Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ndiyo tunawaambia kwamba Putin hana maana, Taifa kubwa kama Urusi haliwezi kutumia njia za kichenzi kama hizo - huo ni uhalifu wa kivita dhidi ya binadamu, ni suala la muda tu atafika sehemu anapostahili.
Hilo jina FUSO nani alikupatia? Maana jina huendana na tabia ya mtu. FUSO kazi yake ni kubeba mbolea, Mchanga, Maparachichi nk.
 
Na wamechukua 20% ya Ukraine nchi IPI superpower hapa duniani inaweza kufanya hivyo?huku anapigana na NATO pia Kwa sababu NATO wanatoa hela,vifaa na wataalamu pamoja na wanajeshi.mkimbiwa Russia sio level yenu muwe mnaelewa.
MKUU MIMI NINAVYOJUA NI KUWA RUSSIA WALISEMA WANAFANYA OPERATION YA KUKOMBOA MAJIMBO NA SIO KUMPINDUA KUNPINDUA RAIS
 
But I have not even mentioned RT or Sputnik!Anyway zipo media za kuamini,lakini sio the Sun, Mockingbird Media ya CIA,for God's sake no.
 
Sawa! Lakini vipi kuhusu Pantsir air defense na BUK systems?!

Maana hiyo mifumo ya long range kama S300 & S400 hua haifanyi Peke yake inakua integrated na medium na short range systems ili kuunda kitu kinaitwa Intergrated Air Defense System (IADS).
 
Unategemea ammo depot's za Ukraine zikilipuliwa Ukraine atakuonesha hizo habari?
Mmeishia kulishwa propaganda tu!
Hiyo ni kazi ya Russia sio Ukraine,si kila siku hua anatoa updates za kuua wanajeshi 1000 wa Ukraine?! Si mlikua mnazileta humu?! Lakini sasa vipi hatoi tena takwimu!!!, sababu alichobaki nacho ni kufanya uhalifu wa kivita Kwa kulipua miundombinu ya nishati awatese Raia ili waigeuke serikali Yao,asichokijua ni kwamba Raia wa Ukraine ndio wanazidi kuisapoti serikali Yao na kuongeza chuki dhidi ya Russia.
 
Mzee Russia ina defense systems maalum Kwa ajili ya low flying vehicles kama helicopters,ndege,nk inaitwa BUK. Ndio maana tunashangaa imekuaje ilishindwa kutungua hizo helicopters.
Sio kila low flying vehicle inatunguliwa na MANPADS,Kwanza Manpads zina Range ndogo mno inataka mwanajeshi awe karibu na target huwezi fananisha na system kama Buk ambayo inapiga mpaka 20km au zaidi.

Embu pitia hapa uongeze elimu kidogo

The Buk (beech) air defense missile system was developed to replace the previous Kub. Its industrial designation is 9K37. Its reporting name in the West is SA-11 or Gadfly. Development of this system commenced in 1972. It was a successor to the Kub-M3. It entered service with the Soviet Army in 1980. The Buk has been exported to a number of countries. After collapse of the Soviet Union a number of air defense systems were passed on to successor states. Currently Russia operates around 350 of these systems. Other operators are Azerbaijan, Belarus, Cyprus, Egypt, Finland, Georgia, India, North Korea, Ukraine, Syria, Vietnam and Venezuela.

This air defense system can defeat maneuvering aircraft and helicopters flying at low or high altitude when enemy uses electronic countermeasures. Newer versions of the Buk can also engage ballistic missiles, cruise missiles, anti-radiation missiles, smart bombs and unmanned aerial vehicles.

Buk Air Defense Missile System | Military-Today.com
 
Ambacho hawajui ni kuwa wanawaweka wenzao watakaokamatwa na Russia hatarini!
Wajeda wa Russia wakiona haya,halafu wakatia Nguvuni wa Ukraine basi sijui watawafanya Nini?
Hii execution halafu unachukua video,halafu Bado uko front line,damn stupid!
Kwani warusi wameanza kuwachinja Ukraine Leo?!
Si tangu mwanzo wa Vita walikua wakiwakamata POW bila kusahau Raia wanawafunga mikono nyuma na kuwapiga risasi kisha kuwafukia kaburi moja. Hata report ya Umoja wa mataifa imethibisha hilo. Tena me naona Ukraine wanawapetipeti Sana hao POW wa Russia ilitakiwa wawachinje hadharani kulipia kile ambacho walikifanya kule Bucha na ambacho wanendelea kukifanya hivi sasa dhidi ya Raia wa Ukraine.
 
Pale hawajapeleka everything. top tier defence ziko nyumbani zikilinda nchi zao. Wanachopeleka si 100%
Kwanza anatakiwa ajue NASAMS zimepelekwa mbili tu na IRIS iko moja,sasa defense systems tatu ndo zizuie Makombora Mia?! Mbona Russia ana mamia ya hiyo mifumo lakini inashindwa kudaka Makombora inashia kulipuliwa
 
Siku hizi hawana nyimbo tena,wamebakiza kuokoteza vijihabari uchwara na kutuletea hapa.Ukiwauliza kule frontline kunaendeleaje hakuna hata anaejibu.
Russia wamechimba mifereji kujilinda dhidi ya Ukraine. Yaani Russia wamekuwa"Defensive" badala ya "Offensive ",Tofauti na walivyokuwa wanajitapa toka mwanzo.Kushambulia miundombinu, ya kijamii;ni ugaidi kama wanavyafanya vikundi vya kigaidi;Hamas,Hezbollah,Islamic Jihad,Alqaida,Islamic State,Bokoharamu na magaidi wengine. SASA HIVI Russia imetajwa kama terrorist state🤔
 
Dikteta alizoea kuchukua majimbo kihulaini katika nchi nyingine, lakini safari hii naona hayo majimbo yamekuwa ya moto kwelikweli..,yaani yanaunguza balaa [emoji91][emoji91][emoji91]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Alidhani Ukraine ni Georgia ambayo aliipiga Kwa siku kumi tu na kuchukua baadhi ya sehemu na kuweka wanajeshi wake. Sasa hivi kakutana na kisiki cha mpingo Zelenksy aka comedian,Babu Jasusi siku hizi hatusikii tena zile kauli zake za kutisha tisha baada ya kuona watu hawatishiki wanamuona tu roporopo kama mlevi wa gongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…