LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Ni upumbavu wa hali ya juu alafu walivyo wanafiki sasa wanajifanya eti hawana upande ***** mimi nataka waendelee kuwang'ang'ania mpaka serikali ya Tz ikajisalimishe kwa serikali ya Ukrain na ipige magoti ili wanafunzi waweze kuruhusiwa kuondoka pale
Unaanza kuwa hivi Kuna binadamu wanawaza kwa kufikiria nini?
 
Mimi siongei kwa hisia nakupa ukweli halisi uusikilize ama uukatae lakini huo ndo ukweli na icho ndo ambacho serikali ya tz inapaswa kukifanya ili vijana wetu waondolewe kule

Mzee omba Mungu watanzania wenzetu warudi salama ila ungekua na mdogo wako kule au ndugu yako usinge andika haya hapa. Omba yasikukute hapa ofisin kwangu kuna mama mtoto wake yuko huko analia tu hadi huruma mpaka CEO Amempa likizo.
 
Hujui ukiwazacho
 
We jamaa unaongea nn aisee, Yani Us amvamie Russia anatafuta nini hasa? Kuna maslah yyte ? Ana rasilimali yyte ili akamuibie? Au amvamie ili awafurahshe nyie mashabiki mandazi ? Russia ashavunjwa vunjwa uwezo wake kitambo Sana Kwa njia ya akili Tu bila kutumia nguvu , Russia ni maskini the same to Iran and north Korea , ....!!! Hii vita wa kuwahurumia ni Raia wa Ukraine , lakini West na US wamenuia hii vita isiishe ili wamuadhibu vikali Russia economically ..na atachapika haswa , hawataki apate kisingizio cha kutanua uwanja wa vita , Ila corridor itakayotumika ni humo humo tu Ukraine , nje watawatangazia hawana mpango wa kupigana na Russia na mtashangilia mkifkri wameufyata Ila kimya kimya wanasuport humohumo Ukraine , vyombo vya habar vitaendelea kuripoti uharibifu unaofanywa na Russia Ukraine na mtashangilia kumbe watu Wana mission nyingine , Japan ndo anajua vizur akili za wazungu zikoje , baada ya mwaka mmoja maraia wa Urusi wataanza kuuza figo ili wajikimu kimaisha ....!!
 
Watu hawabishani kichovu kama wewe unavyofanya ili kutaka kuona mshindi. Hata aibu huoni mtu kaharibu facilities zaidi ya 2000 na kaua malaki ya askari ndani ya siku 5 tu pekee. Mtu anatumia kombola la million 50 kushusha kambi nzima ya jeshi iliyojengwa kwa trillion of money bado unasema Ukraine ni washindi, hizi akili mnazotumia vibaya hivi mtakuja kudharauliwa na watoto wenu
 
Sipendi mtu anayerukia comment yangu na kujibu kwa jazba,hebu uwe unaskip comment zangu au nikusaidie kwa kukuweka kwa ignore list kabisa.Bye👋
 
Mzee omba Mungu watanzania wenzetu warudi salama ila ungekua na mdogo wako kule au ndugu yako usinge andika haya hapa. Omba yasikukute hapa ofisin kwangu kuna mama mtoto wake yuko huko analia tu hadi huruma mpaka CEO Amempa likizo.
Na aendelee kulia sana mpaka sauti na machozi vyote vikauke ninachokisema apa ni kwamba serikali yetu imekosea na imeonyesha dharau kubwa sana kwa serikali ya Ukrain watu wananitambua hawawezi kufanya kitu cha namna

Serikakali ni lazima iwe inatambua mipaka yake na kuheshimu mamlaka za nchi nyingine kama ambavyo yenyewe inataka kuheshimiwa kwa akili ndogo ya kawaida kabisa huwezi kufanya kitu cha ajabu namna hii
 
Akili zingekuwa zinachajiwa ningekupa fast charger uchaji zako maana ziko low sana. Hivi unataka kusema Iraq na Libya ni tajiri kuliko Russia? Kwamba Marekani ilizivamia hizo nchi nyingine kwa sababu ni tajiri kuliko Russia?

Hata kama ni ushabiki wa kwako ni utoto. Eti nchi ya pili kwa uzalishaji wa mafuta duniani na ya kwanza kwa uzalishaji was gesi duniani Marekani kaacha kuivamia, kavamia nchi ya 12 huko?
 
Tuambie lini NATO waliheshimu Mamlaka za Afghanistan, Iraq, Libya, Somalia, Panama, Colombia, Syria acha kuwa na double standard.

Nasema piga hao Neo Nazi mpaka kiev ifanane na Alepo
 

Russia ana natural resources kama zote uyo ndo mzalishaji no2 wa oil duniani na gas no1. Vikwazo kwa Russia havijaanza leo wala jana lakini jeshi lake haliyumbi, kwanini Russia ni moja ya superpower countries??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…