Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,724
Sasa mbona walikuwa wanakalalamika wanaishiwa siraha nini, au zilikuwa propagandaKatika kupeleka silaha Ukraine hawajatumia hata 5% ya bajeti yao ya kijeshi. Kuwa na subra hela na silaha zipo za kutosha
Ngoja tumkekete kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mpige nyundo za utosi huyo
Bado mnatumia Antivirus πππππNilichokuwa naamini mimi warusi wako vizuri nyanja nyingi tu, niliamini kaspersky ndio most famous and secured antivirus word wide.
Lakini pia smartphone like Yotaphone (first dual screen smart phone) ipo masoko ya west angalia spain na nchi nyengine kibao, kiufupi products ni nyingi sana ila kwa vile Africa hatutumii kuna mtu anabeza maendeleo ya nchi nyengine bila hata kufanya research. Hakuna nchi inajitegemea kwa kila bidhaa na hata kama utakuwa mzalishaji bado kutakuwa na ya ubora hivyo ni lazima kuimport kuendana na mahitaji ya ndani
Ushabiki tukiuendekeza tunajishusha thamani, tuwaachie wajuvi waendelee kutuongezea maarifa ujuaji mwingi ni kutufanya tudharaulike
Mjambiani mpumbavi lazima atabishaMathanzua
Takwimu zinaonyesha wanaokufa wengi nchini marekani ni wale waliopata chanjo ya COVID.
Takwimu za mwaka zimegeuka
View attachment 2431750
$600 BNHizo assets huko zinafikia kiasi gani [emoji16][emoji16][emoji16]
UKRO NAZI washakua muflis tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaingia ma.group mengine mkuuKaribu tena MKUU ila swali
Kama ukila ban huku unaweza kula kwa group moja tu kama huku kimataifa halaf huko kwengine wachangia kama kawaida
Ama ukipigwa ban ndio jf huingii hata page moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Na UKRONAZI hapo kaomba kiasi gani !!?$600 BN
π
Hakuna anaetaka kuona magofu kwenye ardhi yake, hata kama watampiga mrusi ila athari lazima ziwaumizee!!!Ngoja aje ndugu T14 Armata aje abishane na huyu waziri
Kumbe NATO wanaiogopa super power ya mchongo [emoji16][emoji23][emoji16]View attachment 2431984
Sent using Jamii Forums mobile app