Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwahio RUSSIA walianza kutengeneza magari mwaka 2018

MKUU umekua nahoja dhaifu sana asee tena zaidi ya sanaa

Hata huko US wanaagiza sana kamera za CCTV kutokea UCHINA



Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba uende White House ukutane na CCTV camera zilizotengenezwa China. Marekani hawa wanaofungia Huawei nchi nzima ndio watumie camera za Mchina kwa Rais, Spika, Secretary au kiongozi yeyote mkubwa?

Nilitarajia ubishe useme Putin hajawahi kutumia Mercedes Benz akiwa Rais kumbe unasema gari nyinginezo kama za majitaka. Sasa usupapawa uko wapi, si mnaona mlivyo wa kawaida duniani sasa yanini kujipandisha mabega
 
Anaejipandisha mabega anapandishwa nanani

Kwani kati yetu na BIIBISII nani anaesema kama RUSSIA taifa kubwa

Kabla yakufungia walikua hawatumii pia umeona sehem zausalama hapo US ni hapo na hapo tuu

Kama US walikua salama zaidi wangezuia kapitol isivamiwe kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji778]️توافق ناتو در خصوص عدم درگیری با روسیه بر سر اوکراین

[emoji617]وزیر امور خارجه مجارستان بعد از دیدار وزیران خارجه ناتو در بخارست گفت که اعضای این ائتلاف بر سر اینکه نباید وارد درگیری نظامی با روسیه شوند توافق دارند.

[emoji778]️NATO agreement regarding non-conflict with Russia over Ukraine

[emoji617] After the meeting of the NATO foreign ministers in Bucharest, the Minister of Foreign Affairs of Hungary said that the members of this alliance agree that they should not enter into a military conflict with Russia.


T14 Armata sisi tunasema RUSSIA taifa lakawaida sana ila NATO wanaliogopa kweli kweli mpaka wanasema wenyewe

Kwahio msitegemee kuiona NATO pale UKRAINE kama mlivyoiona kule LIBYA nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna cha ajabu. Nchi isiyotengeneza smart phone, smart watch wala computer kwenye soko la dunia unataka viongozi wake wakuu watumie nini. Cha ajabu ni watu wa Kilimahewa wanaodhani Russia ni taifa kubwa kisa eti linachuuza gesi na mafuta
Hata KOREA north hawana bidhaa yeyote kubwa kwenye soko la dunia

Namaisha yanaenda wanaproject zao zandani ambazo zinafanya maisha yaende kama ilivyo IRAN na RUSSIA pia

Halaf wanaoieka RUSSIA kwenye mataifa makubwa sio sisi wana jf ni huko huko kwenu kwenye demoghasia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Capitol walifanya fujo raia. Marekani haiwezi tishiwa na nchi ilifanya jaribio la mapinduzi majuzi hapo nchi zilishastaarabika mwaka 1993.

...The 1993 Russian constitutional crisis, also known as the 1993 October Coup, Black October, the Shooting of the White House or Ukaz 1400, was a political stand-off and a constitutional crisis between the Russian president Boris Yeltsin and the Supreme Soviet of the Russian Federation that was resolved by Yeltsin using military force
 
Haiwezi tishiwa kwani RUSSIA kasema anataka kumtisha nani

RUSSIA hajasema anataka kumtisha mtu yeye yupo na mambo yake

Kama wanaona RUSSIA anawatisha wao na uoga wao ila RUSSIA hajamtisha mtu

Watu waliostaarabika wanaingia kapitol mwaka 2020s wakat watu walishatoka huko tokea mwaka 1990s

Hata raia pia wanafanya mapinduzi



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russia haijawahi ivamia NATO, wala NATO haina mpango wa kuivamia Russia. Cha msingi Russia aendelee kutoa warning maana uwezo wa kutekeleza hana
 
Hayo mambo ya raia kuingia kwenye bunge lao yanafanyika kwenye nchi ya kwanza kiuchumi. Huwezi yakuta kwenye nchi ile isiyokuwepo hata kwenye GDP kumi za mwanzo duniani.

Hao ni raia waliingia na kufanya fujo, tofautisha na tukio la Russia zaidi ya wiki nzima bunge linashindana na serikali na vifaru vinatamba mtaani, bunge linapigwa mizinga na jeshi la nchi na watu zaidi ya 100 wanafariki wiki ile
 
Sasa kama gdp yamwanzo ndio watu wanaingia bungeni

Kwanini wanataka DT asigombee urahisi kwakumtuhumu kuchochea hilo

kama RUSSIA walitoka huko toka mwaka 1990s ila us ndio kwanza wapo leo bado wanasafari ndefu sanaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russia wanaelimu Bora kuliko marekani ndo maaana juzi biden alikuwa anawaomba wanasayansi wa kirusi wahamie marekani.
[emoji845]BREAKING[emoji845]For the first time in history the team of biologists and anthropologists from the Moscow University of Canine Studies have been able to document NAFO fellas in their natural habitat.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russia wanaelimu Bora kuliko marekani ndo maaana juzi biden alikuwa anawaomba wanasayansi wa kirusi wahamie marekani.
Biden kuomba wanasayansi wa Urusi kwenda Marekani ndio kumaanisha Urusi wana elimu bora?

Kumbe utasema Marekani ikitoa DV lottery kwa wataalamu Watanzania inamaanisha tunaizidi Marekani kielimu
 
Nani kamzuia Trump kugombea? Unadhani Marekani ni Urusi inayofunga na kuua wapinzani wakuu wa serikali
 
Mkataba mpya wa Berlin wa LNG na Qatar hautatosha kuchukua nafasi ya LNG inayoagizwa kutoka Moscow kwani.

Ujerumani bado haina njia ya kubadilisha kabisa gesi asilia ya Urusi, hata baada ya kufikia makubaliano ya ugavi na Qatar, mwenyekiti wa kamati ya nishati ya Bundestag, Klaus Ernst, alionya Jumanne.

Soma zaidi:

Germany still has no way of replacing Russian natural gas, even after reaching a supply agreement with Qatar, the chairman of the Bundestag committee on energy, Klaus Ernst, warned on Tuesday.​


A long-term energy agreement was announced earlier in the day, under which the Gulf state will ship up to two million tons of liquefied natural gas (LNG) a year to Germany, starting from 2026. The deal will reportedly last at least 15 years.

“The federal government celebrates its LNG deal with Qatar and boasts big numbers. The fact is, these two million tons of LNG correspond to three percent of German gas consumption. There are still no real alternatives to Russian gas!” the politician from The Left party wrote on Twitter.

According to Bloomberg, the deal with Qatar equates to about 6% of the volume of Russian gas Germany imported in 2021. The fuel will come from ConocoPhillips’ joint ventures in Qatar, and will be delivered to the Brunsbuttel floating import terminal, which is under construction.


The news agency specified that the five import facilities chartered by the German government will cost a total of €6.5 billion ($6.7 billion) over the next 10 to 15 years. There is also one privately chartered terminal planned.

Germany, Europe's biggest economy, relies mainly on natural gas to power its industry, and has pledged to replace all Russian energy imports by as soon as mid-2024.

NB:
Naona wanazi walishakurupuka kuanzisha uzi wa michambo huko

 
Biden kuomba wanasayansi wa Urusi kwenda Marekani ndio kumaanisha Urusi wana elimu bora?

Kumbe utasema Marekani ikitoa DV lottery kwa wataalamu Watanzania inamaanisha tunaizidi Marekani kielimu
Ndiyo wapo Bora ndo maana kawaomba.kawaona wapo Bora sana.kwanini awaombe kawa kwenye nchi Yake anao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…