Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Sijakuelewa unamanisha nini kusema wale walikuwa wanasaidia upande mmojaSio kweli. wale walikuwa wanasaidia upande mmoja lakini siyo walikuwa wanakwenda field.
Jengo la Makao makuu ya mji wa Kherson[emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Huko Russia kuna nn tena mbona air defense zinarushwa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji298]️It is reported about the work of air defense in Klyntsy, the Bryansk region (Russia). Photo from local social networks.
[emoji117] Follow
@Flash_news_ua
final competition full of Zebras (blacks n whites)Akbar Akbar Morocco taifa teule, wameliwa na Ufaransa, mlijaribu kuleta ubaguzi wenu wa kidini kwenye mpira.
Na pia battery 1 huhitaji watu 90Aiseee hizi Patriot sio za Leo wala kesho,Yani training miezi 6!!! Duuuh[emoji134]
[emoji298]️Biden will agree to the transfer of Patriot systems to Ukraine after the Pentagon answers his reservations, — The Washington Post.
The questions concern training and maintenance, the legality of the transfer and its impact on US military capability.
The Ministry of Defense is currently working on the parameters of the training program, which is likely to take place in Germany. Under normal conditions, training can last more than six months.
[emoji117] Follow
@Flash_news_ua
Hilo ni jibwa koko Mwakibiden tumelizoea.BREAKING: The Biden administration is planning to send advanced electronic equipment to Ukraine that converts unguided aerial munitions into “smart bombs” that can target Russian military positions with a high degree of accuracy, senior U.S. officials - WaPo
Urusi kazi mnayo mwaka huu
I am sorry,no,no,no,they laid down their lives for the NWO Cabal a.k.a Khazarian Mafia or Satan a.k.a Lucifer,not for Ukranians or even Europeans.Do not mislid people.This is a war between evil and good.The West standing on the side of evil.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] Wanamgambo wa Ukraine wanaendelea kufyekwa kama michongomaView attachment 2446589View attachment 2446590
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Simply put ni sawa na kutungua risasi kwa kutumia risasi.. Very tricky sana hii kituHii mifumo ya kutungua makombora inafanya kazi kwa asilimia 60 tu kwa iyo sio ya kutegemea sana.ni bora uwe unafanya patrol angani na ndege vita kuliko kuamini hii mifumo.unaweza ukageuka majivu muda wowote ule
Patroit imeitia hasara sana saudia fatilia nyuzi humu ndo hiyo aramco ilishawah pewa kipigo kitakatifu uzi upo humu humu ndo maana israel ikaachana nayo na kuamua kuunda air defense zake mwenyewe.Hakuna mfumo ambao uko sawa 100% hizo incident chache Sana haziwezi ondoa ukweli kwamba Patriot imefanya vizuri Sana kuilinda Saudi Arabia dhidi ya Makombora ya Houthi la sivyo miundombinu yote ya Aramco ss hv ingekua majivu.
Mimi mpaka nimehisi lugha inawasumbuaKuna watu watapita kama vile hawajaiona hii article
We jamaa umekamatwa uongo wako unaanza kuleta siasa. Kamata mwiziii ma pro russia ni maongo maongo ukianzia na Putin mwenyewe.Ndugu zenu wanaomba msaada huku jukwaani[emoji23][emoji23][emoji23].kama mna upendo wa kweli ni muda wa wewe na Kipanya44 kwenda front