Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,996
- 11,887
We jamaaa no muongo was kufungia mwezi Nov,Kumbuka Iran ilitoa taarifa kabla ya kurusha Makombora yake, Marekani ikaondoa wanajeshi wake pamoja na vifaa. Iran ikaambulia kulipua vibanda na mahema ya kulala wanajeshi maana hakuna hata mlinzi wa Geti wa Marekani aliyefariki.
Marekani haikutoa taarifa ya kumuondoa Suileman,Trump alikuja tu kutangaza taarifa za kifo.
Ngoja aje ndugu T14 Armata aje abishane na huyu waziri
Kumbe NATO wanaiogopa super power ya mchongo [emoji16][emoji23][emoji16]View attachment 2431984
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni Kilaza Achana nayeTuliosoma Photography interpretation hao hawakufa kwa kuganda na baridi
Cheap propagandaMalipo ni hapa duniani, walianza kulipua umeme ili wananchi wa Ukraine wateseke kwa barafu, ila sasa hiyo barafu inawatafuna wao kwenye nchi ya watu....
Nilishangaa sana kuona maustadh humu JF wanashabikia wananchi kuteseka kwa barafu, haya ndio malipo sasa....
Russian soldiers freeze to death in Ukrainian trenches
From the trench all you can see are broken trees and mud as far as the eye can see. Inside the fortifications dirty soldiers wait for the next artillery barrage by wading through slicks of freezing mud. The horrors of Passchendaele and other First World War battles can be seen in the pictures shared by Ukrainian forces. But instead, they show how things are in the battle for the Ukrainian town of Bakhmut in the year 2022 which has become a major battleground in the nine-month-old war.
Cheap propaganda
Superpower wa mchongo[emoji3502] Eleven Eurozone countries recorded double-digit inflation in November
[emoji1145]21.7% - Latvia
[emoji1097]21.4% - Estonia
[emoji1151]21.4% - Lithuania
[emoji1217]15.1% - Slovakia
[emoji634]12.5% - Italy
[emoji629]11.3% - Germany
[emoji1179]11.2% - Netherlands
[emoji1038]11.1% - Austria
[emoji1218]10.8% - Slovenia
[emoji1045]10.5% - Belgium
[emoji1201]0.3% - Portugal
Hii hapa very high expensiveLeta yako expensive propaganda kutoka uarabuni.
Yaani unatumia afu hujui kuwa unatumia, siku nyingine kabla hujauliza jitahidi kufikirisha ubongo wako kwanza.Hata wewe una nini unachotumia cha USA tutajie hata viwili. Mimi binafsi sina hata kinoma cha USA, voters ni china.
Urusi ni nchi ambayo ina rasilimali nyingi sana na zingine hawajahaza kuzitumia bado , kuna gesi, mafuta , diamond, iron etc.
Kinacho Mtia kiburi USA ni pesa yake inatumika dunia mzima hicho ndicho kinacho Mtia kiburi.
Sio wakaachana nayo ila gharama walichemsha na hayo machuma ya zamani.View attachment 2431414
Warusi walikuwa ndo wakwanza kwa technology hii wakaachananayo, USA mpaka leo
Unanilazimisha kufanya hivyo wewe ukiwa ni Nani hasa?! And why do you bring 'uarabuni' here?!?!Leta yako expensive propaganda kutoka uarabuni.
Mkuu hebu nitajie gari hata moja la urusi ambalo ww kwa macho yako umewahi kuliona hapa Tanzania, tusiende mbali saaaaanaBajaj kweli mkuu. Wakati Russia wanazalisha mamilioni ya cheap vehicles?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Ukuaji wa uchumi ni pamoja na kujitanua, huwezi niambia nitengeneze magari afu kwa matumizi ya nyumbani tu.Punguza ujuaji usio kuwa na kichwa wala miguu.
Ww hapo unaweza kunitajia bidhaa kutoka Israel, Singapore,Taiwan au Finland ambayo unaitumia kwenye maisha yako?
Lakini hayo mataifa niliyo yataja ni moja wapo wa mataifa yenye teknolojia ya hali ya juu sana ulimwenguni lakini mara nyingi huwa ni kwa ajili ya mahitaji yao ya ndani.
Urusi inatengeneza bidhaa za kila aina sema makampuni yake hayajajitanua na kuwa makubwa, na mara nyingi ili uone bidhaa za Urusi inabidi uende kwenye nchi za Ulaya mashariki ,Asia ya kati na baadhi ya mataifa ya magharibi na hata America ya kusini hizo nchi ndio watumiaji wakubwa wa bidhaa za Urusi na sio razima uzitumie ww kutoka bara la giza.
Hata kwa upande wa mitandao ya kijamii warusi siyo watumiaji sana wa mitandao ya kijamii ya kimagharibi bali wana mitandao ya kijamii ya kwao wanayo itumia, hata mtandao wa Telegram una kutokea Urusi bila shaka hili ulikuwa hulijui.
Alafu kingine unacho takiwa kutambua ni kuwa sio razima kila nchi iwekeze kwenye eneo moja ,,yaani kisa tu Ujerumani na Japan wanewekeza kwenye magari basi na Urusi ikimbilie huko huko?
Nyinyi ndo huwa mnafeli kwenye biashara kwa kuiga biashara za watu bila kujua huyo mtu mpaka anaingia kwenye biashara hiyo amepita njia ipi.
Vifaa 90% vya jeshi la Tanzania, Tanzania inatoa Russia.Mkuu hebu nitajie gari hata moja la urusi ambalo ww kwa macho yako umewahi kuliona hapa Tanzania, tusiende mbali saaaaana
Mkuu hebu nitajie gari hata moja la urusi ambalo ww kwa macho yako umewahi kuliona hapa Tanzania, tusiende mbali saaaaana
Wewe masikini kutoka Kibera Nairobi Kenya utayajulia wapi haya!?Hii vita imemshushia heshima urusi kuliko wakati wowote ule
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nimekuambia nitajie gari la mrusi ambalo w umeliona kwa macho yako naona unaleta link hapa.Russia Exports of motor cars and vehicles for transporting persons to Tanzania was US$700 Thousand during 2021, according to the United Nations COMTRADE database on international trade. Russia Exports of motor cars and vehicles for transporting persons to Tanzania - data, historical chart and statistics - was last updated on December of 2022.
Russia Exports of motor cars and vehicles for transporting persons to Tanzania - 2026 Data 2027 Forecast 1999-2021 Historical
Russia Exports of motor cars and vehicles for transporting persons to Tanzania was US$7 Thousand during 2021, according to the United Nations COMTRADE database on international trade. Russia Exports of motor cars and vehicles for transporting persons to Tanzania - data, historical chart and...tradingeconomics.com