ankai
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 3,282
- 4,251
Kumbe akili unazo sasa hayo macho yako mawili makubwa kiasi cha kutosha je huoni tofauti ya izo map mbili hij ya pili ndo ya ukweli na ndo iko kwenye vyombo karibia vyote vya habari iyo nyingine ni ya Wafussia wameibumba ili waonekane wameadvance kumbe hamna kituSi unaona hapo wameandika web site yao(MANAZ NET)
Kama iyo uikubali basi nakupa hii ya wikipediaView attachment 2142378
Sasa siku nyingine fanya kwanza uchunguzi kabla ya kupost vitu vya ajabu kama ivi
Mwisho je huoni kuwa jeshi lenu liko pale pale mlipokuwa tangia siku ya mwanzo wa vita yaani ni kama vile mmekwama kwenye magope hakuna advancing yoyote ya maan mlioifanya mpaka sasa zaidi ya kuambaa ambaa apo mipakani mnayopakana na Urusi