Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298] ISW: The overall pace of operations in Ukraine is likely to increase in the upcoming weeks as the ground freezes.
 
[emoji298] Germany is ready to support the embargo from January 1 and replace Russian oil through the Druzhba [Friendship] pipeline — Welt.

[emoji117] Follow @Flash_news_ua
 
Washirika wakuu pekee ndio wana uwezo kiasi wa kuendelea kuipa silaha Kyiv, ripoti inabainisha

Akiba ya silaha za nchi za Magharibi zimekuwa na shida baada ya kutumwa kwa silaha nyingi kwenda Ukraine, na hivyo kufanya kuwa vigumu kwa majeshi ya NATO kuendelea kusikiliza ahadi za wanasiasa kuendelea kusaidia Kyiv kwa chochote inachohitaji hata kama itachukua muda mrefu , New York Times iliripoti Jumamosi.

"Nchi ndogo zimemaliza uwezo wao," na kulingana na afisa mmoja wa NATO, angalau wanachama 20 kati ya 30 wa muungano huo "wamefika ukomo," gazeti hilo liliandika. Ni “washirika wakubwa zaidi,” ikiwemo Ufaransa, Ujerumani, Italia, na Uholanzi, walio na akiba ya kutosha kuendelea au kuwa na uwezekano wa kuongeza usafirishaji wao wa silaha hadi Ukraini.

Tangu kuanza kwa operesheni ya kijeshi ya Urusi nchini Ukraine mwishoni mwa mwezi Februari, Marekani na washirika wake wa Magharibi wamekuwa wakiipatia Kyiv msaada wa mabilioni ya dola katika usalama, hadi kufikia karibu dola bilioni 40, ambayo sasa ni sawa na bajeti yote ya ulinzi ya kila mwaka ya Ufaransa. Moscow imeonya mara kwa mara kwamba shehena za silaha hizo zitaongeza tu mzozo huo na kuongeza hatari ya mzozo wa moja kwa moja kati ya Urusi na NATO.

Huku Ukraine ikiendelea kutoa wito wa kutaka silaha zaidi, hifadhi za Umoja wa Ulaya zinaendelea kupungua, huku Ujerumani tayari "ikifikia kikomo chake" kuanzia mwanzoni mwa Septemba. Wakati huo huo, Lithuania, ambayo haina silaha zaidi ya kuchangia, imewahimiza washirika kutoa Ukraine "kila kitu tulicho nacho."
 

Theluthi moja ya mizinga iliyopelekwa Ukraine imeharibuka na haifanyi kazi. Imepelekwa Poland kwa repair. na bado haijarud kwenye opereshen

Au kiswahili kigumu
 

Vipi kuhusu misaada ya marekani?..
Siyo karata yake ya kutuweka utumwani?..

Kwani US hajaikamata EU kwa misaada yake ?..

Hii dunia unachafua tu East or West .

Akikataa ges ya uruss itabid achukue us na ina gharama.

Na german , Ukaya yote wanachukua ges kwa mrussi ujue
 
Marekani alipiga ban mafuta ya Urusi siku ya tatu baada ya uvamizi lakini mpaka sasa kiwango cha mafuta ya Urusi yanayoingia Marekani ni zaidi ya mara mbili ya kabla ya vita kwa maana hiyo ban iko kwenye makaratasi tu lakini kwenye uhalisia wameshindwa, kwahiyo hata ulaya wataweka hiyo ban lakini hawataitekeleza kikamilifu maana sio rahisi kama unavyo fikiri.

Makampuni mengi ya kimagharibi yalitangaza kuondoka nchini Urusi lakini mpaka sasa haya jaondoka bado yana fanya biashara ndani ya Urusi na kuna kipindi rais wa Ukraine alilamika juu ya hilo.
 

Nani anaumia kwa mtazamo wako? Maana takwimu zinaonyesha Urusi inatengeneza faida kubwa sana pamoja na mauzo yake ya mafuta kwenda EU na Marekani kupungua.

Kati ya Urusi na EU unadhani nani anaumia zaidi?
 
Marekani mafuta anayo zalisha hayamtoshi alafu aje apate ya kusambaza balani Ulaya?hivi ww jamaa unajua unacho kiongea au naongea na mtu mwenye uelewa mdogo?
 
Yaani Maduro akuruhusu uje uchimbe mafuta ndani ya nchi yake alafu pesa isiingie kwenye serikali yake? Ww jamaa ngoja ni kuaache maana dah.
 
Usihange na hao wa ukraini wa boko. Nishawaeleza sana hilinsuala lakini wanakaza mafuvu tu. Yaani wameng'ang'ania hàpo
 
Yaani Maduro akuruhusu uje uchimbe mafuta ndani ya nchi yake alafu pesa isiingie kwenye serikali yake? Ww jamaa ngoja ni kuaache maana dah.
Kazi kwao, mkubwa kashasema

If the Venezuelan regime continues to take concrete steps toward reaching a negotiated solution, then future targeted sanctions relief is possible, according to the official.
 
Mie nauliza tu, hao OPEC walisema wanapunguza uzalishaji wa mafuta lakini naona bei za wese zinazidi kushuka, je ule msimamo wao ulilegezwa kwasababu ya biti la bepari mkuu au nini kimetokea?
 
1. Ban inahusu mafuta yanayopita baharini na sio kwenye mabomba.

2. Urusi ana alternative market ambayo ni Asia. Tangu kuanza kwa vita India na China zimeongeza zaidi ununuaji wa mafuta kutoka urusi. Mwezi wa tatu mauzo kwenye nchi hizo mbili tu yalikuwa makubwa kuliko mauzo kwa nchi 27 za EU.

3. Help me Understand the logic behind your prediction kwamba soon US atakuwa supplier/msambazaji mkubwa wa mafuta ulaya.
  • US oil priduction 12m bpd (1st in the world)
  • Us oil consumption 19m bpd (1st in the world)
With such domestic deficit anapata wapi uwezo wa kuwa supplier mkubwa europe!?

4. Swala la price cap sio rahisi na sio solution nzuri ni basi tu ulaya hawana namna. A bad solution to a worse problem, thats what it is. In the end linaweza kubackfire vby kwenye global energy supply ndio maana unaona ulaya wenyewe wanatumia muda mrefu kuafikiana kulipitisha. Putin ameshasema hawatouza mafuta kwa nchi itayosapoti price cap.

Ugumu uko hapa. Wanatakiwa waweke bei ambayo itakuwa juu ya production cost lkn chini ya faida. Yaani Urusi asipate faida lkn pia asipate hasara. Akipata faida lengo halitafikiwa na akipata hasara anaweza kusitisha kbs uzalishaji na hiyo itakuwa na athari mbaya sana kwenye soko la mafuta duniani. Bei inayopendekezwa ni 65 to 70 usd/b ambayo ni karibu na bei anayouza ss hv. Nchi km Poland walipendekeza 20 usd/b[emoji16]. Pia Inaonekana Russia anaweza kuzitumia kampuni za bima za china kubypass kigingi cha ulaya.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…