mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Uwongo gani sasa kwani hao sio ndugu zenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We jamaa umekamatwa uongo wako unaanza kuleta siasa. Kamata mwiziii ma pro russia ni maongo maongo ukianzia na Putin mwenyewe.
Aweze mara ngapi kama amisha chukua majimbo 5 unataka afanye nini zaidi ili ujue Urusi operation yake IPO successful?Mpaka Sasa sidhani kama ataweza tena.... nadhani mpaka hapo hawezi shinda tena hii vita
Na sio kuchukua bali kila siku anazidisha eneo.Aweze mara ngapi kama amisha chukua majimbo 5 unataka afanye nini zaidi ili ujue Urusi operation yake IPO successful?
Mkuu unaishi kwa imani kama waumini wa mwamposa. Yani kweye mjadala huu unaleta bla bla za kuamini? Wewe kama unajua wamelipua system ngapi leta habari hapa watu wakubali hoja yako.Hivi bado unaamini kabisa kuwa Hakuna mfumo hata mmoja wa himars umeliwa?
Endelea kuamini hivyo. But Patriot Kama ilivyo NASAMS, Iris T na sky nini ile haitafanya chochote dhidi ya bombers za kirusi.
Lakini pia Ni kazi ngumu kutungua missile za kirusi . Iskander missiles, kalibr. Utungue kwa kutumia Nini?
Usijichekeshe mkuu. Axel Lloyd kakukamata na uongo wa wazi na hakuna utetezi wa maana umeleta.Uwongo gani sasa kwani hao sio ndugu zenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilitegemea kama una akili ya kiutu uzima,lakini kumbe bado sana.Russia hana huo uwezo wa kupigana na Dunia ata siku Moja
Wajinga TU.
Putin anaendelea kutengwa na jamii ya kimataifa.Poland ni jirani wa Urusi .Kama majirani hawakutazami vizuri hilo sio jambo jema.Bora adui aliye mbali kuliko aliye karibu🤔Wajinga TU.
Watafanya Nini Sasa,ingawa ni ujinga mtupu.
Sasa mimi kosa langu lipi kuwambia ndugi zenu wanaitaji msaada[emoji23][emoji23][emoji23]Usijichekeshe mkuu. Axel Lloyd kakukamata na uongo wa wazi na hakuna utetezi wa maana umeleta.
Kidogo nilikuwa nakupa credit lakini kwa kilichotokea huna tofauti na Morogoro kaskazini mwongo namba moja kwenye huu uzi.
Na pia hiyo mifumo ktk kufanya kz inajumuisha watu wengi na vifaa vingi ktk kufanya kzAiseee hizi Patriot sio za Leo wala kesho,Yani training miezi 6!!! Duuuh[emoji134]
[emoji298]️Biden will agree to the transfer of Patriot systems to Ukraine after the Pentagon answers his reservations, — The Washington Post.
The questions concern training and maintenance, the legality of the transfer and its impact on US military capability.
The Ministry of Defense is currently working on the parameters of the training program, which is likely to take place in Germany. Under normal conditions, training can last more than six months.
[emoji117] Follow
@Flash_news_ua
Unaacha familia yako na mkeo unampigia saluti mwenzako ambaye familia yake na watoto wapo ikulu unaenda kufa. Kwa kweli vita vinapaswa kuwa na sababu ya msingi sana kinyume na hapo ni uonevu kwa askari.Afu mtu anishawishi kuwa mwanajeshi, labda niwe nimekufa
Mohamed siku hizi amekua Morogoro kaskazini Jr maana taarifa zake 75% ni za mchongo [emoji23][emoji23][emoji23]Usijichekeshe mkuu. Axel Lloyd kakukamata na uongo wa wazi na hakuna utetezi wa maana umeleta.
Kidogo nilikuwa nakupa credit lakini kwa kilichotokea huna tofauti na Morogoro kaskazini mwongo namba moja kwenye huu uzi.
Ukitaka kumuua paka,mtaftie jina BAYA, naona urusi anataftiwa jina BAYA kwa nguvuBunge la Poland limeitambua Urusi kama ni nchi inayosaidia ugaidi[emoji848]
......
View attachment 2447378
Mpaka mtu kufikia hatua ya kutumia nguvu nyingi kiasi hicho na kuleta uongo hapa inaonyesha kabisa huyu mtu hapati usingizi wa kutosha kwa sababu tu ya vita ya urusi na Ukraine,Mohamed siku hizi amekua Morogoro kaskazini Jr maana taarifa zake 75% ni za mchongo [emoji23][emoji23][emoji23]