T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Hii brain drain inayoendelea huko Russia itakua na athari kubwa Sana baadae kwa Uchumi wa Urusi.Hasa hasa IT sector ndio imeathirika zaidi. Kwa kawaida IT ndio kundi lisilo na imani na serikali ya Urusi kuliko makundi ya wataalamu wengine kabla hata ya vita.
Urusi inatoa incentives na imewapunguzia income tax washawishike kubaki au kurudi. Wengi wameenda Uturuki
Unanikumbusha Lavrov ambae kila siku ni kuponda West lakini mkononi kapigilia Apple watch,huku pembeni Yuko na iPhone 14 pro halafu mwilini kapigilia Basquiat t-shirt..zote bidhaa za Marekani [emoji23][emoji23][emoji23].Dmitry Rogozin aliyekuwa chief wa Roscosmos na mwenye mdomo mdomo kupindukia ndio huyu hapa amevaa bidhaa za NATO kama zoteView attachment 2430915
Putin alikuwa anatumia Mercedes Benz S600 kama limousine ya Rais mpaka walipokuja kuunda Aurus Senat wenyeweView attachment 2430916View attachment 2430917
Warusi wa Mpwayungu watapinga, watasema Russia ni superpower anaweza tengeneza bidhaa za teknolojia ya kisasa
By the way BWANA UTAMU kuna Iranian cuisine restaurant imefunguliwa iko pale Oysterbay next to Amigos wana vyakula vizuri Sana na customer services ni nzuri Sana Bei sio za kutisha.
Dah hoja nyingine za ajabu!Dmitry Rogozin aliyekuwa chief wa Roscosmos na mwenye mdomo mdomo kupindukia ndio huyu hapa amevaa bidhaa za NATO kama zoteView attachment 2430915
Putin alikuwa anatumia Mercedes Benz S600 kama limousine ya Rais mpaka walipokuja kuunda Aurus Senat wenyeweView attachment 2430916View attachment 2430917
Warusi wa Mpwayungu watapinga, watasema Russia ni superpower anaweza tengeneza bidhaa za teknolojia ya kisasa
Huyo jamaa ni chizi kabisa.dish limeyumba kwa iyo achana nae [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah hoja nyingine za ajabu!
Hivi kumbe baadhi ya watu hawatakiwi kutumia bidhaa za nchi nyingine?
Aisee!
Ina maana NATO au west hawatumik kabisa bidhaa kutoka Urusi?
Kuna hoja nyingine zikitolewa na baadhi ya watu unabaki kushangaa TU.
Niambie ni nchi gani Duniani ambayo haitumii bidhaa ya nchi nyingine?.maana sioni shida hapoDmitry Rogozin aliyekuwa chief wa Roscosmos na mwenye mdomo mdomo kupindukia ndio huyu hapa amevaa bidhaa za NATO kama zoteView attachment 2430915
Putin alikuwa anatumia Mercedes Benz S600 kama limousine ya Rais mpaka walipokuja kuunda Aurus Senat wenyeweView attachment 2430916View attachment 2430917
Warusi wa Mpwayungu watapinga, watasema Russia ni superpower anaweza tengeneza bidhaa za teknolojia ya kisasa
Marubani ndio waliwekewa mazingira magumu ya kuondoka Urusi pale mashirika ya ndege yalipoacha shughuli zake. IT kwa kawaida huwa wanajiondokea, sera za Urusi sio rafiki kwa IT sector ambayo watu wake hawapendi censorship.Hii brain drain inayoendelea huko Russia itakua na athari kubwa Sana baadae kwa Uchumi wa Urusi.
Na wengi wanakimbilia Uturuki sababu Marekani na Ulaya hawataki kupokea warusi(cha ajabu bado wanafosi kwenda[emoji23]) Ila ikitokea Leo Marekani na Ulaya ziseme zinaruhusu Raia wanaokimbia Urusi waingie kwenye hizo nchi utaona hiyo misururu
Ndio maana wanakimbilia Marekani [emoji1258][emoji1258][emoji1258]Marubani ndio waliwekewa mazingira magumu ya kuondoka Urusi pale mashirika ya ndege yalipoacha shughuli zake. IT kwa kawaida huwa wanajiondokea, sera za Urusi sio rafiki kwa IT sector ambayo watu wake hawapendi censorship.
Pavel Durov aliianzisha Vkontakte ambayo ni Facebook yao ila serikali ikataka kumfunga akatoroka. Wamiliki wakaishia kuuza hisa kwa serikali na raia wakapunguza kuiamini. Durov hawezi kanyaga Urusi tena. Baadae ndio akatengeneza Telegram Messenger na kwakuwa haiko based Urusi hivyo serikali haina mikono pale Warusi wanaitumia sana. Propagandists wa hii SMO wanatumia Telegram kuliko mtandao wowote ule, hata wazee Urusi wanajua kutumia Telegram. Serikali iliiban ila ikashindwa developers walikuwa wanashindana nayo, officials wa serikali wenyewe wanaitumia.
Billionaire Sergei Brin baba yake alikuwa mwanahisabati mzuri tu USSR akawa treated kama average guy. Akahamia Marekani na kufundisha chuo, mama yake Brin akaajiriwa NASA. Mtoto wao Sergei kaja kuanzisha Google akiwa na rafiki yake Larry Page. Angekuwa Urusi asingefika hatua hiyoView attachment 2431027
Unanikumbusha Lavrov ambae kila siku ni kuponda West lakini mkononi kapigilia Apple watch,huku pembeni Yuko na iPhone 14 pro halafu mwilini kapigilia Basquiat t-shirt..zote bidhaa za Marekani [emoji23][emoji23][emoji23].
Sana tuHivi inawezekana kuna watu hapa wanalipwa eeh!?