Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ila ww unaejua umekosa hoja ya kuipinga hoja ya asiyejua!!!! AJABU!
Hakuna ulazima wa Mimi kuipinga kwa hoja kauli au comment ya mtu wa Aina hiyo...mtu anaamini kuwa Russia inabondwa bondwa wakati kwa zaidi ya miezi 8 misaada ya Kila Aina kutoka nchi 30 imeshindwa mpaka Sasa kuiokoa Ukraine...yaani Ukraine inateketezwa na karibu inafutwa eti mtu na akili yake anasema Russia inapigwa..
 

Misaada ya kila Aina ya vijisilaha vichache?! Embu nenda kaangalie misaada ambayo anapewa Ukraine,hata long range missiles hana silaha Kali aliyonayo ni Himars ambayo sio silaha nzito wala sio long range ukilinganisha na maelfu ya Makombora ambayo Russia inayo na ambayo inayatumia dhidi ya Ukraine.

Howitzer alizopewa hazifiki hata mia mbili,nenda kaangalie idadi ya artilleries alizonazo Russia lakini hiyo haijasaidia bwana mkubwa anabondwa mpaka akakimbia Kherson aliyosema ni sehemu yake halali,kwahiyo bwana mkubwa tuseme kakimbia na kuacha sehemu ya nchi yake.

Ukraine haitofutwa kamwe itaendelea kubaki hapo ilipo milele na milele,kama haikufutwa Japan ambayo ilipigwa nyuklia na Leo ni nchi ya tatu ambayo ina Uchumi mkubwa duniani ije kufutwa Ukraine kwa Makombora ya Mrusi???!
 
Off topic mzee


kule unakotoa povu si unasomeka mbona
 
Putin ongoza kwa mfano na wewe peleka mtoto wako vitani, acha kuwapeleka wa wenzako tu wakafe.

Russia's President Vladimir Putin attends a meeting with mothers of Russian servicemen participating in Russia-Ukraine conflict, ahead of Mother's Day at the Novo-Ogaryovo state residence [Sputnik/Alexander Shcherbak/Pool via Reuters]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…