Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Nimeingia kwenye hilo group aiseeee kunatishaaaa. Acheni warusi wakimbie hiyo mobilization ya bwana Putin.kuna group telegram linaitwa horror of war.
tuache masihara nyie warusi wanakufa jaman acha.
tuache tofauti zetu tuwaombee askar wa kirusi. yani ni wanakufa acha.
hivi jana nmeskia wanataka kufanya mobilizations nyingine.
kaaah!!! wanakufa jaman kama mbwa.
acha kushabikia vita na tuwaombee warusi wasife sana jaman.
nmeshindwa kuendelea na ile channel nmeleft in peace.
kama mbwa?
au nitupia picha zao nini. ?
ili mpate uchungu wa kuomba kama binadamu binafsi nimeguswa.
mkiona russia inatarget raia muwe mnaelewa.
hawana jinsi wanapitia maumiv makubwa sana ya kisaikolojia juu ya askar wao. walio kuwa mbolea.
kama bkhmut ndio paua kichwa kabisaaa.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] pray for russians.
wanakufa wanakuja wengine wanakufa wanakuja wengine na wengine na wengine.
PUTIN stop killing your soldier
Watu wanaamini urusi hawezi kupokea kichapo.., kila akirudi nyuma wanasema mtego [emoji23]Kherson Russia aliondoka kwa kutaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
For weeks, Ukrainian forces have been advancing on Kherson — the only Ukrainian regional capital that Russia managed to take over since its invasion in February.
Hii ndio sababu kuu iliyowafanya wakimbie Kherson[emoji116]waliogopa kufa kama kuku hizo nyingine ni hadithi tu za kufurahisha genge.
Russian defense chiefs said Wednesday they were pulling back their troops to the east bank of the Dnipro River, to save the lives of soldiers and civilians.
Halafu baadae Kazakhstan ikivamiwa Putin akiwaambia ilikua inatishia usalama wa Russia mtayabeba kama yaliyo mtatuletea humu.Nikwambie kitu mkuu, nisikilize kwa umakini: kama Putin angehamua kutumia mbinu za kivita za Wamerikani ie "shock and awe"miji ya Ukraine na critical infrastructures zote zingekuwa bombed back to stone age ERA, na Senselessky angekimbilia uhamishoni US ilishayalishia helicopter ya kumuhamisha/torosha kwenda uhamishoni - mwanzo Putin alitumia ustaarabu sana hakutana kuiharibu Ukraine na hasa kuwapa shida/taabu raia wa Ukraine kumbuka Ukraine na Urusi ni kama ndugu wanagombamishwa tu naataifa ya magharibi yenye agenda zao za siriza kuitumia Ukraine kwa lengo la kuihujumu Urusi kiuchumi na kuidhoofisha kijeshi - hilo ndilo lengo lao kuu, hawajali cha Ukraine wala raia wake.
Tukija kwenye kutambua kimataifa majimbo ya kusini mashariki mwa Ukraine,je,umewahi kupitia hata siku moja kwenye makubaliano 12 ya Minsk2 yanayo husu Urusi na Ukraine ukaona yalikuwa yanagusia vitu gani muhimu kuhusu malidhiano ambayo yalisomamiwa na Angela Merkel na Rais wa Ufaransa - who can blame Putin kwa kuchukua hatua za haraka ku-pre empty njama zilizo kuwa zinasukwa na NATO/US kuhusu Urusi kwa kupitia jeshi la Ukraine na baadhi ya troops za NATO/US walio valia uniform za jeshi la Ukraine ili wasitambulike kirahisi - bottom line, is: Sio kwamba Putin alihamka asubui moja na kuhamua kuivamia Ukraine hiyo si kweli - alitaka kuondoa tishio lilokuwa dhahili dhidi ya Taifa lake,je,,wewe ungefanya nini - NATO/US walikuwa wanapuuzia Russian security concerns za Taifa lake licha ya Putin kuwakumbusha NATO/US mara kwa mara, walikuwa wanamcheka tu na kuzidi kuvimbisha kichwa Senselessky - kumbe mlitaka Putin afanye nini?? Mambo ya Putin kupitisha referamdum kwenye majimbo ya kusini mashariki hapo alitaka kutumia ustaarabu angeweza kabisa kuyachukua bila ya kujali NATO/US wanasema nini, Ukraine kuwndelea kurusha makombora wala hayatamsaidia chochote cha umujimu mi kwamba majimbo hayo hayatarudi tena Ukraine wanao amini tofauti wanajisumbua makimbo hayo yataendelea kuwa sehemu ya Urusi west watake wasitake - ukweli ndio huo.
Mani kawambia Putin kashindwa KHERSON wakati asili mia 70% bado hipo chini ya jeshi la Urusi - hata mtu ambaye hajui mbinu za kijeshi hawezi kushindwa kugundua kinacho endelea mjini KHERSON sikilizeni kauli za wateule wa Senselessky mjini KHERSON wanasema nini, mbona wote wanaonekana ni woga na hawaji amini Urusi inapanga nini kuhusu hatima ya mjini huo kiujumla hata Jenerali wao niliwahi kumsikia akitilia shaka uondokaji ghafla wa jeshi la Urusi mashariki mwa mji wa KHERSON -sasa sisi watu baki ndio tujifanye we know better than five star Generals!!
Nimalizie kwa kusema kwamba aslimia kubwa ya precision missiles zinazo rushwa kwenda kupiga designated targets inside Ukraine zinarushwa na Russian black sea fleet, unaposema kwamba fleet hizo ni mapambio sijui una maana gani mkuu, mwenye macho aliona jinsi meli hizo zinavyo tumika kikamilifu kutekeleza majukumu taka husitake ukweli ndio huo, zimesaidia sana kuharibu zaidi ya asilimia 40+ ya vyanzo na usambazaji wa umeme nchini Ukraine na tukiongrzea mashabulizi ya jana na leo sina shaka asili mia 50% za vyanzo vya umeme na usambazaji zinakuwa zimeharibiwa raia zaidi ya millioni 14 hawana umeme nisijue usamazaji wa maji huko hali gani hali ni tete sana we sema jamaa wanajikaza kisabuni tu-lakini kama Senselessky angekubaliana na masharti ya Minsk2 bila ya kuwasikiliza akina Biden na Boris Johnson walio mpoteza wala Ukraine hisingefikia hatua hii mbaya ya vita, vita ingesitishwa mwezi wa nne mwaka jana.
Imeandikwa katika kitabu cha mithalikuna group telegram linaitwa horror of war.
tuache masihara nyie warusi wanakufa jaman acha.
tuache tofauti zetu tuwaombee askar wa kirusi. yani ni wanakufa acha.
hivi jana nmeskia wanataka kufanya mobilizations nyingine.
kaaah!!! wanakufa jaman kama mbwa.
acha kushabikia vita na tuwaombee warusi wasife sana jaman.
nmeshindwa kuendelea na ile channel nmeleft in peace.
kama mbwa?
au nitupia picha zao nini. ?
ili mpate uchungu wa kuomba kama binadamu binafsi nimeguswa.
mkiona russia inatarget raia muwe mnaelewa.
hawana jinsi wanapitia maumiv makubwa sana ya kisaikolojia juu ya askar wao. walio kuwa mbolea.
kama bkhmut ndio paua kichwa kabisaaa.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] pray for russians.
wanakufa wanakuja wengine wanakufa wanakuja wengine na wengine na wengine.
PUTIN stop killing your soldier
Kwahiyo unambishia mpaka kamanda wenu mpya[emoji16]Kaka kwani wewe huwa unaangalia wapi habari,Urusi aliondoka mwenyewe na sio kwamba Ukraine alikomboa
Siyo kuwa wilaya, ni kwamba urusi kulingana na memorandum of understanding kati ya NATO na Russia, Ukraine ilitakiwa kuwa neutral. Hakuna cha NATO wala Russia pale Ukraine, lakini America na mbwa Koko wa EU especially UK, walitaka kumuzunguka Russia, Ukraine wajiunge na NATO, na toka 2014 kuna maandalizi yalikuwa yanaendelea pale Ukraine ya kijeshi na siraha nzito nzito za kuvamia Russia, huo ulikuw mpango wa USA, na mabepari w USA kutaka rasilimali za Russia, KGB waliliona hilo ndo maana wakaita special operation kuwanyang'anya silaha wanajeshi wa Ukraine, USA alikuwa ameshaweka silaha za kutosha. Na isingekuwa hivyo dunia ingegeuka majivu maana Russia ansingekubali kushindwa hata kama NATO wangeleta vifaa vyao vyote. Nuclear ingetumika, China, Russia, Iran, against NATO dunia ingeenda mrama.Daaah kweli ujerumani masnich walitaka nchi ya wenzao ikawe wilaya mpya ndani ya urusi. Bora wamekaza Ukraine
Sababu Ukraine mashoga wamefika Moscowkuna group telegram linaitwa horror of war.
tuache masihara nyie warusi wanakufa jaman acha.
tuache tofauti zetu tuwaombee askar wa kirusi. yani ni wanakufa acha.
hivi jana nmeskia wanataka kufanya mobilizations nyingine.
kaaah!!! wanakufa jaman kama mbwa.
acha kushabikia vita na tuwaombee warusi wasife sana jaman.
nmeshindwa kuendelea na ile channel nmeleft in peace.
kama mbwa?
au nitupia picha zao nini. ?
ili mpate uchungu wa kuomba kama binadamu binafsi nimeguswa.
mkiona russia inatarget raia muwe mnaelewa.
hawana jinsi wanapitia maumiv makubwa sana ya kisaikolojia juu ya askar wao. walio kuwa mbolea.
kama bkhmut ndio paua kichwa kabisaaa.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] pray for russians.
wanakufa wanakuja wengine wanakufa wanakuja wengine na wengine na wengine.
PUTIN stop killing your soldier
Urusi kaivamia Ukraine 1940 kipind NATO haipo dunian , pia Kaja Kuivamia Ukraine mwaka 2014 na kumega Crimea kipind Ukraine hana mpango wa kujiunga na NATO , kisa ni wananchi kuandaman kumtoa yule kibaraka wa Urusi aliyekuwa rais wa Ukraine , alipotolewa kwa nguvu ya Raia toka hapo Urusi alianza ifanyia vituko Ukraine , Mpk 2015 Ukraine ndo wakaanza kufikiria kujiunga na NATO , kipindi chote hiki Urusi alipandikiza waasi kweny majimbo ya mashariki ya Ukraine , alipoingia Zele 2019 , Zele aliwapelekea moto hao waasi wakaanza kusalimu amri , Urusi akaamua ajitokeze hadharan baada ya kuona vita ya waasi ashashindwa , Feb 2022 akaivamia kiev akidai anayalinda majimbo yanayotaka kujitenga ila kama upo timamu hujiulize alifiata nini Kiev kama mission ni kulinda majimbo yanayotaka kujitenga ? au kiev ilitaka kujitenga ? , HAYA MENGINE MNALISHANA MATANGO PORI KUSAPOTI UGAIDI WA URUSI , URUSI ASHAVAMIA NCHI NYING JIRANI YAKE , KIUFUP URUSI ANAWAONA MAJIRAN ZAKE KAMA MAKOLON YAKE NA ANATAKA HADI UONGOZ WA NCHI JIRAN YAKE UWE UNAPANGWA MOSCOW , KITU AMBACHO MAJIRAN HAWATAKI KUSIKIA MF GEORGIA WALIZIPIGA na URUSI 2008 KISA UJINGA KAMA HUU WA URUSI KUTOHESHIMU MAJIRAN ZAKESiyo kuwa wilaya, ni kwamba urusi kulingana na memorandum of understanding kati ya NATO na Russia, Ukraine ilitakiwa kuwa neutral. Hakuna cha NATO wala Russia pale Ukraine, lakini America na mbwa Koko wa EU especially UK, walitaka kumuzunguka Russia, Ukraine wajiunge na NATO, na toka 2014 kuna maandalizi yalikuwa yanaendelea pale Ukraine ya kijeshi na siraha nzito nzito za kuvamia Russia, huo ulikuw mpango wa USA, na mabepari w USA kutaka rasilimali za Russia, KGB waliliona hilo ndo maana wakaita special operation kuwanyang'anya silaha wanajeshi wa Ukraine, USA alikuwa ameshaweka silaha za kutosha. Na isingekuwa hivyo dunia ingegeuka majivu maana Russia ansingekubali kushindwa hata kama NATO wangeleta vifaa vyao vyote. Nuclear ingetumika, China, Russia, Iran, against NATO dunia ingeenda mrama.
Hahahaha kazi kaziHimars hazijali kama kuna giza au hakuna zinapiga mzigo tu[emoji848]
.......
Electricity or no electricity, HIMARS are busy at work.
We are on Twitter: https://twitter.com/InUAOfficial
https://www.facebook.com/
Hapo shoga analazimishwa kuingia Kwa mtu RussiaSasa ni Rasmi, Umoja wa ulaya EU waitambua Urusi kama nchi inayofadhili ugaidi duniani.
Brussels, Belgium – The European Parliament has declared Russia as a “state sponsor of terrorism”, saying Russian atrocities against Ukrainians and the destruction of civilian infrastructure violate international and humanitarian laws.
The Parliament’s move on Wednesday was welcomed by Ukrainian officials, who have been pushing the European Union and NATO countries to label Russia a terrorist state.
“Russia is a terrorist state: confirmed by the European Parliament. Russia has a history of acts of terror against sovereign states, support for terrorist regimes and organisations including Wagner, war of terror on Ukraine,” Ukraine’s foreign minister Dmytro Kuleba tweeted as he thanked the European Parliament for its “clear stance” towards Russia.
Nasika mashoga wanakugawiaga hela kila kukicha, sasa ukishazi-swallow ukashiba ukaenda toilet fresh unarudi mitandaoni kuwakandia.. 😛Hapo shoga analazimishwa kuingia Kwa mtu Russia
Aisee.. Hao wanajeshi wanauawa kinyama..kuna group telegram linaitwa horror of war.
tuache masihara nyie warusi wanakufa jaman acha.
tuache tofauti zetu tuwaombee askar wa kirusi. yani ni wanakufa acha.
hivi jana nmeskia wanataka kufanya mobilizations nyingine.
kaaah!!! wanakufa jaman kama mbwa.
acha kushabikia vita na tuwaombee warusi wasife sana jaman.
nmeshindwa kuendelea na ile channel nmeleft in peace.
kama mbwa?
au nitupia picha zao nini. ?
ili mpate uchungu wa kuomba kama binadamu binafsi nimeguswa.
mkiona russia inatarget raia muwe mnaelewa.
hawana jinsi wanapitia maumiv makubwa sana ya kisaikolojia juu ya askar wao. walio kuwa mbolea.
kama bkhmut ndio paua kichwa kabisaaa.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
pray for russians.
wanakufa wanakuja wengine wanakufa wanakuja wengine na wengine na wengine.
PUTIN stop killing your soldier
Wacha wachakazwe tu,kuna group telegram linaitwa horror of war.

Umoja wa ulaya ndio Nan?Hapo shoga analazimishwa kuingia Kwa mtu Russia