Play stupid games win stupid prizesHii ndiyo kazi nzuri za Air defence bora kabisa kutoka ulaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Duuuh hii ni hatariiiMarekani kuongeza uzalishaji wa artillery kwa zaidi ya mara 6, ili kufidia zinazopelekea Ukraine
Ukraine akiingia ndani Russia atapigwa nuclear. Ndio mnachokitaka!? Hii damage ya miundombinu mnaona haitoshi!?Hii ni warning Tu Kwa Russia kwamba unaweza fikiwa mpk chumbani mwako
[emoji298]️ The first satellite image of the consequences of the explosion at one of the Russian airfields, Diaghilevo, in the Ryazan region, appeared on the social network.
The photo shows the site of the explosion near the Russian Tu-22M3 bomber. The plane was probably damaged.
Kama Military specialist planners wa Ukraine wameona ni sahihi kupiga hizo targets ndani ya Russia Sisi ni Nani mpaka tuone maamuzi yao ni ya kipuuzi.Ukraine akiingia ndani Russia atapigwa nuclear. Ndio mnachokitaka!? Hii damage ya miundombinu mnaona haitoshi!?
NATO wanapokataa kuipa Ukraine long range missiles sio wajinga. Wanajua Ukraine Kufika ndani ya russia hakutaifanya Russia iwache kushambulia ndani ya Ukraine. Bali ndio mashambulizi yatazidi na mwishowe silaha za maangamizi zinaweza kutumika.
Hatari kivipi!? Umeambiwa ni kufidia anazopeleka Ukraine sasa hatari hapo iko wapi!?Duuuh hii ni hatariii
Kwahiyo Ukraine mapigano yameisha,hawahitaji tena Artilleries?!Hatari kivipi!? Umeambiwa ni kufidia anazopeleka Ukraine sasa hatari hapo iko wapi!?
Military specialist planners!? Dude is that even a real thingKama Military specialist planners wa Ukraine wameona ni sahihi kupiga hizo targets ndani ya Russia Sisi ni Nani mpaka tuone maamuzi yao ni ya kipuuzi.
Kama Russia anashambulia Ukraine kwanini yeye asishambuliwe kwake?!
Hizo mpya zinazozalishwa sio kwa ajili ya kupelekwa Ukraine bali kufidia zile zilizokwisha pelekwa. Yaani simply US anataka kujaza maghala yake ya silaha kama yalivyokuwa kbl hajaanza kuisapoti Ukraine.Kwahiyo Ukraine mapigano yameisha,hawahitaji tena Artilleries?!
[emoji23][emoji23][emoji23] Unampelekea [emoji91] hivyohivyo hata kama anakwepakwepa[emoji3]Nilikuuliza swali la kuhusu maoni yako binafsi kuhusu ushoga naona unalikwepa. Mengine unayajibu kulikoni mwenzetu mbona hivyo!? Au mambo poa!?
Military specialist planners!? Dude is that even a real thing
Ok, military specialist planners wa Ukraine na wa NATO ni wepi unahisi wana ujuzi zaidi kwenye hayo mambo!? NATO wanaona sio busara Ukraine kushambulia ndani ya Urusi kwa sababu ambazo zipo wazi. Retaliation won't be minimal.
Nimekuuliza unataka wapigwe nyuklia ndio uridhike
Still bado wanatuma silaha ikiwemo 155 mm shells, kuongeza uzalishaji maana yake ni kufidia zilizopelekwa na kuendelea kupeleka ili jamaa asiishiwe silaha.Hizo mpya zinazozalishwa sio kwa ajili ya kupelekwa Ukraine bali kufidia zile zilizokwisha pelekwa. Yaani simply US anataka kujaza maghala yake ya silaha kama yalivyokuwa kbl hajaanza kuisapoti Ukraine.
Hatari ipo wapi hapo brother!?
NATO kupigana au kutokupigana Ukraine hakurule out ujuzi wake kuhusu vita ya Ukraine. Haina maana kwamba kwa sababu Ukraine ndio anapigana basi kila analoamua kulifanya ni sahihi kwa sababu tu yeye ndio anapigana. Thats a Fallacy of appealing to authority.NATO hapigani Russia,anayepigana ni Ukraine. Km ni sahihi kwa Russia kushambulia ndani ya Ukraine kwanini isiwe sahihi kwa Ukraine kushambulia ndani ya Russia!?
Uhatari hapo sasa uko wapi hapo!?Still bado wanatuma silaha ikiwemo 155 mm shells, kuongeza uzalishaji maana yake ni kufidia zilizopelekwa na kuendelea kupeleka ili jamaa asiishiwe silaha.
Mwisho wa siku mwenye maamuzi ya mwisho ni Ukraine, ndio maana mpaka sasa hatujasikia kauli yoyote ya NATO kulaani shambulizi lililofanywa na Ukraine huko Russia.NATO kupigana au kutokupigana Ukraine hakurule out ujuzi wake kuhusu vita ya Ukraine. Haina maana kwamba kwa sababu Ukraine ndio anapigana basi kila analoamua kulifanya ni sahihi kwa sababu tu yeye ndio anapigana. Thats a Fallacy of appealing to authority.
Mpk ss hv in terms of silaha NATO ndio wametumia gharama nyingi kwenye hii vita kuliko Ukraine wenyewe. That makes it the business of NATO.
Ukraine kuendelea kuua wanajeshi wa Urusi kwa silaha za Marekani...kampuni za Marekani zinaendelea kupiga pesa.Yani ni hatariii!!!!Uhatari hapo sasa uko wapi hapo!?
NATO kukaa kimya haimaanishi ameafiki. Position yake ipo very clear haungi mkono Ukraine kupiga ndani ya urusi na ndio maana hatoi silaha zinazoweza kufika urusi Na sababu amezeweka wazi ni kuprevent further escalation.Mwisho wa siku mwenye maamuzi ya mwisho ni Ukraine, ndio maana mpaka sasa hatujasikia kauli yoyote ya NATO kulaani shambulizi lililofanywa na Ukraine huko Russia.
Na Leo tena drone imepiga airfield nyingine hukohuko ndani ya Russia.
Ukraine pia inawaua wanajeshi wa urusi kwa silaha za urusi na kampuni za urusi zinaendelea kupiga pesa. Au hujui hilo!? Ipo wapi hatari hapo!?Ukraine kuendelea kuua wanajeshi wa Urusi kwa silaha za Marekani...kampuni za Marekani zinaendelea kupiga pesa.Yani ni hatariii!!!!