Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,724
Wafaransa wanandege nzuri sana .Kwanini uandikie mate hali wino upo. Lete hizo independent sources tuone air to air combat ambapo Mig zilishinda. Wewe mwenyewe hapo ulishasema zilipigwa 64 na zikapiga mara 250, sasa ratio mbovu kama hii unaipata kwa ndege gani ya Marekani
Muongo muongo sana we mtu ukoje lakiniTalibani wamekuja baada ya NATO kuondoka
[emoji23][emoji23][emoji23] bado tupo nao bro, kila siku tunapitia updates hapa japo kimya kimya.Huu uzi bado upo Active kumbe [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] bado tupo nao bro, kila siku tunapitia updates hapa japo kimya kimya.
Heshima kubwa kwa hawa watu wanaendelea kuipa uhai thread yetu pendwa.
Bwana Utam
green rajab
mohamedidrisa789
Msulibasi
Sela Son
Morogoro kaskazini
manning
Mathanzua
mixx
kilwakivinje
Venus Star
Fursakibao
MR MAJANGA
jameshyela
1954
James Comey
Moronight walker
Bome-e
relis
jonas amos
ITR
Bila kusahau ndugu zetu pro ukraine/ Pro west bila wao hii thread ingekuwa ishafungwa now.
T14 Armata
vunjo
kp kipanya44
Antonio Conte
HIMARS
Axel Lloyd
Proved
kikiboxer
FUSO
Pia Napenda kutambua mchango wa members wote wa hii thread ambao hatuwaoni sana jukwaani kipindi hiki, Galip Vrl na pacha wako Qibsyl bila kumsahau triga pamoja na mkongwe Jesus Mlokozi. much shout out pia kwa Yoda, Champagnee Bugucha Nyamizi Mtoto wa nzi MK254 ngaboru Mwanamkiwi Sikirimimimasikini Nkuba25 Intuition Missile of the Nation let the caged bird sings DALA passioner255 na wengine wote.
Tumemiss sana michango yenu hapa jukwaani.
Hizi malls za Urusi nani huzichoma?[emoji298]️ More footage of the fire at the shopping center in Balashykha (Moscow, Russia). Video from local social networks.
[emoji117] Follow
@Flash_news_ua
[emoji298]️In Nyzhniokamsk (Russia) a fire broke out at a synthetic rubber factory.
The burning area is 10,000 square meters, — local media report.
sadakta mdau kwa kunitag am humbled.. tuko pamoja kama diabz[emoji23][emoji23][emoji23] bado tupo nao bro, kila siku tunapitia updates hapa japo kimya kimya.
Heshima kubwa kwa hawa watu wanaendelea kuipa uhai thread yetu pendwa.
Bwana Utam
green rajab
mohamedidrisa789
Msulibasi
Sela Son
Morogoro kaskazini
manning
Mathanzua
mixx
kilwakivinje
Venus Star
Fursakibao
MR MAJANGA
jameshyela
1954
James Comey
Moronight walker
Bome-e
relis
jonas amos
ITR
Bila kusahau ndugu zetu pro ukraine/ Pro west bila wao hii thread ingekuwa ishafungwa now.
T14 Armata
vunjo
kp kipanya44
Antonio Conte
HIMARS
Axel Lloyd
Proved
kikiboxer
FUSO
Pia Napenda kutambua mchango wa members wote wa hii thread ambao hatuwaoni sana jukwaani kipindi hiki, Galip Vrl na pacha wako Qibsyl bila kumsahau triga pamoja na mkongwe Jesus Mlokozi. much shout out pia kwa Yoda, Champagnee Bugucha Nyamizi Mtoto wa nzi MK254 ngaboru Mwanamkiwi Sikirimimimasikini Nkuba25 Intuition Missile of the Nation let the caged bird sings DALA passioner255 na wengine wote.
Tumemiss sana michango yenu hapa jukwaani.
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] bado tupo nao bro, kila siku tunapitia updates hapa japo kimya kimya.
Heshima kubwa kwa hawa watu wanaendelea kuipa uhai thread yetu pendwa.
Bwana Utam
green rajab
mohamedidrisa789
Msulibasi
Sela Son
Morogoro kaskazini
manning
Mathanzua
mixx
kilwakivinje
Venus Star
Fursakibao
MR MAJANGA
jameshyela
1954
James Comey
Moronight walker
Bome-e
relis
jonas amos
ITR
Bila kusahau ndugu zetu pro ukraine/ Pro west bila wao hii thread ingekuwa ishafungwa now.
T14 Armata
vunjo
kp kipanya44
Antonio Conte
HIMARS
Axel Lloyd
Proved
kikiboxer
FUSO
Pia Napenda kutambua mchango wa members wote wa hii thread ambao hatuwaoni sana jukwaani kipindi hiki, Galip Vrl na pacha wako Qibsyl bila kumsahau triga pamoja na mkongwe Jesus Mlokozi. much shout out pia kwa Yoda, Champagnee Bugucha Nyamizi Mtoto wa nzi MK254 ngaboru Mwanamkiwi Sikirimimimasikini Nkuba25 Intuition Missile of the Nation let the caged bird sings DALA passioner255 na wengine wote.
Tumemiss sana michango yenu hapa jukwaani.
Kweli mmenyakua miji mingi ikiwemo kheson city, Lyman, kupyansk, snake island, izium khakivu..,na miji mingine mingi, hongereni [emoji120][emoji120]Mkuu ni kweli nimepunguza kuchangia ila hii, kwa upande wangu imetokana na uzi kujaa vijana wasiyojituma kwanza kutafuta habari au wepesi wa kulishwa matango pori hususani hawa wanaojifanya kuiunga mkono Marekani, NATO na washirika wao Ulaya.
Bahati mbaya sana sipendi kujibizana na watu wa namna hiyo kwasababu nitakuwa najishusha vibaya mno, actually wengi wao nimewa ignore ila nipo sana tu. Tunafurahia ushindi kila kona.
Hii vita inapiganwa katika fronts nyingi sana na ukijituma kutafuta habari, utagundua West, Marekani pamoja na NATO yao, wote wamechoka. Pumzi ndogo, ruti ndefu.
So tunachofanya ni kuwaacha wapige kelele weeee lakini miji tunainyakua bila kubwaka kama wao.
Huyu jamaa simuelewagi kabisa sidhani hata kama yeye anajielewa. Mzee wa New world order ni mpuuzi fulani aliwahi kuaibishwa alidai makala zile huwa anaandika kumbe ni copy and paste na hata haelewi kilichoandikwa.😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
christmass ni next week
aaah sawa MKUUWanajua wenyewe maana week hii yote kuna mioto huko
Hii ilikua juzi
Sio malls Tu mpk viwanda karibu kila wiki vinaungua,ngoja tusubiri report ya FSBHizi malls za Urusi nani huzichoma?
Aisee!!wanaojifanya kuiunga mkono Marekani, NATO na washirika wao Ulaya.
Hasira dhidi ya Marekani ndizo zinafanya uzi huu upoteze mantiki ya kuwepo kwake.Nashauri Putin atupe bomu moja zito pale Washington DC, mmarekani atulie, maana hachoki kuharibu amani ya ulimwengu
Washasema mengi/mingi tushawazoeaMoD wa uingeleza kasema UK itatoa silaha za mbali endapo Urusi itaendelea kushambulia sehemu za kiraia, miundombinu ya kiraia
Long range missiles zitafika Ukraine January
Libya, Iran, Iraq, Syria, somalia, Congo kote ni uhalifu wa CIA aka USA. Sina chuki nao ila wapigweHasira dhidi ya Marekani ndizo zinafanya uzi huu upoteze mantiki ya kuwepo kwake.
Hii vita si ya kuisha Leo wala keshoMoD wa uingeleza kasema UK itatoa silaha za mbali endapo Urusi itaendelea kushambulia sehemu za kiraia, miundombinu ya kiraia
Long range missiles zitafika Ukraine January
Duh huyo mtu usijibizane nae. Hajui Mambo mengi. Huyo hajui hats kwa Nini US walikuwa kule 21 years na wakakimbia.Hivi unatuchukuliaje kwa comment zako hizi?! Kwamba pengine watu hatujui kuhusu kushindwa kwa USA huko kwa Taleban?!?!?! Duh...usitudhalilishe bwana...