Antonio Conte
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 1,089
- 1,748
Yaani hiyo iliyopigwa Iko ndani ya Russia km 600 kutoka Kharkiv ambako shambulio liliko rushiwaThe Russian airbase “Engels-2” has been hit. The base is located 400 km Southeast from Moscow. It hosts strategic bombers of Tu-95 and was the launch pad for numerous attacks against Ukraine. #Ukraine #Russia https://t.co/cps5f2Gz9F
India haijawahi kufanikiwa kutengeneza japo third generation fighter jet wataweza kweli hiyo fifth gen fighter jet?Concept ya ndege ya India ilikua itoke kwa Su-57 ambapo wahindi walikua wanataka mabadiliko kidogo mfano wao walitaka ndege iwe two seater (Pilot & Co-pilot) na baadhi ya sensor ziwekwe za kwao. Lakini baada ya Urusi kutengeneza prototype ya Su-57 na kuwapelekea India wajiridhishe ili watoe fedha kuendelea na project ya pamoja ya Sukhoi/HAL FGTA wahindi walikataa wakasema uwezo hiyo ndege haijawaridhisha,wakaamua kujitoa kabisa Kwenye hiyo project na sasa Wana project Yao wenyewe ya kutengeneza fifth Generation fighter jet inaitwa HAL/AMCA.
Na hicho walichofanya wahindi sio kipya ndio walichofanya kwa Marekani, kabla ya kununua predator drone walitaka wajiridhishe kwanza uwezo wa hiyo drone. General Atomics ikawakodisha India Predator drone waitumie waone uwezo wake,India imeridhishwa na uwezo wa Drone inataka kununua drone 30 kwa $3 BN,bado wananegotiate Bei maana wahindi wanasema Bei kubwa wapunguziwe pia technology transfer. Wakishindwana wahindi wamesema watanunua kwa Israel.
India's $3 billion Predator drone deal with US at advanced stages, certain issues being sorted out: Report
TIMESOFINDIA.COM | Updated: Aug 21, 2022, 20:05
Sources told PTI that talks between India and US are under way for the government-to-government procurement of the drones manufactured by US defence major General Atomics. They rejected reports that the deal is off the table.
India's $3 billion Predator drone deal with US at advanced stages, certain issues being sorted out: Report | India News - Times of India
Mkuu Kwa sasa nchi nyingi zina project ya 5th Generation fighter jet kuanzia Turkey,India,Japan,nk. Hata Turkey hajawahi tengeneza fighter jet yake lakini amejitutumua kutaka kutengeneza fifth Gen. Nilisikia Lockheed Martin watawasaidia India kwenye hiyo project Yao,sijui wameishia wapi.India haijawahi kufanikiwa kutengeneza japo third generation fighter jet wataweza kweli hiyo fifth gen fighter jet?
Tejas wanahaingaika nayo huu mwaka wa 40 Bado hakijajulikana kitu Iwe hiyo fifth gen?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Baadae Russia watapinga watasema ni ajali ya kawaida kama walivyokanusha kule Crimea wakaja kuumbuliwa na satellite photos[emoji23][emoji23][emoji23]The Russian airbase “Engels-2” has been hit. The base is located 400 km Southeast from Moscow. It hosts strategic bombers of Tu-95 and was the launch pad for numerous attacks against Ukraine. #Ukraine #Russia https://t.co/cps5f2Gz9F
Source?!Mji mwingine wa zatrovikov umebebwa na urusi hii kasi ya urusi sijui imetokea wapi aisee
Ha ha Russia shikilia hapohapo watasema yoteUkraine wamefanyia majaribio drones yenye uwezo wa kuruka umbali wa Km 1000 na kubeba kichwa Cha bomu lenye uzito wa kg75. Majaribio haya yamefanikiwa Kwa asilimia zote.
Sasa maghala ya mafuta na Kambi za kijeshi na miundo mbinu ya Russia ya kijeshi yote iko ktk target. Moscow yenyewe iko ktk target mpk ikulu ya Putin iko ktk target.....
Hapa hutowaona maana Zelensky kawashika pabaya sasaProRussia mu wazima jmn?!
Base yenu imepigwa na drone tena ni ndani ya ardhi ya Mother Russia na kuharibu zile bombers zenu pendwa Tu-95
Jf wanazingu kuload pichaSource?!
[emoji23][emoji23][emoji23]Sawa kakaJf wanazingu kuload picha
Leo Base mbili zimepigwa hukohuko kwao RussiaHapa hutowaona maana Zelensky kawashika pabaya sasa
Tumia Web sio App.Jf mwezi huu nikiload picha tatizo nini
Kama zilitunguliwa hizo Bomber mbili ilikuaje zikaungua[emoji23][emoji23]NI kweli drone ziliingia urusi lakini zilitunguliwa na moja kupiga eneo LA wazi katika uwanja huo ila naona Ukraine inaenda kula dozi sasa hivi