Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nato ni maneno mengi tu kwa nchi nyonge sio taifa lenye misuli kama Russia [emoji635] Iran [emoji1130] China [emoji630]
China kapewa Taiwani... Na Taiwan Wala haiko ktk NATO. Iko ktk Indo pacific... Lkn mpk kesho China anashindwa kuivamia Taiwan na Biden anasema wazi kabisa kua China akiivamia Taiwan basi US ataihami Taiwan na kuingia kijeshi na wameshasaini mikataba ya kiulizi na kijeshi why sasa China anakua mdogo si aivamie hiyo Taiwan ambayo kila Mara inaitunishia misuli China?


Hiyo Iran ndio hamna kitu kabisa hapo Israel tu inamtosha Huyo Iran pamoja na Saudia Arabia... Seuze NATO? Hebu tuwe tunaacha kujifariji Kwa vitu vya ajabu.

Russia hataki Ukraine ijiunge na ulaya na iingie ktk NATO, kwanini? Kwasbbu anajua hawezi kupigana na hayo mataifa na ndio sbbu akataka kupindua utawala wa Kyiv na matokeo yake sasa ameshindwa....
 
China hana sera za hivyo mwana Kibosho. Tulia dawa ikuingie vizuri.
Nenda kajifunze Geopolitics. Unaporopoka hivi sisi tunapata aibu.
 
Wewe Muyukireni wa Kibosho Umbwe utayajulia wapi haya? Endelea na mashamba ya migomba Geopolitics huziwezi.

UNAJUA LENGO LA KUUNDWA NATO!?
Mnaidharau NATO wakati baba yenu Putin anaiogopa na hataki kabisa ata kuisikia hiyo NATO alafu mnakaa kujidanganya nyuma ya keyboard ooooh NATO sijui nini.....

Acheni story za kwenye kahawa.....

Putin hataki kabisa Ukraine iingie ktk umoja wa ulaya na ktk NATO maana anaujua mziki wa NATO...
 
Lini NATO walipingana Direct na Russia!?
Vipi Kahawa mmeanza kulima tuje kupiga mnada!?
 
China hana sera za hivyo mwana Kibosho. Tulia dawa ikuingie vizuri.
Nenda kajifunze Geopolitics. Unaporopoka hivi sisi tunapata aibu.
Ata awe na sera za vipi ukweli ni kwamba China hawezi kuivamia Taiwan maana anajua US Yuko hapo Kwa Taiwan.... Na hauwezi mziki wa US.
 
Ukraine wasonga mbele .Wapandisha bendera upande wa pili wa mto huko Kherson 🤔
....
#CRUX | Soldiers from Ukraine's Karlson air intelligence unit have raised the Ukrainian flag on the left bank of the Kherson region. Russia claims Ukrainian HIMARS struck a college dormitory in Alchevsk in the Luhansk region. The Embassy of Ukraine in Georgia has confirmed that five Georgian "volunteer" soldiers had been killed during combat near Bakhmut. The Ukrainian military estimates 50-100 Russian troops are killed in Bakhmut sector daily. Meanwhile, As per NBC News, the US intelligence chief claims Russia is using up ammunition in Ukraine faster than its defence industry can replace it. French President Macron has suggested that the West should consider security guarantees for Russia.#russia #russiaukrainewar #ukraine #putin #usa
https://www.facebook.com/
 
Ila kuna uwezekano mkubwa wa China kuivamia Taiwan 2024 kwenye Uchaguzi
 
Ata awe na sera za vipi ukweli ni kwamba China hawezi kuivamia Taiwan maana anajua US Yuko hapo Kwa Taiwan.... Na hauwezi mziki wa US.
Aivamie Taiwan kwa lengo gani!? Auwe wananchi wake kwa kumfurahisha USA. Taiwan ni sehemu ya China. Kwahiyo China ijivamie yenyewe.

Wewe endelea na kulima Migomba na Kahawa haya mambo huyawezi.
 
Hiyo unayoiita Belarus ndio Waisrael wenyewe sasa. 90% ya viongozi wa Israel wametoka huko. Hata huyu wa sasa wametokea huko.
Kwani Israel ni kitu Gani ktk Dunia hii? Au wewe waona ni kitu gani? Belarus Hamna kitu na ktk hili Wala Huyo Belarus hawezi ivamia Ukraine.... Putin mwenyewe anaogopa kabisa kua akiwashirikisha Belarus basi nchi kadhaa zitaingia kuisapoti Ukraine Kijeshi
 
Wamekuwa fast sana, ikitokea wamefanikiwa na wakafanya mass production. Urusi ijiandae kutumia nukes
 
Nipe kumbukumbu ya Belarus kushindwa vita.
 
Bangiii za jua kali+ smart gini
 
Ila kuna uwezekano mkubwa wa China kuivamia Taiwan 2024 kwenye Uchaguzi
Hana huo uwezo Huyo China. Maana kuna Indo pacific ambayo kuna US, Australia, Japan na South Korea na India.... Hapa China hawezi kupigana na haya mataifa. Kumbuka US pia Yuko NATO nchi za NATO zinaweza kuingia kwsbbu ya mshirika wao US
 
Hana huo uwezo Huyo China. Maana kuna Indo pacific ambayo kuna US, Australia, Japan na South Korea na India.... Hapa China hawezi kupigana na haya mataifa. Kumbuka US pia Yuko NATO nchi za NATO zinaweza kuingia kwsbbu ya mshirika wao US
Hujui kitu wewe kijana toka Kibosho Umbwe.
 
Wamekuwa fast sana, ikitokea wamefanikiwa na wakafanya mass production. Urusi ijiandae kutumia nukes
Russia hana namna ingine ktk hii vita zaidi ya kutumia nuclear tu. Maana ktk battle ground amefeli vibaya sn na hana uwezo wa kijeshi Kwa silaha za kawaida. Morden wars zimebadilika sn na Russia kaonyesha kushindwa sn. Hivo salama yake ni hayo madude ma nuclears tu. Na US walimwambia Russia kua km wakitumia nuclears basi Russia ndio itakayo athirika zaidi...

Yaani ktk hizi drones za Ukraine, Crimea kz wanayo maana sasaivi Ukraine anaweza kabisa kushambulia nyuma kabisa ya defenses lines
 
Kwani nuclear zilitengenzwa kwaajili ya maonesho!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…