Uongo huu....Syria hii ya kichovu huu uwezo wa kuishinda Uturuki waliupata lini?.....Syria na uturuki zilinyukana 2020 uturuki ilipigwa na syria.
Na kulifanya jesh la syria kuyakamata maeneo meng ya jimbo la idlib
Mpigwa ban akiwa mzungu wanatoa reason kwa lugha gani?
Bado mnatumia himars , daaaWarusi wakiona hii kitu matumbo ya kuhara ydnawashika kabisa.Sasa US anataka kuleta yenye kupiga umbali mrefu zaidi🤔
........
It's HIMARS o'clock.
https://www.facebook.com/
Karibu tena MKUU ila swaliHodi humu wanabodi,nilipigwa ban ya mwezi mzima,Leo ndio nimefunguliwa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2431450
Kinachoibeba Syria ni Marekani na Urusi kuikatalia Uturuki kuingia Kaskazini kwake. Kwa sasa Marekani na NATO nzima wako busy na vita ya Ukraine na wakati huo Uturuki inatakiwa iunge mkono Sweden na Finland kujiunga NATO. Kuna uwezekano mkubwa Uturuki haitozuiliwa na NATO au haitochukuliwa hatua kama ikiingia Syria.Uongo huu....Syria hii ya kichovu huu uwezo wa kuishinda Uturuki waliupata lini?.....
waanze kwanza kuwaondoa askari wa Uturuki waliopo huko Afrin (Syria) na hata hapo Idlib...
T14 Armata
Marekani ina Falcon 9 ni reusable rocketView attachment 2431414
Warusi walikuwa ndo wakwanza kwa technology hii wakaachananayo, USA mpaka leo
Katika kupeleka silaha Ukraine hawajatumia hata 5% ya bajeti yao ya kijeshi. Kuwa na subra hela na silaha zipo za kutoshaKumbe bado wanaendelea kutuma tuu.
Au wanafanya majaribio siraha mpya
Ila wanalalama kama maghala yao yanakaukaKatika kupeleka silaha Ukraine hawajatumia hata 5% ya bajeti yao ya kijeshi. Kubwa na subra hela na silaha zipo za kutosha
Tuonyeshe katika brand 10 best selling smartphone nchini Russia ni brand gani ya Russia hapa. Au tafuta source zako mwenyewe, tufanye hizi zangu ni propaganda. Onyesha wapi brand ya Russia ni best selling nchini kwao wenyewe.Nilichokuwa naamini mimi warusi wako vizuri nyanja nyingi tu, niliamini kaspersky ndio most famous and secured antivirus word wide.
Lakini pia smartphone like Yotaphone (first dual screen smart phone) ipo masoko ya west angalia spain na nchi nyengine kibao, kiufupi products ni nyingi sana ila kwa vile Africa hatutumii kuna mtu anabeza maendeleo ya nchi nyengine bila hata kufanya research. Hakuna nchi inajitegemea kwa kila bidhaa na hata kama utakuwa mzalishaji bado kutakuwa na ya ubora hivyo ni lazima kuimport kuendana na mahitaji ya ndani
Ushabiki tukiuendekeza tunajishusha thamani, tuwaachie wajuvi waendelee kutuongezea maarifa ujuaji mwingi ni kutufanya tudharaulike
Aliyatamka mkiwa wawili peke yenu. Biden sio wa kuombaomba Warusi kwenda MarekaniBahati nzuri maneno ya kuwaomba wanasayansi wa Urusi wahamie Marekani aliitamka mwenyewe na dunia yote ilimsikia.
Labda ww tu ndo hukumsikia.