mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
wapi huko??[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2446617View attachment 2446618View attachment 2446619
Kiev iyowapi huko??
Patriot zimepitia modification tofauti tofauti,hiyo ya 1976 ni PAC 1 ambayo sidhani kama kuna nchi bado wanazo sasa wako PAC -3 ambayo ndo ya kisasa na sio nchi zote wanayo hiyo. Saudia Wana PAC -2 ya miaka ya 1990s.Yani unaongea pumba alafu ujui kabisa kuwa unaongea pumba.iyo Patriot ni ya mwaka gani.kama sio ya zaidi ya miaka 45 iliyopita.au uwa unakurupuka tu kuongea pasipo kujua.
kenge wa blue wewe.View attachment 2446597
Kaka naona siku hizi umekua km Morogoro kaskazini unatuletea mapicha ya zamani ili utupige fix eti ni Kiev[emoji23][emoji23][emoji23]. Hiyo source unapotoa hizi taarifa za mchongo achana nayo(inakulisha matangopori) tafuta nyingine,ni ushauri tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2446617View attachment 2446618View attachment 2446619
Hapa hamna kipya hili lidege lipo huko tangu February na hakuna cha maana lilichofanya,hata HIMARS launcher moja limeshindwa kulocate,[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russia amepeleka Dege lake la An A - 50 kusaidia target vikosi vya ardhini Belarus View attachment 2446616
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
KAMATA MWIZIIIIIII [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiev iyo
Na huu ndio ndio ushahidi usio na chembe ya mashaka kua Urusi inapigana na NATO na west wote.
Marekani imekubali kupeleka hii kitu Kwenye uwanja wa vita huko Ukraine.
Kwa iyo Buk na s-300 zenyewew hazijapitia modification tofauti tofauti.au unamanisha nini?Patriot zimepitia modification tofauti tofauti,hiyo ya 1976 ni PAC 1 ambayo sidhani kama kuna nchi bado wanazo sasa wako PAC -3 ambayo ndo ya kisasa na sio nchi zote wanayo hiyo. Saudia Wana PAC -2 ya miaka ya 1990s.
Kwani hapo sio Kiev.au kosa langu lipi[emoji23][emoji23][emoji23]KAMATA MWIZIIIIIII [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2446684
KAMATA MWIZIIIIIII [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona hamniambii jamani kuwa Kiev imechezea leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]