Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ndo maana tunaanza kuweka sawa mabomu ya maana tusisikie kelele tu
 
Ukraine inaendelea kuimarishwa kijeshi.
Sasa hivi kile alichokuwa Russia anahofia adui asiwepo karibu ndicho kinachotokea.Sasa hivi majirani zake wote wanaweza pewa mifumo yakujilinda dhiki yake kwa kisingizio cha uvamizi wa Ukraine 🤔
 
Angekuwa na Intelligence Report nzuri asingeshindwa Landing ya Hostomel.
Asingeshindwa iteka Kyiv
Asingeshindwa kumuondoa Zelensky

Asingeondoka Kherson etc

Angekuwa na intelligence nzuri asingepoteza elite soldiers
 
Tena marekani alikuwa anapigana vita mbaya na ya hatari sana.mpaka raia wenyewe wa Afghanistan walikuwa wanatafuta silaha wanawavizia wamarekani.yani kwa kifupi marekani alikuwa anapigana na Taliban na raia kwa wakati mmoja.
Mkuu mbona unapotosha Sasa, ingekuwa ndio hivyo wale raia wa Afghanistan wasingefurika airport kuwakimbia Taleban.
 
Mkuu mbona unapotosha Sasa, ingekuwa ndio hivyo wale raia wa Afghanistan wasingefurika airport kuwakimbia Taleban.
Wale sio raia wote.hata asilimia 10 hawafiki.wale ni wafanyakazi waliokuwa wanafanya kazi na wamarekani kwa iyo wanaogopa kuwa lazima watashtakiwa kwa sababu walikuwa wanafanya kazi wa wamarekani.

Raia wa Afghanistan awezi akawapenda wamarekani hata siku moja
 
[emoji1787][emoji1787]

Watu Kwa kujifurahisha...

US taifa linaloongoza Kwa Uchumi duniani Leo wawe wanalia
Mkuu haya mambo hayahitaji kuwa na PhD kuyafahamu,nani aliyekueleza kuwa USA hawezi kuwa na Economic hardship?
Hujui kuwa inflation kwa takribani miezi 8-ilikuwa imefikia kiwango cha 40% kikubwa zaidi kuwahi kutokea kwa kipindi cha miaka 40+ iliyopita?.Na hapo bado UE countries.

Imagine wewe unafanya kazi unalipa Kodi kisha Serikali yako badala ya kutumia Kodi hiyo kuboresha maisha ya watu wanatumia kuiwezesha Ukraine dhidi ya Russia kwa nini usitegemee uchumi wa hizo Nchi kuyumba?
 
[emoji1787][emoji1787]

Watu Kwa kujifurahisha...

US taifa linaloongoza Kwa Uchumi duniani Leo wawe wanalia
Huyu hapa mwenye uchumi mkubwa

What countries have the largest debt in the world? Here is a list of the top ten countries with the most national debt:

  1. Japan (National Debt: ¥1,028 trillion ($9.087 trillion USD))
  2. Greece (National Debt: €332.6 billion ($379 billion US))
  3. Portugal (National Debt: €232 billion ($264 billion US))
  4. Italy (National Debt: €2.17 trillion ($2.48 trillion US))
  5. Bhutan (National Debt: $2.33 billion (USD))
  6. Cyprus (National Debt: €18.95 billion ($21.64 billion USD))
  7. Belgium (National Debt: €399.5 billion ($456.18 billion USD))
  8. United States of America (National Debt: $19.23 trillion (USD))
  9. Spain (National Debt: €1.09 trillion ($1.24 USD))
  10. Singapore (National Debt: $350 billion ($254 billion US))
anadaiwa $19.23 trillion
GDP yake ni 23 trillion

Kwahiyo NET 23-19.23 = $3.77 Njoo tuambie supa pawa wako kwa lipi?
 
Putin anaendelea kutengwa na jamii ya kimataifa.Poland ni jirani wa Urusi .Kama majirani hawakutazami vizuri hilo sio jambo jema.Bora adui aliye mbali kuliko aliye karibu🤔
Poland ikimtenga Putin Urusi itafutika katika ramani ya Dunia?
Kwani jirani akikutenga ndo mtaa mzima utakutenga?
Mbona Korea Kaskazini imetengwa na west lkn bado IPO TU!
Mbona Iran imetengwa na west lkn bado IPO tuu.!
Mbona Cuba imetengwa na west lkn bado IPO tuu!.
Hata hivyo Ukiitenga Urusi ujue umejitenga wewe mwenyewe.
Urusi sio Zimbabwe.
 
Kwahiyo huko ndio kupigana na Dunia?

BTW Israel anapeleka misaa Ukraine.

Ata hivo ni silaha Gani zinazopelekwa huko Ukraine na mataifa ya magharibi? Huyo tu mizinga na Himers?
Aisee kweli wewe bado hujakomaa?

Ina maana hua husomi USA na washirika wake wanavyoidhinisha mabilioni ya Dola na silaha?
Ama hua husomi Urusi katika ripoti zao za vita wanavyoteketeza maelfu ya silaha kutoka nchi za west?
Ndio maana nakuambia bado hujapevuka,sio tusi lakini.
Najua wewe ni msomi,bishana kisomi hata kama bado ni mtoto mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…