Angalau umejarbu kuwaelewesha hawa mnayang'auNot really! Russia needs to invade USA first. For now ni vita ya maneno tu kati ya USA na Russia.. vita halisi ni kati ya Russia na Ukraine.. hata Biden hajaruhusu ground forces za US military zipigane vs Russia.
Kwa hio ili muone jazba ya Mmarekani... ni pale Russia atakapovamia USA territory.. kama ambavyo Japan alivamia Pearl Harbor ya Hawaii USA in WW2
wakapigane na RUSSIA kwake kama wanawezaHakuna taifa duniani linaloweza kufanya hicho unachokiwaza kwa Marekani labda kupigana nayo tu not invading wataua kila aitwaye raia wa nchi hiyo
Watu wa siasa na masuala ya mbowe sjui kaachiwa toka kwenye kanyampasila , nendeni mkajadili hayo , hayana tija kwetu Sisi ni faida yenu na vizazi vyenu , na huku mnataka kuingiliaWatanzania wengi hatuna akili za kujifanyia maendeeleo, tunapoteza muda mwingi kubishana Yanga na Simba.
Vita tushaigeuza Yanga na Simba, tubishane tu, hatuna akili za kijifanyia ya maana.
Digital world imetutoa kwenye kubishana vijiweni imetuingiza kwenye kubishana viganjani. Kazi Iendelee.
Yani wakavamie tu inchi ya watu hovyo hovyo , hii nchi kweli la Saba wengiwakapigane na RUSSIA kwake kama wanaweza
Najua ungetukana tu kwa sababu hakuna hoja uliyotoa na watu kama ninyi najua aina yenu ya uwasilishaji wa mawazoUna tatizo kubwa Sana kwenye Makalio
sasa wao kujua kama tunataka kupeleka kipigo wanatia uzito waraia kuondokaHili linaelekea kuwa lina ukweli kabisa, Putin anapigana na NATO bila kujijua kupitia wale waliojifanya ni Volunteers ama veterans sema tu hawajajitangaza rasmi!
Ukrainians hawawezi kuwa na guts za aina hio za ku sustain hio operation bila ku give in. Nato wameingia kwa vazi la Ukraine ili kumpa backup. Sema zile kelele za Zelensky juu ya NATO ni geresha tu na usanii flani wa kupumbaza umma kuwa NATO hawamsaidii.
Aidha na silaha pia wanapewa na NATO.
Dawa ni ku evacuate wananchi wote ili kipigo kikali kitembee kile cha Maangamizi.
Mkuu utakuwa mwehu Sana ukilinganisha Russia na Ukraine , Russia kuivamia Ukraine ni kama wewe ukapigane na mtoto w darasa la Kwanza , haijalishi utampiga Kias gan Ila Kwa jinsi atakavyokubishia itashangaza wengi ... Hata hvyo hii vita Russia hashindi , mda ndo mwamuziView attachment 2142607
daah hii leo raia wa ukrein wakijiandaa kusepa yaani tukicha propaganda na video fake ukraine kapigika mnoo
Hapo Russia anafurahi kazi yake ya kusawazisha jiji la Kiev huku madhara kwa raia yakiwa madogo. Putin anamtayarishia mchekeshaji anachostahili hakika kitamuumiza sanaView attachment 2142607
daah hii leo raia wa ukrein wakijiandaa kusepa yaani tukicha propaganda na video fake ukraine kapigika mnoo
Si ndio maana juzi nikasema ukiniambia nipange list ya top ten militaries ukiachana na weapons of mass destruction sitaiweka Russia top four.Nje ya ulichokiongea lakini mkuu...
Ukiangalia Jeshi la Russia, hujiskii aibu juu ya Jeshi letu?
Hivi hata tanks tulizonazo zinafika 100 kweli?
Maana russia kuna wakati convoy ya km 64 ilionekana.
Nilijiskia aibu kama raia.
NATO hawawezi kupeleka ndege UKRAINE naatakae peleka atashughulikiwa ipasavyo nakama huamini tuombe UhaiGame change:
NATO ruhusa kupeleka ndege za kivita Ukraine:Biden adminView attachment 2141786
mpaka muda huu urusi imemaliza kazi bado makombo alafu ukraine ni taifa la pili kwa ukubwa hapo ulaya usiwachukulie poaMkuu utakuwa mwehu Sana ukilinganisha Russia na Ukraine , Russia kuivamia Ukraine ni kama wewe ukapigane na mtoto w darasa la Kwanza , haijalishi utampiga Kias gan Ila Kwa jinsi atakavyokubishia itashangaza wengi ... Hata hvyo hii vita Russia hashindi , mda ndo mwamuzi
Kuna mamburura humu yamekomalia NATO NA US zimeufyata , wanafikri vita ni movie za Rambo na Anord swazeneger.... Vita ni kifo , wazungu wanauzoefu na vitaHili linaelekea kuwa lina ukweli kabisa, Putin anapigana na NATO bila kujijua kupitia wale waliojifanya ni Volunteers ama veterans sema tu hawajajitangaza rasmi!
Ukrainians hawawezi kuwa na guts za aina hio za ku sustain hio operation bila ku give in. Nato wameingia kwa vazi la Ukraine ili kumpa backup. Sema zile kelele za Zelensky juu ya NATO ni geresha tu na usanii flani wa kupumbaza umma kuwa NATO hawamsaidii.
Aidha na silaha pia wanapewa na NATO.
Dawa ni ku evacuate wananchi wote ili kipigo kikali kitembee kile cha Maangamizi.
Unaumwa ww , ni Taifa la pili🙄mpaka muda huu urusi imemaliza kazi bado makombo alafu ukraine ni taifa la pili kwa ukubwa hapo ulaya usiwachukulie poa