Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Soma kuhusu F-186 sabre.pia Soma kuhusu f 4 katika independent sources.zisome hizi katika Vietnam war air to air combat.
Wamarekani licha ya kipigo Cha Mara kwa Mara hawajawapa kuacha kusifia Chao na kudunisha Cha Kirusi.
Mig 21 ilikua tishio kuu ndani ya Vietnam. Si hiyo tu mig 17 na mig 19 waliwanyonya vibaya Yankees
 
US ndio super power no Moja Duniani siku zote na hili Wala haliwezi kuepukika na ata Russia afanyaje US ni no Moja tu.

Jambo Moja nalo penda kuwaambia ni hili US ndio taifa pekee ambalo limekua likiiwekea vikwazo Russia. Hii ikiwa na maana kwamba Taifa linaloweza kuweka vikwazo Kwa taifa jingine Hilo taifa ndio Lina nguvu kuliko jingine maana vikwazo vikiwekwa lazima uvisimamie Kwa kutumia jeshi

Sasa ni mara nyingi tu US anaweka vikwazo Kwa Russia na anavisimamia.

Kuhusu Russia kupiga mahesabu vibaya ule ulikua ni upofu wake tu.

Maana US na NATO mwaka 2014 wakati Russia anaivamia Crimea na kuichukia ni kwamba aliwawahi tu mataifa ya magharibi na ktk hesabu wakawa wamechelewa ndio maana Crimea ikawa imechukuliwa.

Lkn tangu hapo kwa miaka minane western countries wamekua wakiwafundisha sn wa Ukraine jeshi lao ila walikua hawapeleki silaha km wakati huu wa Vita.

Jambo la kujifunza ktk hii vita ni kwamba kuna wakati masilaha makubwa makubwa na mabomu mazito mazito yanaweza yasikusaidie kitu.

Na mataifa ya magharibi ktk technology ya silaha za kisasa yamepiga hatua kubwa sn kuliko Russia

Kitu kingine mataifa ya magharibi kushiriki vita nyingi Duniani kumeyapa uzoefu sn Russia ameonyesha kufail sn ktk hii vita na kusumbuliwa na silaha nyepesi nyepesi tu za kubebwa na watu tu.
 
Sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamaanisha Urusi ni Supa-pawa wa mchongo ?...
 
[emoji631][emoji1255][emoji635][emoji724][emoji362][emoji366][emoji298]️Vladimir Zelensky,in talks with Joe Biden,said that 50% of the country's energy infrastructure was destroyed after missile strikes.
Kuna hatari kubwa gas ya Russia na machimbo ya mafuta kushambuliwa na hasa baada ya drones za Ukraine kuonyesha ufanisi mkubwa
 
Una mahaba mazito sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yale manyuklia yote anayomiliki bado unamuita wa mchongo?...umesahau na vifaa kama S-400, Pantsir na ndege za ajabu kama SU-27 ?....bado gesi na mafuta ya kutosha...
Yaani kuna wakati hayo madude yote hayawezi kukusaidia kitu.


Hebu tu jiulize US na washirika wake wamepeleka silaha Gani nzito nzito hapo Ukraine ambazo zimezuia Russia kufika Kyiv huku akiwa na hayo madude?

Russia anatumia midege yake yote, mi meli ya kivita na magari mavifaru na zana mbali mbali lkn kwanini anafail?

Huyu ni wa mchongo tu.
 
Warusi wa JF wanadai jeshi la Ukraine lilishazidiwa kitambo, hao wanaopigana na Urusi ni askari wa NATO (foreign legion) ndio maana wanatoa upinzani mkali
mohamedidrisa789 lee van cliff
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…