakupa hii ya wikipediaView attachment 2142378
Kumbe akili unazo sasa hayo macho yako mawili makubwa kiasi cha kutosha je huoni tofauti ya izo map mbili hij ya pili ndo ya ukweli na ndo iko kwenye vyombo karibia vyote vya habari iyo nyingine ni ya Wafussia wameibumba ili waonekane wameadvance kumbe hamna kitu

Sasa siku nyingine fanya kwanza uchunguzi kabla ya kupost vitu vya ajabu kama ivi

Mwisho je huoni kuwa jeshi lenu liko pale pale mlipokuwa tangia siku ya mwanzo wa vita yaani ni kama vile mmekwama kwenye magope hakuna advancing yoyote ya maan mlioifanya mpaka sasa zaidi ya kuambaa ambaa apo mipakani mnayopakana na Urusi
 
Umeongea pointi kubwa sana mzee.
 
Aiseee,Russia kimewatokea nn?aibu naona .mie
Mkuu kwenye vita lazima watu wafe, hata Urusi mwenyewe Kakiri kuwa karibia wanajeshi wake 500 wamefariki na ni kitu ambacho kilitarajiwa, ila hakutangaza kabisa ameua wanajeshi wangapi wa Ukrane.

Sema habari nyingi zinazotoka Ukrane mfano hizi za maafa zinatolewa na vyombo vya magharibi ambavyo ant Rusia.

Kikitokea chombo au kurasa ambacho kinarusha maafa ya Wanajeshi wa Ukrane kinafungiwa moja kwa moja.

Kingine wanajeshi wa Urusi hawaruhusiwi kipiga picha na kuzirusha kwa sababu za kiusalama na kupunguza propaganda za kimagharibi..

US na NATO wapo kwenye propaganda kuidanganya Dunia ila Urusi yupo kazini anajua anachokifanya.

Jiulize kwa nini picha za miili ya raia wao hazirushwi japo inatangaza wamekufa maelfu.

Binafsi naamini wanajeshi wa Ukrane wanakufa kwa mamia ila huwezi kuona picha zao, sababu wanaotuletea habari wanachagua za kutilisha kwa maslahi yao.
 
Ni ngumu kwa sababu kiev inashikiliwa na Neo Nazi wenyewe wanawaita Ultra Nationalist, kundi kama Azov
Hivyo mtu yoyote amabye ana mawazo mbadala anauwawa
 
The first photo from the third round of negotiations between the Russian and Ukrainian delegations.

View attachment 2142281
Warusi wote wazee wenye mawazo ya kizamani ya kutumia mabavu ,upande wa Ukraine ni vijana wa kisasa ,wako kikazi zaidi hakuna cha masuti kama ya hao Wazee.Hapa sitegemei la maana sana kwakuwa Wazee siku zote wako rigid. Frustration msiwe mnaleta hivi vikongwe kwa mazungumzo,vitaturudisha kwa mawazo ya 60"s huko.
 
Mkuu una nondooo hadi raha daah.Tungekua na watanzania wenye vichwa kama vyako wengiii
 
Maadaui wapo ndani ya Taifa lao, halafu unauliza na kusema Ukraine ndio mshindi?
 
Hata Ukraine si Taifa Moja ila ni muunganiko kati ya watu wenyewe asili ya Urusi, Ukraine, Wageorgia, wapoland, Waromania.

Hasa ugonvi uliopo ni kati ya wamashariki wenyewe asili ya Urusi na watu wenye msimamo mkali juu ya utaifa wao wa Ukraine.

Kumbuka hata mariupol ilikuwa pro Russia kabla ya kupigwa miaka mitano nyuma
 
Fanya research ndo urudi apa tujadili la sivyo nikuache uendelee kulishwa taarifa hewa na Rt
Research hiyo haifanyie wapi?
BBC, CNN, DW au REUTERS [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
 
Haya ni maneno ya kwenye kanga ila ukija uwanjani warusi wanasonga mbele, wala hakuna hata dalili ya kurudi nyuma.muda sio mrefu tutatangaza umiliki wa kinu cha 3.na kufanya tuwe tuna miliki 75% ya umeme wa ukraine.
Hamkomi tu haya majigambo yenu? Tukija kuwakumbusheni baada ya week moja mtatokwa na povu maana huwa hampendi kukumbushwa mliyoyasema huko nyuma.
 
Lawama zote anazibeba Putin kwa hili la sasa,kasababisha wananchi wake hata hawatumii tena mitandao ya kijamii,wako gizani wamerudi kuishi maishaa ya 60's huko wakisubiria kulishwa propaganda za RT peke yake
Watatumia WeChat na other alternative
 
Malengo ya Russia yametimia sana ila ya kwako ndio hayajatimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…