na hiyo tabia ya Urusi kurusha makombora kweny makaz ya watu ndo magaid wa bongo ndo wanaita kuwapigania Waukraine dhidi ya NATO , hii nchi ina vichaaZaidi ya watu 10 wa Kherson Oblast wamekufa baada ya makombora kudondoka kwenye mji uliotajwa kukombolewa na Ukraine wiki 2 zilizopita.
Urusi iliwataka watu wote waondoke upande wa kulia wa mto Dnipro na hatimae na majeshi yake yakaondoka upande huo ambapo majeshi ya Ukraine yaliingia kwa furaha na kutangaza kuukomboa mji huo.
Dalili za kukosekana kwa usalama mjini humo zilianza mapema wiki hii wakati Serikali ya Ukraine nayo ilipowataka wananchi waliobaki waondoke na kwamba iko tayari kuwalipia gharama zote za kuhama,
Mashambulizi ya Kherson yamekuja siku 3 tu tangu mvua nyengine ya makombora yalipopiga miji yote mikubwa ya Ukraine na kusababisha umeme na maji kukatika katika maeneo hayo.
Mashambulizi hayo vile vile yamekuja siku chache tu tangu waiengereza waliposema Urusi imebakiwa na makombora yanayotosha kupiga Ukraine kwa mfululizo yasiyozidi siku tatu.
Katika hatua nyengine Rais wa Ukraine amesema Urusi hawajui kupigana. Wanachojua ni kupiga watoto na kulipua vinu vya umeme na maji.
kujifariji ni jambo jema. Shikilia hapohapo mkuuHaifanyi kazi lakini imewatembezea kichapo majeshi ya fashisti Putin mpaka wamekimbia kama mbwa mwizi huko
Kyiv
Khakivu
Izium
Kheson city
Lyman
Kupyansk
Snake island
Miezi 4 Sasa majeshi ya super pawer yanapigana kuchukua kamji kadoogo tu ka bakhumut.., lakini wamegonga mwamba,wanaishia kuchinjwa kama kuku [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Minsk agreement ilivunjwa pale Russia alipochukua Crimea kimabavu
Kwa tabia za warusi hata angekuwa jiran yako ungepigana nae tu either direct au indirect , warusi wanatabia kama za watu wa kaskazin ya donar country yaan hawawez ish vzr na majiranUingereza wanamaslahi gani kwenyehiivita. Naona wakobize hasa makachero wake kulikohata US. Au anabifu na warusi.
ananyanyaswa kwa kuzuiliwa kuendelea kufanya mauaji Ukraine ?Kimsingi sii wamarekani,wala ulaya,achilia mbali yule mwigizaji,hadi sasa hawajui wafanyeje juu ya huyu mwamba asiyependa manyanyaso,uonevu na ubabe wa wanaojiita wenye nguvu 🥱
Ukraine anajilinda dhidi ya uporaji wa ardhi unaofanywa na Urusi wala Ukraine hapigani na Urusi , ingekuwa hivyo wangekuwa washarusha makombora mengi tu ndani ya Urusi , HAWASHINDWI ILA WAO HAWANA UGOMV NA RAIA WA URUSI BALI WANAPIGANA NA MAJESHI YA URUSI YALIYO NDANI YA UKRAINEVita hadi leo hii ipo Ukraine.ingekuwa kama unavyosema basi vita ingekuwa mpakani
unasema hajui wkt ww huonesh unachojua , bongo vichaa weng na hawajijuiAcha kujifanya mjuaji
Hujui chochote kuhusu vita
vichaa hao , wamekomalia hujui lolote hlf wao hawaonesh wanalojuaMbona mna hasira sana vip...au ndio ile takwimu ya Afya
Silaha za Marekani ni ghali na zinahitaji ezoefu na gharama kubwa kuziendesha...wakati za Mrusi hata zikiliwa na kutu unapaka mafuta ya nazi zinapiga kazi kama kawaida.
dah ushabiki unawatia uchiz , ukraine kwa Urusi ni kanchi kdgUkraine sio nchi ndogo tafadhali ukraine haipishani sana ukubwa na TANZANIA tukotoa Morogoro na dodoma nafikiri itakuwa sana kabisa na ukraine, Bara la Ulaya nchi kubwa kuliko zote ni Urusi na inayofuatia ni UKRAINE ,,,,, UKRAINE ni powerful imejiandaa vizuri sana kijeshi amepata support kubwa from NATO
PREAMBLE:UKISOMA TAARIFA IFUATAYO, YOU SEE CLEARLY THE LEVEL OF STUPIDITY OF EUROPEAN LEADERS,IT IS LAUGHABLE.YOU WONDER,DIDN'T THE EU REALY KNOW THE INTENTIONS OF THE US IN THIS CONFLICT,BECAUSE IT WAS CLEAR RIGHT FROM THE ONSET OF THE WAR THAT AMERICAS'GOAL WAS TO DESTROY EUROPES' ECONOMY AND RELATIONSHIP WITH MOSCOW ESPECIALLY GERMANY SO THAT IT CAN REPLACE MOSCOW IN EUROPEAN TRADE.IT IS FUNNY THAT THE EU HAS FALLEN INTO THE TRAP OF THE US.UNBELIEVABLY STUPID.
OFCOURSE THE SALE OF WEAPONRY WAS ALSO ANOTHER IMPORTANT REASON WHY THE US INITIATED THIS WAR.ALL IN ALL,THE UKRAINE-RUSSIA CONFLICT IS AN ECONOMIC AND STRUGGLE FOR POWER CONFLICT.
EU believes US is profiting from Ukraine conflict – Politico
America is cashing in on the fighting while the bloc is left out in the cold, senior officials have reportedly said
A general view of the European Parliament building, in Strasbourg, eastern France, on May 9, 2022. [emoji2398] Ludovic MARIN / AFP / POOL
Senior EU officials are angry at the administration of US President Joe Biden, arguing that Washington is capitalizing on the Ukraine conflict and the bloc’s economic problems, Politico reported on Thursday, citing sources.
One senior official who was interviewed by the outlet said that the US is profiting from the conflict the most because “they are selling more gas and at higher prices, and because they are selling more weapons.”
The growing transatlantic rift is based on several factors. The Western sanctions imposed on Moscow over its military campaign in Ukraine have caused major disruptions in gas deliveries from Russia to Europe, and the EU now relies on American gas, which comes at a price four times higher than it costs in the US.
French President Emmanuel Macron described this practice as “not friendly.” However, a Politico source indicated that when confronted by EU leaders at the G20 summit over the problem, Biden “simply seemed unaware.”
READ MORE
Germany and Poland at loggerheads over Ukraine – media
Another thorny issue is the US Inflation Reduction Act, an incentive scheme which offers huge subsidies and tax breaks to green businesses. Brussels is worried that it may potentially be ruinous for the bloc’s economy, as it could give American electric vehicle manufacturers an advantage over their EU counterparts in the lucrative US market.
“We are really at a historic juncture,” one EU official told Politico, arguing that these disagreements may undermine Western efforts to support Ukraine and the transatlantic alliance itself. “America needs to realize that public opinion is shifting in many EU countries,” he added.
Europeans are also reportedly growing irritated about the money flowing to the US defense industry due to the campaign to support Ukraine with weapons. According to one senior official, it may take the EU years to replenish its supply of weapons, which has fueled fears that the US will profit from the conflict even more.
The report comes after Russian Foreign Ministry spokeswoman Maria Zakharova claimed last week that by trying to isolate Moscow over the Ukraine conflict, the EU only “imposes costs on EU countries and their citizens, who are forced to pay out of their own pockets for the strategic blunders of their politicians.”
Hivi kama wewe hupendi kusoma basi watu wote hawapenzi kusoma mkuu,si kweli.Watu wengine wanapenda knowledge sana.Fipisha habari hii kwa maneno 250
la sivyo hakuna atakae isoma
Kipindi Cha coldwar pole kama ulikua hujuiHaha hahaaa. Mink ilisainiwa lini???
wewe chai kumbe
Jifunze kwanza kuandika ndo lugha gani hiiTafiti kwanini Russia ilichukua crimea.takawasitake lazima Misk agreement nyingine inakuja.
Upo sahihi Mkuu watu wana hasira utadhani wamekula pili pili ya Tanga sehemu ya kuelezana tuu..vichaa hao , wamekomalia hujui lolote hlf wao hawaonesh wanalojua
Unataka nikufokoe mtaro wa maji machafu?unasema hajui wkt ww huonesh unachojua , bongo vichaa weng na hawajijui
Thibitisha kwamba huyo super pawer wenu hakutembezewa kichapo na kukimbia hayo maeneo.., vinginevyo unajicholesha tu,kujifariji ni jambo jema. Shikilia hapohapo mkuu
🤣🤣Haifanyi kazi lakini imewatembezea kichapo majeshi ya fashisti Putin mpaka wamekimbia kama mbwa mwizi huko
Kyiv
Khakivu
Izium
Kheson city
Lyman
Kupyansk
Snake island
Miezi 4 Sasa majeshi ya super pawer yanapigana kuchukua kamji kadoogo tu ka bakhumut.., lakini wamegonga mwamba,wanaishia kuchinjwa kama kuku [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Merkel explains why she wasn’t surprised by Russia’s offensive in Ukraine — RT World News https://www.rt.com/news/567189-merkel-ukraine-russia-conflict-surprise/Urusi kaivamia Ukraine 1940 kipind NATO haipo dunian , pia Kaja Kuivamia Ukraine mwaka 2014 na kumega Crimea kipind Ukraine hana mpango wa kujiunga na NATO , kisa ni wananchi kuandaman kumtoa yule kibaraka wa Urusi aliyekuwa rais wa Ukraine , alipotolewa kwa nguvu ya Raia toka hapo Urusi alianza ifanyia vituko Ukraine , Mpk 2015 Ukraine ndo wakaanza kufikiria kujiunga na NATO , kipindi chote hiki Urusi alipandikiza waasi kweny majimbo ya mashariki ya Ukraine , alipoingia Zele 2019 , Zele aliwapelekea moto hao waasi wakaanza kusalimu amri , Urusi akaamua ajitokeze hadharan baada ya kuona vita ya waasi ashashindwa , Feb 2022 akaivamia kiev akidai anayalinda majimbo yanayotaka kujitenga ila kama upo timamu hujiulize alifiata nini Kiev kama mission ni kulinda majimbo yanayotaka kujitenga ? au kiev ilitaka kujitenga ? , HAYA MENGINE MNALISHANA MATANGO PORI KUSAPOTI UGAIDI WA URUSI , URUSI ASHAVAMIA NCHI NYING JIRANI YAKE , KIUFUP URUSI ANAWAONA MAJIRAN ZAKE KAMA MAKOLON YAKE NA ANATAKA HADI UONGOZ WA NCHI JIRAN YAKE UWE UNAPANGWA MOSCOW , KITU AMBACHO MAJIRAN HAWATAKI KUSIKIA MF GEORGIA WALIZIPIGA na URUSI 2008 KISA UJINGA KAMA HUU WA URUSI KUTOHESHIMU MAJIRAN ZAKE