Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kupiga miundo mbinu ya kijeshi itamsaidia nini wakati haiwezi kudhoofisha warusi?unajua madhara ya kukosa umeme? Ukraine atashindwa kuendesha mitambo,usafirishaji utadhoofika.kama huna akili huwezi kuelewa strategy ya warusi.
Russia analenga kuumiza raia Kwa baridi Kwa kuitengeneza chuki... Lkn miundo mbinu ya kijeshi Wala hawezi kuipiga na mataifa ya magharibi yanaipa Ukraine majenereta ili jeshi liwe active muda wote.


Jiulize tu. Tangu mwezi wa pili mlisema mmekata mifumo ya Mawasiliano. Je mpk muda huu Ukraine anatumia Mawasiliano gani?

Tulieni dawa iwaingie nyie Warusi
 
Sasa mbona hueleweki MKUU

Huko juu umesema NATO hatoi msaada halaf hapo chini ukasema anatoa msaada

Tuelewe anatoa ama hatoiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russia is preparing a response to the introduction by the EU of a ceiling on prices for Russian oil We will not recognize any [price] ceilings"
"The decision of the Russian side is being prepared"
-Dmitriy Peskov.
 
Unauhakika miundombinu ya kijeshi haishambulii ndo maana nakuambia hujui kitu Kwa taarifa yako Russia anashambulia vitu vya kijeshi,magari ya kijeshi na anayaaangusha mandege mengi ya Ukraine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…