Njoo tena kenge wewe ubishe Wagner wamekaangwa zaidi ya 200[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] yani Vunjo unanichekeshaga sana na video zako.uwa kabla ya kupost unapataga muda wa kuziangalia wewe mwenyewe?.au unapost tu
Inatosha mkuu,kama hajaelewa mpaka hapa achana naeSijui bado unabisha jamaa hawajakaangwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Himars kiboko yenu huwa haikosei maiti zimekutwa na wali mdomoni walikuwa wanapata dinnerView attachment 2443696
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Ni 500,000 kijana,kwa sasa wapo mpakani mwa Belarus na Ukraine.Wanasubiri Jeshi la Anga liharibu miundo mbinu yote inayoweza kuiwezesha Ukraine kupigana Vita waingie kufagia.Believe me by Christmas Kyiv itakuwa imesha anguka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
christmass ni next week
Hawezi kurudi leo huyo kashapotea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inatosha mkuu,kama hajaelewa mpaka hapa achana nae
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Vipi umepata maelezo kuhusu suala nililokuambia?Urusi asingefanya mis- calculation kwenye hii vita, lilikuwa ni taifa hambalo linainukia kwa Kasi kwenye nyanja zote, kivita, kiuchumi na kiteknolojia.., ukiangalia muda hambao ameweza kuhimili vitani akiwa na mzigo wa vikwazo huku vita ikiendelea kumgharimu unaweza kuona kwa upande mwingine lilikuwa taifa imara haswa.., binafsi sikuwahi kuwaza kwamba urusi ni taifa hambalo lilikuwa na nguvu kiasi hiki..ni bahati mbaya sana sijui Putin aliwezaje kukubali kirahisi ushauri aliopewa kwamba anaweza kuiteka Kiev ndani ya siku 3 kama sio wiki Moja,..,ni wazi Putin hakutegemea hizi danadana zinazoendelea, alitegemea amalize vita chapchap kisha aendelee na safari yake ya kuijenga misuli ya urusi izidi kuwa imara zaidi..,isingekuwa hii vita,huenda misuli ya marekani kama super pawer ingeendelea kufifia , lakini badala yake naona kupitia hii vita marekani anaendelea kuumudu vyema usukani wake wa usupapawa maana kwa vyovyote vile hii vita inamrudisha nyuma urusi miaka kadhaa .
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyo ndo Vunjo mwenye video zake.video hata askari mmoja hamna ila ukisoma unambiwa wanajeshi mia2.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Orthodox Church X-mas,January 6th or a few days after that.😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
christmass ni next week
Naona unaanza kuruka MITA mia..,hii inaonyesha kwamba wengi wenu Huwa hamshirikishi vyema ubongo wenu wakati wa kuandika humu.., ukweli ni kwamba mnaendeshwa na hisia baada ya frustration kuwapanda kichwani..,hapa najua utaokoteza hoja uchwara kama zote Ili ujiteteeOrthodox Church X-mas,January 6th or a few days after that.
Bora kalikoroga ili watu wajue uwezo wake halisi, kwa sasa hatamtishia yeyote yule.Urusi asingefanya mis- calculation kwenye hii vita, lilikuwa ni taifa hambalo linainukia kwa Kasi kwenye nyanja zote, kivita, kiuchumi na kiteknolojia.., ukiangalia muda hambao ameweza kuhimili vitani akiwa na mzigo wa vikwazo huku vita ikiendelea kumgharimu unaweza kuona kwa upande mwingine lilikuwa taifa imara haswa.., binafsi sikuwahi kuwaza kwamba urusi ni taifa hambalo lilikuwa na nguvu kiasi hiki..ni bahati mbaya sana sijui Putin aliwezaje kukubali kirahisi ushauri aliopewa kwamba anaweza kuiteka Kiev ndani ya siku 3 kama sio wiki Moja,..,ni wazi Putin hakutegemea hizi danadana zinazoendelea, alitegemea amalize vita chapchap kisha aendelee na safari yake ya kuijenga misuli ya urusi izidi kuwa imara zaidi..,isingekuwa hii vita,huenda misuli ya marekani kama super pawer ingeendelea kufifia , lakini badala yake naona kupitia hii vita marekani anaendelea kuumudu vyema usukani wake wa usupapawa maana kwa vyovyote vile hii vita inamrudisha nyuma urusi miaka kadhaa .
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hata hivyo kiukweli ndege hizi bila kukutana na wenzie wa level na kizazi kimoja Ni uonevu mkuu kujisifu.Ina maana F-22 haijawahi fanya mishe yeyote ?...hata kama supporting role ?....
Ila unaweza kuta haipishani Sana na F-15 au hata Rafale ya Ufaransa...sema inakuzwa tu sababu ya gharama kubwa ya uzalishaji
T14 Armata
Fedorov si mrusi Wala si pro Russia Bali Ni m- UkraineMuulize huyu Mayor wenu
[emoji298]️The mayor of the temporarily occupied Melitopol, Ivan Fedorov, said that after the attacks on Russian bases, there were many wounded and dead.
Moreover, there are not enough places in hospitals in Melitopol, so they are being taken to medical institutions of Crimea.
Hakuna kitu hichoThe fall of bakhamut
Baadh ya wanajesh wa ukraine wameanza kusepa jiji hio
Siku zijazo tutasiki habari njema kuhusu jiji la liman
Kumbe sukuma la gamboshi wewe lkn unashabikia Ukana MunguNywanoko